The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Ni huzuni kuu ila tufanye sana mazoezi,safari fupi fupi za 1&4 km tuzijongee kwa miguu hakuna hasara tutapata.Siku hizi naona kisukari kinapeleka watu ardhini si kawaida.
Mambo ya kusema hapa na pale boda ni buku tu niwahi kufika siyo mazuri vyakula vyenyewe hivi tunakula havieleweki.