Usicho gundua ww ni kwamba washamba wapo wengi kuliko ww mjanjaSijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Kila masika ina mbu zake...tunashukuru kwa mchango wako wa mawazo.Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.
Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Wewe MTU una akili sanaAcha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Kaka Uishi maisha Marefu...Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Wewe MTU una akili sanaAcha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Kwa kutumia mguu huohuo mmoja kamzidi mafanikio huyo christina.
ANGETUMIA MIGUU MIWILI angefanya kufuru.
Maajabu anayofanya kwa mguu mmoja yangekua x 100.
Hahaha....eti Tambara.Ni povu baada ya huyo unayemshabikia kuishia kunyanyua tambara lake uwanjani huku mnyama akinyanyua ndoo zake mbili...
Ushamba ni kunyanyua tambara uwanjani na kujiona nyota...!!
Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Itamchukua Mungu miaka mingapi etiii.....sidhani kama hii haitakua mzaha aisee.....Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Messi alikosa penalt katika fainali ya mechi ya Argentina iliyokaribia kuwapa kombe.Nyie mnaosema Ronaldo sawa,,mkali sanaaa ila messi ni mkali zaid ya snaaaa maana anafunga mpaka kwenye penati anatoa pasi,,ronaldo anaweza hilo
Sio kweli.Messi ni malaika aliyetumwa na mungu kushughulika na issue za mpira
Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...
Ronaldo anatumia nguvu nyingi sana mpaka hapo alipofikia ila messi kajaliwa kipaji.... Yan haitaji kujituma kivile simply vinakuja vyenyewe.. Ni sawa na ginius anaweza asiingie class ila kila pepa wew unakaaa....Miaka mi5 mfululizo kinara wa ufungaji ucl,10 goals kuanzia robo fainali tena si na celtic bali vs bayern,atletic,juve.bado msimu huu kwenye ucl amemzidi goals na assist huyo Messi...Messi na Ronaldo ni wachezaji bora,kila mtu ni zaidi ya mwenzake kwa muda wake.Ronaldo ni zaidi ya messi,Period.
Nashangaa!!Messi ndio nani?