mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ahadi ya uzima inatoka kwa Mungu, ukiishi kadiri ya sheria zake, basi utabarikiwa siku nyingi duniani.Life expectancy ya USA ni miaka mingapi? na Tanzania ni mingapi? Namba hazidanganyi.
Namuomba Mungu kwa hilo. Bibi yangu yaani mama yake baba alijaliwa miaka 95. Babu yangu yaani baba yake baba alijaliwa miaka 85. Kaka yake baba kwa sasa ana miaka 80. Naweza kusema wamebarikiwa kuwa na strong gene.Hakuna kukata tamaa mkuu, tunamiaka mingi sana ya kuishi. Labda dharura itokee ituharakishe ahera. Baba yako atafikisa miaka zaidi ya 85.
Halafu eti wasira wala hana hofu ya kifo. Unashangaa kijana kabisa wa miaka 40+ prime age kabisa anaanza kuwaza na kukiogopa kifo. Kifo kipo tu ukiwazie ama usikiwazie lazima kije.Yaani Wasira asiwaze kufa ndiyo mtu wa 40 awake kufa.
Sasa kijana aliyejiua ni nini kama sio kumkosea Mungu tu?Unadhani wanaokufa wangali watoto wamemkosea Mungu?
🤣 🤣Kwanini mkuu....!??
Kuna mpango maalumu wa kutumaliza wazee au....!??
kwa sababu yeye ni gen ile ya zamani, ni kundi la wale watu wakigonga 100 ni kawaida ila kwa kizazi chetu ngumu sna, ukifika 60 ata kazi unaachishwaHalafu eti wasira wala hana hofu ya kifo. Unashangaa kijana kabisa wa miaka 40+ prime age kabisa anaanza kuwaza na kukiogopa kifo. Kifo kipo tu ukiwazie ama usikiwazie lazima kije.
Mwendo wa Ki Russia..looking good me no English good..Ndiyo maana mi nmejiamulia kuchakata mbususu mpaka zinikome!maisha mafupi sana haya kujihuzunisha!
Kuna bwana mmoja alistaafu 2003, akasema soon nakufa, acha nizitafune chapchap hizi hela za kustaafia, leo ni 2026, bado yupo kitaa. Dadekiiii, hela hana, bahati yake alijenga vyumba vya kupangisha, anaishi kwa kodi. Na ni wale ambao walipostaafu walilipwa chao choteNawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
Wala sio ngumu sema basi tu, watu wanamkosea Mungu sana kipindi hichi na wengine wanaishi maisha ya kukata tamaa na sonona. Hiyo ndo silaha kubwa inayokatisha maisha ya watu na kuwazeeshakwa sababu yeye ni gen ile ya zamani, ni kundi la wale watu wakigonga 100 ni kawaida ila kwa kizazi chetu ngumu sna, ukifika 60 ata kazi unaachishwa
Kwenye Biblia, Mungu kuna mahali anasema atalipa kisasi kwa vizazi vya waovu mpaka kizazi hata cha tano. Saa nyingine vipo vya watoto vinatokana na madhambi ya wazazi wao. Imekaa kiimani zaidiNasemea watoto 10yrs n bellow sio vijana.
wengine mbna wanaandaa sehem zao za kuzikwa kabisa wanajua kabisa mda ushaisha, wewe unataka kuishi mpaka liniWala sio ngumu sema basi tu, watu wanamkosea Mungu sana kipindi hichi na wengine wanaishi maisha ya kukata tamaa na sonona. Hiyo ndo silaha kubwa inayokatisha maisha ya watu na kuwazeesha
Mimi sijapinga kufa ila nashangaa nyie mnaotaka kuacha kutimiza kusudi la maisha kwa kuwaza kifo.wengine mbna wanaandaa sehem zao za kuzikwa kabisa wanajua kabisa mda ushaisha, wewe unataka kuishi mpaka lini
tunakumbushana kidogoKuna watu wanajua kutupandisha visukali Wazee wao bila sababu
Hivi kweli hii ndiyo mada ya kuiandika saa 5 usiku?
NB: This World is not my home by Jim Reeves
Nan mjukuu wako nan ??Unaniambia nini Mimi ambaye mwezi wa tatu napindukia miaka 62 na Sina wasi. Yaani sifikirii kama nitakufa.
Mjukuu wangu Monetary doctor niletee Kiko babu yako.
Vichungu na pombe kali zinawamaliza vijana.Siku hizi naona kisukari kinapeleka watu ardhini si kawaida.