mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Si bora hata wewe umekaa hyo 40.kuna mwenzio anazaliwa Sasa hivi na anakufa Sasa hivi.
Na Kuna wenzao wamelala miaka na miaka makaburini tangu Adam mpaka Leo wapo chini.na sisi tutakufa na Dunia itaendelea.
Mpaka siku ambayo MUDA UTASIMAMA ndo itakuwa mwisho wa dunia