Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

Siku hizi naona kisukari kinapeleka watu ardhini si kawaida.
Ni huzuni kuu ila tufanye sana mazoezi,safari fupi fupi za 1&4 km tuzijongee kwa miguu hakuna hasara tutapata.

Mambo ya kusema hapa na pale boda ni buku tu niwahi kufika siyo mazuri vyakula vyenyewe hivi tunakula havieleweki.
 
Kifo ni zawadi
Na ni mchakato wa muda mrefu na ukifika muda wako
wa kukata moto mchakato unajifupisha

Nature iki ku select imeisha hiyo

When my time and work is over i'll fly away!
 
Chukua chako mapema, Then Ponda mali kufa kwajaa!! 😂
 
Ukitaka kujua ukifa itakuaje kwako soma Kitabu cha kumbukumbu la Torati sura yote ya 28.Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…