Alicopy kutoka kwenye Biblia zaburi."Umri wa umati wangu ni baina ya 60 na 70"
Mtume Muhammad S.a.w.
Kuna vitu vya kukumbushana Mkuu, lakini sio mambo ya kufa katikati ya usiku wa saa 5tunakumbushana kidogo
Mkuu ongeza kidogo hapo bhana, ungesema wenye 55 labda!Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
Sukari tishio Vibaya mnoSiku hizi naona kisukari kinapeleka watu ardhini si kawaida.
Mleta mada asitutishie.Namuomba Mungu kwa hilo. Bibi yangu yaani mama yake baba alijaliwa miaka 95. Babu yangu yaani baba yake baba alijaliwa miaka 85. Kaka yake baba kwa sasa ana miaka 80. Naweza kusema wamebarikiwa kuwa na strong gene.
Mimi.Nan mjukuu wako nan ??
Mtoa mada ana hofu tu na kifo. Amrudie Mungu ataishi kwa matumaini kwa miaka mingi tuMleta mada asitutishie.
Kwamba miaka 20 ijayo hapatakua na mtanzania mwenye umri wa miaka 70+..acha umamaNature tu watakaopindukia 30yrs ni wachache na hawatakuwa na furaha. Ila wengi wenu mtakufa miaka mitano ijayo mpaka ishirini ndio tutafutika wote.