Sasa kwani kama hataki mbususu sii ataondoka tuu wapo watakao fika bei.Masharti gani ya kishenzi hayo mwanaume gani utakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwani kama hataki mbususu sii ataondoka tuu wapo watakao fika bei.Masharti gani ya kishenzi hayo mwanaume gani utakubali?
NakutafutaJack tatizo alikuwa ana tamaa sana, yeye angewazuga hata kidogo.
Mtu baba yake asipate urithi hata kidogo eti alipata kwa mama yao, ngumu sana aisee.
Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
Upuuzi mtupuSasa kwani kama hataki mbususu sii ataondoka tuu wapo watakao fika bei.
Si alifunguliwa biashara ya Furniture na FoundationKuna ugumu gani kumwambia mzee, naomba nifungue biashara nijichangamshe ubongo na mimi.....
Mzee alikuwa anatoa misaada ya hadi milioni 400, kusaidia vikundi mbali mbali, unataka nambia mtaji ni kiasi gani hadi mzee ashindwe kumpatia.
Nae ukute hakuwa mzima kiviile, cycle yake ya kina kinje acha tuEeh... na najiuliza huko uingereza kama bado anaenda kuchange naniliu bado ama lah na sijui nani anamgharamikia kwa sasa. Dunia imenyamaza ila anataka watu waongee.
Ila dada mrembo kama yule kisa mali ndo akajirisk vile? Mbona siwezi jamanj?
Nasikia huyo mzungu anaitwa Carl...muhuni fulani hivi hana maisha wala nini[emoji848]Jamaa anamfataga anamtembelea hapo. Sasa tytaaminije hawafanyi maasi mule ndani
Interior designing & decor ina relate sana na Jack na mambo ya urembo ambayo ni taste ya Jack, maana ni urembo kwenye mandhariMkuu kwa level ya jack biashara ya furniture haikua level yake..mie nasemea kampuni ambayo ingekuwa inadeal labda na construction huko unajilia mitender tu ..furniture,? Argh
Umenena kweli mkuu lakini unaangalia na soko lako..hizi mambo za interior desgn kibongongo ni wachache wanauelewa nazo..ni kama hazina hata 10yrs kuingia hapa .kupenetrate kwake nako mtihani .anywys wako wanaofford kununua hizo stuli za 3m...!Interior designing & decor ina relate sana na Jack na mambo ya urembo ambayo ni taste ya Jack, maana ni urembo kwenye mandhari
Halafu, we take for granted and we still have wrong holds and strong holds na aina fulani za biashara, furniture anayouza Jack sio kama ya Keko ni level nyingine...
Sio mpaka mtu akafanye construction ama aingie kwenye mining indursty, kwa wenzetu mtu anaweza fanya kazi ya kawaida tu, ila kwa level ya ustadi wa juu na akatengeneza pesa nzuri tu...
Don't be so yesterday, its a high time badilisha fikra.
Ndio sasa matokeo yake anayaona. Imekula kwake sasa. Confidence bwana confidence. Mwanamke una beauty alafu unashindwa kutumia vizuri ni ujinga.Upuuzi mtupu
Hakuna mwenye akili timamu alietafuta pesa kwa jasho akubali
ht mi ngekua mwanaume nisingetoa atulie azae tutalea
umepaniki**** la mama ako !
**** la mama ako !
Vipi wakuu kuna tatizo gani mbona mwatishiana amani?[emoji16][emoji16][emoji16]umepaniki
😀😀😀..unafananisha furniture za mchina na za amorette?mkuu furniture za Amorette ni level ya mbele, sasa kama tunanunua furmiture za kutoka nje kwanini tusinunue za kwake? dah you are better than this.
Yameisha mkuu but usi-discourage field za watu, field nyingi bongo haziheshimiwi sababu hazifanywi katika viwango vinavyostahili, bidada kama kashindwa biashara basi ni kwasababu strategy yake haikuwa nzuri lakini si kwasabu alichagua biashara mbaya. Peace😀😀😀..unafananisha furniture za mchina na za amorette?
Tulia ulambe Dawa Jackie acha utapeli**** la mama ako !
tatizo ni kale kanyama katikati ya mapaja.. yaani akili zote zinapoteage tukishakaona.. daaahaIla wazee wa kichagga sijui ndo niseme ni malimbukeni sana ama ni nn sijui. Yaan umalaya tu umewajaaa. Na haya ndo hugharimu familia. Watu wanazaa zaa ovyo. Nikimuwaza billionare mrema na ngurdoto yake na vitega uchumi vingine inasikitisha sana. Imagine michepuko imejilengesha huko kisa inajua kuna fursa. Wallah tungekifa wote. Halaf bado wanathibutu kunyoosha midomo.
Huyu procorine shayo naye aliyejigongesha juzi kati hapo tabata akafa naye baada ya kudaiwa kodi 2.4billion naye hovyo kabisa. Watu wanazaa ovyo ovyo tu. Hawajali masilahi ya wanaowaacha wala vitega uchumi walivyoviandaa... mtu uzeeni ndo unakuja fanya makosa ya kipuuzi hv. Mimi naheshimu watoto niliowakuta kabla ya ndoa. Ukija nimeshafunga utafurahi. Huyo baba yenu amalizane na nyie hukohuko. Tulieni jaman kaka zetu. Kwanza mnapitapita ovyo mnajiokotea maradhi wanawake wengine wamebeba mamikosi huko wengine wachawi tafrani.
Kaka zetu wa kichagga jitathminini sana. Munaacha majanga nyuma ya pazia..
Jf naipenda kujifunzia viswahili vitarafa vya kihuni cha hali ya juu.Alikua anataka mpaka bonite, itv [emoji28][emoji28] , ukute mzee aliandika wakati mnyama yupo ndani ya mbususu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji482][emoji482]
Yeas. I told u. Ila nammanya kwa jina la ben.Nasikia huyo mzungu anaitwa Carl...muhuni fulani hivi hana maisha wala nini[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Baso anachange damu huwaga enzi za meensa zakeNae ukute hakuwa mzima kiviile, cycle yake ya kina kinje acha tu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Masembo kabisaMajinga hayo yanashindwa hata kwenda Zoom College pale manzese kwenda kusoma Certificate ya Tailoring yanakuja kutupigia kelele hapa.