Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Akiappeal kinabadilika nn? Bora atulie angalau hata percent iongezeke.
Surely we can not speculate what the court of appeal will decide but can say in passing, as you have suggested, that the reasons advanced by the trial judge are strong and sound, it might be an uphill track for the would be appelant
 
Principle mpya aliyoileta Mh. Mlyambina ikibarikiwa na Mahakama ya Rufaa itakuwa msaada mkubwa sana, ila pia inaweza kuwa na ukakasi maana inaingiliana na principle nyingine za mirathi.

Ila yote heri.
 
Jewelry 92% wanazifanya wenzetu wahindi sijui tunafeli wapi waafrica...yaan kuutwa alikua anashinda na wale maslayqueen wake kujiselfie aisee mm mwaka mmoja nasimamisha bonge ya kampuni ..unachakarika had unahakikisha inesimama .naudhika sana na aina ya wanawake aina ile ..
Ningehakikisha nna vitalu vya uchimbaji eneo kubwa, vitalu ya uwindaji eneo lankutosha yaan sehemu zenye fweza angesimamisha kampuni za maana...mafala tu wale
Kakutana na wenzake nao sijui walikuwa wanaogopa kumshauri, wakahisi ataacha kuwapa ofa za mitoko na miamala kisa watakuwa wamemletea ujuaji.

Kwa miaka 5 aliyoishi na yule mzee alikuwa na uwezo wa kusimamisha makampuni makubwa sana. Alitakiwa adeal na restaurants za kisasa, afungue maduka ya nguo ambazo zina wateja wa aina zote kuanzia kipato cha juu kati na chini.

Kuna biashara kama pharmacy pia ingefaa. Angekuwa na bonge la brand la pharmacy ambayo inakuwa na sifa ya kuuza dawa bora za kisasa kwa bei rafiki, kila mkoa.

Biashara za kufungua zilikuwa nyingi sana na very simple kuzianzisha na kupata connection kutoka kwa wadau wa serikalini na sekta binafsi.

Sasa dada huyu masikini, akakalia masifa ya kuvimba kichwa na kujiona yeye ni maridadi na wa daraja la juu.
 
Jack imekula kwake sasa, usicheze na mangi kwenye hela!

Sipati picha kama huyu dada angekuwa mchaga naye aseee wadada wa kichaga wangekoma huku JF [emoji23][emoji23]

Ila hili somo ni kubwa sana tumefundishwa.
 
Mrembo anaweza patab1/10 sasa utasema amepata utajiri hapo?
Alitaka vyote

1/10 ya bilioni 500 ni bilioni 50...

Sasa bilioni 50 mrembo hajapata utajiri kweli?

Kumaliza bilioni moja tu sio kazi ndogo .

Ukiwa unatumia kila siku laki moja , itakuchukua miaka 25 kumaliza bilioni moja.

Sasa piga hesabu ya bilioni 50
 
Kakutana na wenzake nao sijui walikuwa wanaogopa kumshauri, wakahisi ataacha kuwapa ofa za mitoko na miamala kisa watakuwa wamemletea ujuaji.

Kwa miaka 5 aliyoishi na yule mzee alikuwa na uwezo wa kusimamisha makampuni makubwa sana. Alitakiwa adeal na restaurants za kisasa, afungue maduka ya nguo ambazo zina wateja wa aina zote kuanzia kipato cha juu kati na chini.

Kuna biashara kama pharmacy pia ingefaa. Angekuwa na bonge la brand la pharmacy ambayo inakuwa na sifa ya kuuza dawa bora za kisasa kwa bei rafiki, kila mkoa.

Biashara za kufungua zilikuwa nyingi sana na very simple kuzianzisha na kupata connection kutoka kwa wadau wa serikalini na sekta binafsi.

Sasa dada huyu masikini, akakalia masifa ya kuvimba kichwa na kujiona yeye ni maridadi na wa daraja la juu.

Atleast hiyo pharmacy...yaan sijui alilewa!yaan angehakikisha anakula sambamba na mifamasi ya wahindi...au angefungua hata hosp ya kisasa...! Nakereka balaa! Maana mzee alikua ana connection za kufa mtu...pyee..hata hao kina vicky kamata wamechezea shilingi chooni...vicky mumewe alikua ana connection nzuri tu..kutwa kujipiga picha na mumeo na vibia😒
 
Arudi kwenye career yake

Mziki alikuwa anakuja jui vizuri Sana amgekuwa mbali Sana leo

Amgekuwa independent bila tegemea hela za watu.

So sad

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hata wanajua kuyakata, basi tu alikuja kuchuma/kurithi mali maana alijua kuwa katika natural course of events, Mengi is to die earlier...
Angekuwa ni aisha madinda ningesema kweli maana kwenye video za twangapepeta alikuwa anayarudi mauno. Ila huyu Klyn hapana, kiuno mgongo na mapaja vinatumia code moja, yaani msuli m'moja unaviendesha hivyo viungo maana sijawahi muona akimwaga uno.
 
Define true love.....

Yaaani true love binti kama yule avutiwe na mzee wa miaka 70+ aisee that bullshish can only be found in fairytale stories not in real life.
She was after his fortune, and he was after her beauty and that hole between her thighs

Simply like that

How comes a very cute lady get attracted with an old man ?,how comes?[emoji15]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom