Autodidacts JF-Expert Member Joined Jun 9, 2021 Posts 1,165 Reaction score 1,804 Jul 1, 2021 Thread starter #101 Kalamu1 said: Siku hizi inaniwia vigumu kutenganisha kati ya "waTanzania kuwa watu poa sana", na "waTanzania kuwa watu wajinga sana". Nikitakiwa kueleza, huenda nitaandika kitabu kizima. Click to expand... Watanzania wengi naturally ni wajinga,sio watu poa. Wanapenda vitu vyepesi sana eg. daily events hasa udaku
Kalamu1 said: Siku hizi inaniwia vigumu kutenganisha kati ya "waTanzania kuwa watu poa sana", na "waTanzania kuwa watu wajinga sana". Nikitakiwa kueleza, huenda nitaandika kitabu kizima. Click to expand... Watanzania wengi naturally ni wajinga,sio watu poa. Wanapenda vitu vyepesi sana eg. daily events hasa udaku
S semtawa JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,129 Reaction score 1,175 Jul 2, 2021 #102 Hance Mtanashati said: Aisee Click to expand... Uwe na adabu basi.