Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Nilijua tu huu mziki wa kimachame huyu dada hatauweza. Aombe Mungu hili battle lisiendelee kwa akina kanzimazira
 
Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i love u
Ai lavi yu tu [emoji39][emoji39]
 
Kakutana na wenzake nao sijui walikuwa wanaogopa kumshauri, wakahisi ataacha kuwapa ofa za mitoko na miamala kisa watakuwa wamemletea ujuaji.

Kwa miaka 5 aliyoishi na yule mzee alikuwa na uwezo wa kusimamisha makampuni makubwa sana. Alitakiwa adeal na restaurants za kisasa, afungue maduka ya nguo ambazo zina wateja wa aina zote kuanzia kipato cha juu kati na chini.

Kuna biashara kama pharmacy pia ingefaa. Angekuwa na bonge la brand la pharmacy ambayo inakuwa na sifa ya kuuza dawa bora za kisasa kwa bei rafiki, kila mkoa.

Biashara za kufungua zilikuwa nyingi sana na very simple kuzianzisha na kupata connection kutoka kwa wadau wa serikalini na sekta binafsi.

Sasa dada huyu masikini, akakalia masifa ya kuvimba kichwa na kujiona yeye ni maridadi na wa daraja la juu.
Siyo rahisi ki hivyo Kama unavyofikiri, hela iliyo kwenye mfuko wa mtu hutakiwi kujipigia mahesabu Kama vile ni yako, kingine wanaume hawapendi mwanamke hivyo wa kumuomba hela kinachofanyika ni matumizi ya kawaida tu ya kila siku, huyo Jack au mwanamke yeyote anayejielewa hakutakiwa kujiingiza kwenye kulea hawa wazee Kama alitaka mtu wa kumlea basi yeye ndo angelipa Kwanza gharama hizo hata kumjengea hotel kubwa au biashara kubwa ndo huyo binti akaenda kumlea maana mapenzi ya kweli yalikuwa kwa mke wa Kwanza.
 
Where ya at boy?

Walk your talk. I’m right here ready to throw these hands.

Why you ain’t pull up?

Chicken [emoji215] [emoji1787]
Daaaamn..... Somebody better cuff me up and lock me Far in guantanamo before i catch a case up in here........ Boy u still talkin back at the ol old me..... Boy u better hush up......
 
Daaaamn..... Somebody better cuff me up and lock me Far in guantanamo before i catch a case up in here........ Boy u still talkin back at the ol old me..... Boy u better hush up......
You are all bark and no bite!

You said you wanted that smoke.

I told you to pull up coz I got truckload of it, just for you.

But you’re still running your mouth.

Come catch these hands, sucka!
 
Duh sijui tunabishana nini sasa na upo upande wa kile ninachosema. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekwambia binti alikuwa anakaba beki zote ili amshike mzee akili. Wewe unang'ang'ania ooh mzee alikuwa na uwezo wa kupiga na kusepa, sasa si ndio nakupa sababu kwann aligandana na binti sababu binti alimkazia mzee hakuwa anataka maisha ya kuwa mchepuko, alijua mzee age imeenda so akajua hawawezi toboa zaidi ya miaka 10 mzee atasanda.....
Nacho bisha mie ni kwamba mzee nae alitaka. Kama mwanaume hataki mambo ya mahusiano na hela anazo ata ufanye vipi humpati ng'oo.

Atakupa terms zake hutaki anakwambia kaa na mbususu yako warembo wapo wengi tuu. Wanawake walivyokuwa na tamaa ya trips za dubai na mazawadi unadhani angekataa? Uwezo wa kibabu yule kumla mbususu bila serious relationship ulikuwepo kabisa.
 
marafiki wamemponza.....ila dada yake mmoja mwenye busara alimshauri sana atulie ale vinono vya mchagga tajiri....yeye anataka avimiliki.....mali usiyoichuma kamwe huwezi kuimiliki....
Ila Jacky daahh;kachezea sana shilingi chooni atulie tu
 
Siyo rahisi ki hivyo Kama unavyofikiri, hela iliyo kwenye mfuko wa mtu hutakiwi kujipigia mahesabu Kama vile ni yako, kingine wanaume hawapendi mwanamke hivyo wa kumuomba hela kinachofanyika ni matumizi ya kawaida tu ya kila siku, huyo Jack au mwanamke yeyote anayejielewa hakutakiwa kujiingiza kwenye kulea hawa wazee Kama alitaka mtu wa kumlea basi yeye ndo angelipa Kwanza gharama hizo hata kumjengea hotel kubwa au biashara kubwa ndo huyo binti akaenda kumlea maana mapenzi ya kweli yalikuwa kwa mke wa Kwanza.
Kuna ugumu gani kumwambia mzee, naomba nifungue biashara nijichangamshe ubongo na mimi.....

Mzee alikuwa anatoa misaada ya hadi milioni 400, kusaidia vikundi mbali mbali, unataka nambia mtaji ni kiasi gani hadi mzee ashindwe kumpatia.
 
Unakuta Ben ni kifupi cha Bengals Chapurute Chopra.

Au Bengazi Aladin Sarabhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poooh mbakaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukisoma lile andiko utaona amemtaja dada yake kuwa ata take over custody ya watoto incase yeye, mama yao akiwa hayupo.
nnachogundua...warembo wengi (sio wote) na hasa wale ma-Miss miss sijui....akili zao ni mavi kabisa......nikiwazooom wote, wachache sana wana akili......
 
Ukisoma lile andiko utaona amemtaja dada yake kuwa ata take over custody ya watoto incase yeye, mama yao akiwa hayupo.
Pale ndo alipoharibu atii!kaahh yaani ndugu woote wa mengi aje kumueka shemeji!!hahahahahh
 
You are all bark and no bite!

You said you wanted that smoke.

I told you to pull up coz I got truckload of it, just for you.

But you’re still running your mouth.

Come catch these hands, sucka!
Ain't u the one who sent them three punk azz jacks to hustle me last night while i was on the way..... Damn i had to beat em up like Tyson beat them punching bags....
 
Back
Top Bottom