Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

tunakumbushana kidogo
Kuna vitu vya kukumbushana Mkuu, lakini sio mambo ya kufa katikati ya usiku wa saa 5

Alichofanya mtoa mada ni kutunyanyasa kisaikolojia sisi Wazee, ambao kama ni mshale wa saa unaonesha saa 4 za usiku sio saa 7 mchana kama walivyo vijana wengi humu 🙌 🤪
 
Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
Mkuu ongeza kidogo hapo bhana, ungesema wenye 55 labda!

Life expectancy ya mbongo ni 62 kwa sasa na za kwenye baibo ni 70 na 80 kwa kusuasua!

Sasa wewe nani kakwambia kuna kifo cha 60?

Una presha ama kisukari ukihofia usitoboe?

Jiandae na uzee wa kupinda sura na mgongo sasa!
 
4 Km jogging siku nne za wiki
100 push up
100 body squats
50 sit up
50 pull up
50 mountain climbing
Kila siku vimenisaidia kuepukana na mengi yenye kutishia uhai wa sisi wazee!!!
Mimi jukumu langu nimeshalimaliza kilichobakia ni kudra za Mungu!!!!!
 
Labda kama mtu ana maradhi/anaugua magonjwa na ajali ya kufa ndio anaweza kufa ndani ya hiyo miaka 20 uliyoikadiria. Wengine tutaishi zaidi ya miaka 100
 
"Age doesn't make you old... 'Old' doesn't push you to death"....
 
Nature tu watakaopindukia 30yrs ni wachache na hawatakuwa na furaha. Ila wengi wenu mtakufa miaka mitano ijayo mpaka ishirini ndio tutafutika wote.
Kwamba miaka 20 ijayo hapatakua na mtanzania mwenye umri wa miaka 70+..acha umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…