lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Naona domo zege unajionesha mwenye huruma ili upewe mbususu na jacksheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!
wanashindwa kuzingatia masilahi ya MWANAMKE MJANE kwa kuegemea hoja dhaifu?!!
1. saini ya marehemu imekosewa, hawasemi imekosewaje na kama sio ya marehemu inamaana basi mjane kafoji?! acheni kumdhulumu mjane, mpeni haki yake.