Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
- Thread starter
- #101
Watanzania wengi naturally ni wajinga,sio watu poa.Siku hizi inaniwia vigumu kutenganisha kati ya "waTanzania kuwa watu poa sana", na "waTanzania kuwa watu wajinga sana".
Nikitakiwa kueleza, huenda nitaandika kitabu kizima.
Wanapenda vitu vyepesi sana eg. daily events hasa udaku