Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

sheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!
wanashindwa kuzingatia masilahi ya MWANAMKE MJANE kwa kuegemea hoja dhaifu?!!

1. saini ya marehemu imekosewa, hawasemi imekosewaje na kama sio ya marehemu inamaana basi mjane kafoji?! acheni kumdhulumu mjane, mpeni haki yake.
Naona domo zege unajionesha mwenye huruma ili upewe mbususu na jack
 
sina udugu na huyo mjane wala simjui zaidi ya kusoma na kufuatilia kesi yake.

ila mimi huwa sipendi MTU YEYOTE KUDHULUMIWA HAKI YAKE. huwa natamani ardhi ipasuke ninapoona mtu anadhulumiwa haki yake au kunyanyaswa.

Haki ya huyo mjane iko wazi kabisa.
Mali za mke wa kwanza ambazo zilishagawanywa nazo ni haki ya mjane?
 
Na sheria inatambua ndoa ngapi za kanisani ?

Serikali haina Dini so maamuzi yake hayaangali dini ya mtu ,kama umeoa/umeolewa kanisani na ukazaa nje na mtu mwingine,sheria za matunzo kwa mtoto zitakubana tu regardless hamkufunga ndoa kanisani na huyo uliyezaa nae nje.
 
Kweli kabisa.Wanawake wengi ni wasanii sana.wakati mother angu amefariki kuna mother mmoja alijisogeza sana kwa mzee,akawa anajipitisha pitisha sana kwakujifanya anamjali sana dingi.sasa dingi sababu ya upweke nikaona ameanza kumbonyeza yule mother kimtindo.badae yule mother akawa anamlazimisha dingi waweke mahusiano yao wazi alafu wafunge ndoa.Dingi akaja kutuambia eti nimeona siwezi kukaa mwenyewe nataka kuoa tukamtolea uvivu akawa mkali.maana tuliwaza mzee mwenyewe visukari na presha vinamtafuna kila siku ata kama ni kubonyeza akibonyeza kimoja anakua hoi wiki nzima.nikamfwata yule mother nikamwambia asije akalogwa akajifanya hatujui nia yake kwa mzee wetu.mbona yule mama alikata miguu.Kwahiyo kuna kipindi wanaume tunashikwa upofu tusijue nia za wanawake zetu.unaweza kudhani unapendwa kumbe unahesabiwa siku.tuishi nao kwa akili.
Hio ni Kweli kabisa, Wanaume wamekua mateka kwa wanawake na imewafanya wawe masikini kwani Mwanaume akishapambana akapate pesa mwanamke anaanza mission za kumzimisha ili achukue pesa hata akifukuzwa anang'angania kama kiroboto, na kama Mwanaume sio mjanja anarudi nyuma kimaendelea na Afya inazorota na inakua mwisho wa maisha, Mwanaume usiwekeze pesa na roho kwa mke, Zaa watoto wachache, achana na kutoa misaada, Wekeza kwa ajili ya uzee wako, na hakikisha mke hajui uwekezaji wako mkubwa uko wapi.
 
Maana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.
Soma nimesema hajui sheria za mirathi, sio wosia.
Asante.
 
Haijalishi historia. Uamuzi ni wa mwenye mali. Walitalikiana, je hawakugawana mali wakati huo? Yaani Mercy aliondoka tu? Mercy hakumjua Jacquelyn?
Yote haya yanatokea kwa kuwa wahusika wamefariki, na wenye tamaa wanatumia sheria mbovu za Tz kupindua mambo. Ila Reginald na Mercy walishaweka kila kitu sawa, na wote waliridhia!
Wewe naye kweli hujielewi. Unaambiwa kwenye wosia mali za mercy zimeandikwa kama za mengi wewe huelewi nn? Iweje mali z amwingine apewe mwingine? Na zaidi ziko biashara za familia. Una undugu na huyu kahaba nn? Basi yajayo atafurahi zaidi kama akiendelea kushupaza shingo kwa kufoji signature na kifo cha mwendazake.
 
Yaan mpaka kesho shayo ananiuma. Jamaa yetu jamani. Mwenyezi Mungu amrehemu. Lakini marafiki zake wangeweza mshauri vyema jamani. Sijui ilikuaje. Angehamia hata kule njuguni akalima vitunguu mbona angepata hela tu jamani. Ila magu kufa tena kwa kweli..
Ni yule mangi alijirusha n kugongwa n lori?
 
Katika hili ntasimama Jacklyn, mzee aliamua kumuachia mali zake mwenyewe wale wengine walishachukua chao mapema!! Huu ni uonevu na hakika karma itawapata!

Walichukua chao mapema kipi?
Yeye alikua wapi asichukue chake mapema?

Kati ya wanawake wenye uwezo mdogo wa kufikiri huyo Jacky wako anashikilia namba1

Yeye kaingia kwenye mahusiano na mtu mwenye uwezo mkubwa na mwenye watoto wake wakubwa aliochuma nao hizo mali karibia miaka 40 halafu anataka kuwa mmliki pekee🙄🙄

Kwa miaka zaidi ya 10 aliyokua na Mengi kilimshinda nininini kufanya kazi ya kufungua biashara zitakazokua za kwake na mume wake?
Angetumia akili sasa angekua na kampuni zake na pia angepata mgawo wake kwenye hizi mali sio kutaka kuchukua zote na kudhulumu watoto wengine...

Yaani kwa akili zake alitaka watoto wakubwa wa Mengi ambao ndio waanzilishi wa hizo biashara watupwe nje akae yeye!!?? Masihara haya😂😂😂😂
 
sheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!
wanashindwa kuzingatia masilahi ya MWANAMKE MJANE kwa kuegemea hoja dhaifu?!!

1. saini ya marehemu imekosewa, hawasemi imekosewaje na kama sio ya marehemu inamaana basi mjane kafoji?! acheni kumdhulumu mjane, mpeni haki yake.
hizo mali si kazikuta acha udwanzi
 
Walichukua chao mapema kipi?
Yeye alikua wapi asichukue chake mapema?

Kati ya wanawake wenye uwezo mdogo wa kufikiri huyo Jacky wako anashikilia namba1

Yeye kaingia kwenye mahusiano na mtu mwenye uwezo mkubwa na mwenye watoto wake wakubwa aliochuma nao hizo mali karibia miaka 40 halafu anataka kuwa mmliki pekee[emoji849][emoji849]

Kwa miaka zaidi ya 10 aliyokua na Mengi kilimshinda nininini kufanya kazi ya kufungua biashara zitakazokua za kwake na mume wake?
Angetumia akili sasa angekua na kampuni zake na pia angepata mgawo wake kwenye hizi mali sio kutaka kuchukua zote na kudhulumu watoto wengine...

Yaani kwa akili zake alitaka watoto wakubwa wa Mengi ambao ndio waanzilishi wa hizo biashara watupwe nje akae yeye!!?? Masihara haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao watoto cnc 2000 wanaendesha kampuni ya ipp,huyo malaya yeye kaja amekuta kila kitu sanasana kasababisha hasara kwa matumizi makubwa ya pesa kwenye matanuzi
 
hizo mali si kazikuta acha udwanzi
unajua maaana ya wasia.
wosia ndio umempa HAKI MJANE, sasa familia na sheria wamecheza na wosia ili kumnyima na kumminya mjane.

Hoja za kuupinga wosia wa marehemu ni DHAIFU sana na hazina uzito wa kubatilisha wosia wa marehemu haswa ukizingatia MJANE alikuwa mke halali mpaka marehemu umauti ulipo mkuta, hawakuwa na mzozano, marehemu na mjane walikuwa na maelewano na walikuwa na furaha ktk maisha yao mpaka umauti.....sasa leo unaanzaje kudhani kuwa wosia ulifojiwa?! eti saini siyo yake??

Maisha ya Mjane na Marehemu ni kielelezo tosha kuwa wosia huo ni wa kweli uliandikwa na marehemu kwa ridhaa yake na akiwa timamu, hapa kuwa na sababu ya mjane kufoji wosia maaana mapenzi yao yaliyo kuwa dhahiri shahiri ni kielelezo tosha hapakuwa na haja ya kufoji.
ikishindikana tutafika hata mahakama ya Afrika masharika mpaka haki ya mjane ipatikane.
 
Back
Top Bottom