Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Acha kabisa ilikuwa aibu kubwa sana,kuna Wageni walikuja kwa Harusi kutoka Mwanza tunafahamiana,baada ya Harusi kupaa walikuja nyumbani kusimulia,ni kweli kabisa ilibidi litengenezwe tukio la uongo la yeye kulazwa ili kuficha aibu ile na inasemekana alikuwa na kibendi cha Bwana Harusi tapeli aliitwa Charles Pai.Kibendi kiliishia wapi,nadhani na yeye hakutaka kubaki na alama ya maisha ya yule Tapeli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huyo Pai nani alimtegesha?

Au ndo zake za utapeli?

Ile ilikuwa ni balaa kwa Vicky[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa kumbe zilikuwa zake,anatafuta Wadada walio na uwezo kisha anawafuata kwa ahadi ya kuwaoa,na hivi alikuwa anafanya kazi Tigo ilikuwa rahisi sana kuwapata,alitaka kumtapeli Dada mmoja pale TBL dakika za mwisho Dada akastuka akampiga chini,baada ya miezi kadhaa ndiyo kaibukia kwa Vicky.

Tatizo Vicky alikuwa desparate kuolewa,japo Wajomba zake mmoja ni Padri na yule alikuwa RC Evarist Ndikilo walimkatalia kabisa na walikataa hata kupokea mahari ya jamaa,utadhani walijua kitakachokuja kutokea. Jamaa alimnasa kirahisi kwakuwa alikuwa na undugu wa karibu na Aliyekuwa Waziri Chikawe.
 
Alilazwa pale Tabata general hospital,Mama Sitta alitumia muda mwingi Sana kumfariji wakati ule, pia Kuna mchungaji mmoja kutoka Kenya ila Ni Msomali anaitwa Adam Haji alikuwepo pale anamtia neno la uzima, ilikuwa noma na nusu.
Vicky hakuwa sawa hata aliporudi bungeni maskini akawa yuko harsh harsh tu!

Mwanaume jasiri yule aisee!
 
Jamaa alikuwa na mke kabisa wa ndoa, na mke ndie aliekuja kuweka pingamizi kanisani, inasemekana Vicky alijuwa ila kwakuwa alishataka ndoa na ana jina mjini hakutaka kuachia hiyo chance..
Lakini pia jamaa hata kwa maelezo ya mkewe alikuwa hajali familia ndio design wale wanaume wadangaji kwa wanawake wenye ukwasi wao.
Ilimletea maumivu Sana ile hali bibie Vicky na wimbo akatoa.
 
Upo sahihi kabisa ni kweli alikuwa na mke na mtoto mmoja,na ndicho wajomba zake walikataa kabisa kupokea mahari baada ya kudokezwa hivyo,but Vicky sijui alikuwa anawaza nini?

Mama Sitta aliplay part kubwa sana kumfariji,na hivi alikuwa haelewani na Mama yake Mzazi pia,so Mama Sitta alichukua nafasi ya Mama.
 
Jamaa yupo alikua anafanya kazi Tigo kipindi kile sijui kama bado yupo , mtoto wa mjini Charles Gadner
 
Tigo walimtimua baada ya hiyo skendo,kulikuwa na pressure kubwa sana kutoka kwa Wanene wa Nchi hii,si unajua tena kuanzia Wabunge,Mawaziri wote walishachanga hadi michango ya Harusi,halafu kijana awaletee za kuleta.
 
Jamaa kumbe zilikuwa zake,anatafuta Wadada walio na uwezo kisha anawafuata kwa ahadi ya kuwaoa,na hivi alikuwa anafanya kazi Tigo ilikuwa rahisi sana kuwapata,alitaka kumtapeli Dada mmoja pale TBL dakika za mwisho Dada akastuka akampiga chini,baada ya miezi kadhaa ndiyo kaibukia kwa Vicky.

Tatizo Vicky alikuwa desparate kuolewa,japo Wajomba zake mmoja ni Padri na yule alikuwa RC Evarist Ndikilo walimkatalia kabisa na walikataa hata kupokea mahari ya jamaa,utadhani walijua kitakachokuja kutokea. Jamaa alimnasa kirahisi kwakuwa alikuwa na undugu wa karibu na Aliyekuwa Waziri Chikawe.
Duuh mkuu unajua mengi asee....ikawaje sasa?

Na jamaa yuko wapi now days, alikuwa mtu mzima sio kijana yule[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Alilazwa pale Tabata general hospital,Mama Sitta alitumia muda mwingi Sana kumfariji wakati ule, pia Kuna mchungaji mmoja kutoka Kenya ila Ni Msomali anaitwa Adam Haji alikuwepo pale anamtia neno la uzima, ilikuwa noma na nusu.
Vicky hakuwa sawa hata aliporudi bungeni maskini akawa yuko harsh harsh tu!

Mwanaume jasiri yule aisee!
Unajua mtaani rumours ilikuwa eti mke wa " vasco da Gama ndo alimtegeshea huo mtego wa Pai, coz alikuwa na kisasi cha kuzaa na hubby wake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kabisa ni kweli alikuwa na mke na mtoto mmoja,na ndicho wajomba zake walikataa kabisa kupokea mahari baada ya kudokezwa hivyo,but Vicky sijui alikuwa anawaza nini?

Mama Sitta aliplay part kubwa sana kumfariji,na hivi alikuwa haelewani na Mama yake Mzazi pia,so Mama Sitta alichukua nafasi ya Mama.
Heee alikuwa haelewani na mama yake..itakuwa ni mkorofi basi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanaocomment wako emotional , hawajui nn hasa kilitokea mpaka mengi akaandika wosia wa namna ile... kwenye familia huwa kuna mambo mengi sana tusioyajua watu wa nje na laiti km yakiwekwa wazi utashangaa wote tutaanza kumtetea jack
Hawezi kuwatenga , wakati watoto haohao ndio wanaendesha hizo kampuni.
 
Duuh mkuu unajua mengi asee....ikawaje sasa?

Na jamaa yuko wapi now days, alikuwa mtu mzima sio kijana yule[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Vicky namfahamu vizuri na familia yake,tumekuwa pamoja. Kuna mambo mengine nikiongea anaweza stuka akanijua mimi nani [emoji3][emoji3][emoji3]

Yule Tapeli sina uhakika kwa sasa yuko wapi kwakweli,lakini Vicky ndiyo huyo aliishia kujikabidhi kwa Dr Likwelile ambako nako mambo yanawaka moto kati yake na Watoto wa Marehemu,anataka kuleta ujuaji wa Jacky,lakini naona kule kadhibitiwa vizuri na uzuri familia yake Vicky ni wacha Mungu so hakuna anaempa hiyo support anayoitaka kuhusu swala la mirathi ya Marehemu Likwelile.
 
Unajua mtaani rumours ilikuwa eti mke wa " vasco da Gama ndo alimtegeshea huo mtego wa Pai, coz alikuwa na kisasi cha kuzaa na hubby wake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ma mke wa vasco da gama shughuli yake huwa si ndogo. Hata mwendazake anamtambua[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] chamba woote na bado akarudishwa msata na ving'ora.
 
Back
Top Bottom