slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 312
- 363
unashusha spana sanaNje ya mada kivipi na yeye ni goldigger mwingine anayetaka fanya same thing? Ama nduguyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unashusha spana sanaNje ya mada kivipi na yeye ni goldigger mwingine anayetaka fanya same thing? Ama nduguyo
wewe bwana acha tantalilia mwanaume gani hapa duniani hapend kukojolea mbususu nzuri kama ya yule mrembo?Kwan uliambiwa yule mzee alikuwa na shida ya uhusiano na huyo binti?!
Binti ndie alikuwa anamuwinda mzee. Kategeshea ujauzito ili amshike akili vizuri mzee, ndoa unaambiwa alifosi ikafungiwe nje ya inchi ili kuepusha matatizo toka familia ya mwanaume.
So hili unalosema lisingewezekana.
Mengi alikuwa na misunderstandings na familia yake kwa mke wa kwanza, sijui kama walimalizana hizo tofauti ila zilikuwapo.Kipindi chote alichokuwa na mahusiano na mzee nna uhakika hizo b3 za kupiga tayari anazo tatizo lake ni tamaa ya kutaka mabilioni yote ya mzee mchana kweupe wakati mzee ana watoto ambao hakuwa hata matatizo nao....na katika hili naamini alichokuwa anasema mange kuna watu nyuma ya huyu mjinga walim push kufanya huu ujinga kwa maana watamsaidia ashinde kesi ili baadae wagawane hayo mabilioni
Na hapo ndio tungejua ni true love..... [emoji23][emoji23][emoji23]
Jambazi mwingine wa kike yule.Vicky anavyojililisha insta [emoji23][emoji23]
Itakuwa kwa kificho sana sinasikia kuna yule mwana huwa anampigia mashine huko Dubai.....Hivi siku hizi anasafiri sana kama zamani?
Namshangaa Sana huyu mwenzetu..aisee..Yani Kama kaokoteza hii taarifa huko jalalani kaleta hapa
On what grounds?This case was at the high court stage, there is a court of appeal. This is not interlocutory order which is not appealable!
Mwanakutaka mwanakulipata
Sasa watoto watasomeshwa na yeye atapewa kinachotakiwa kupewa kwa mjane kisheria
Akisusa wenzie wanakula
Huyu dada apunguze tamaa, vyovyote itakavyokuwa atapata... hii yakutaka kuchukua mali zote sio sawa.. waangalie wasije wakaanza kuuana sasaKesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa
View attachment 1790872
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.
Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
=====
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Yose Mlyambina kufuatia shauri la mirathi lililokuwa limefunguliwa na watu wanne wakiwemo ndugu wa marehemu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo.
Jaji Mlyambina amefikia uamuzi huo baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi lililowekwa na mmoja wa watoto wakubwa wa marehemu Mengi pamoja na ndugu yake marehemu Mengi, waliokuwa wakipinga uhalali wa wosia huo.
Shauri hilo la mirathi namba 39 la mwaka 2019 lilifunguliwa na Benson Benjamin Mengi, William Onesmo Mushi, Zoebu Hassuji na Sylvia Novatus Mushi wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi mirathi hiyo kwa mujibu wa wosia huo.
Hata hivyo, mtoto wa Marehemu Mengi, Abdiel Reginald Mengi na ndugu wa marehemu Mengi, Benjamin Abraham Mengi, waliweka pingamizi dhidi ya wosia huo, wakipinga uhalali wake huku wakiwasilisha jumla ya sababu nne za kuupinga.
Sababu hizo ni pamoja na kwamba haukwa umepigwa mhuri na saini iliyokuwepo ilikuwa ni tofauti na saini ya kawaida ya marehemu Mengi na kwamba haukushuhudiwa na ndugu au mke wa marehemu.
Pia walikuwa wakidai kuwa marehemu hakuwa na uwezo wa kuandaa wosia kwa kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2016 na kwamba unaondoa katika urithi, watoto bila kuzingatia mila za Kichaga au kuhusisha ndugu.
Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote katika hukumu yake iliyosomwa juzi na Jaji Mlyambina na nakala yake kupatikana jana kwa matumizi ya umma, alikubaliana na hoja za pingamizi hilo dhidi ya wosia huo na kuikataa kuwa ni batili.
Jaji Mlyambina alikubaliana na sababu hizo za pingamizi na pamoja na mambo mengine, amesema kuwa inawanyima urithi wanaye bila kutoa sababu, na kwamba ziliiingizwa mali za mke wake mkubwa.
Kwa uamuzi huo, Jaji Mlyambina hakuwateua waombaji hao kuwa wasimamizi wa mirathi na badala yake aliwateua Abdiel na Benjamini kuwa wasimamizi wa mirathi na akaelekeza mali za marehemu zigawiwe warithi wanaostahili kwa utaratibu wa kawaida kama wa mtu ambaye hakuacha wosia.
Awali mjane wa marehemu Mengi, Jacquiline alijaribu kuingia katika shauri hilo bila mafanikio baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi yake mara tatu.
Credit: Mwananchi
Zaidi soma;
1). Thread 'Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali' Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali
2). Thread 'Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi' Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi
3). Thread 'Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"' Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"
4). Thread 'Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha' Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha
5). Thread 'Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka' Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka
6). Thread 'TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE' TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE
Kabla mke wa kwanza kufariki (Mercy), nasikia walishagawana mali kila mtu akaendelea na maisha yake hadi umauti unamkuta hapo juzi kati.Aiseer. Weee nayeee... mali zake peke yake? Unaijua historia vizuri ya marehem na mkewe Mercy Shangali mjukuu wa mangi wewe? Ama wapaparika tu. Huoni hapo mali zingine zilikua za mke mkubwa? Kama hujuagi vitu tulia ufunzwe sheria japi kidogo. Mali za marehem mercy zinakuaje za mengi? Wosia wa marehem? Una kichaa kweli wewe. Ule unaamini ni wosia wa marehemu ule?
Anajililisha mtandaoni kutafuta hurumaJambazi mwingine wa kike yule.
Hakika..on point 100%Wadangaji wajifunze kufanya kazi kama wengine, hakuna cha bure duniani.
Hawataki biashara ya kuumiza kichwa...mambo sijui ya kuvaa gumboots sijui eti aingie shamba kukagua mpunga mara sijui ufugaji hawataki...wao wanataka ametoka nyumbani amepiga makeup anapanda gari anafika ofissini kakaa kwenye sofa anajisnap na kutupia insta...Ndio biashara za wadada wa mjini. Kama sio furniture basi saloon, boutique ama spa. Biashara za kislay queen
Kile chama cha wajane kilichomnunulia khanga za pole kiko wapi? Hawakujua kuwa mjane ni tapeli.Anajililisha mtandaoni kutafuta huruma
Hivi amezaa na huyoo jamaa?
Kweli mkuuSema Wazee Wetu pamoja na Mapito wanayopitia kwenye Ndoa zao, lipo Jambo la Kujifunza katika hili la Mzee Machache..!!!
Namshangaa anatetea malaya. Tunapenda haki. Hao watoto wa likwelile ni yatima. Anataka nani awasimamie kuwatetea kama siyo sisi ulimwengu? Na tutamsagia kunguni pia mpaka kieleweke.unashusha spana sana