Kuongezea huyu CR7 ana ndoa ngapi kwa miaka 2016-17 kulinganisha na huyo Messi?Mimi namkubali Messi anapokuwa uwanja akifanya uchawi wake lakini tukirudi kwenye statistics CR7 yuko juu ,tumpende tu Messi wetu na pia tukubali kuwa takwimu zinamkubali Ronaldo! Messi anaonekana kuridhika na vile alivyo na hana hofu akuwa na mpira sababu kuu ana nafasi ndogo mno ya kukosea anapokuwa na mpira wakati ronaldo yuko focused na muanagalufu na anajua ana njia zaidi ya kumi za kupoteza mpira kwa kuwa hana desturi ya kuwa fedhehesha sana wapinzani wake bali huwa adhibu nyavuni kwao!
Hata vichwa hawezi anasubiri kuviziaCR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Sidhani kama kuna jina linalokufaa zaidi ya mpuuzi.
Huyu La purga jamani anatumia 100% ya ubongo akiwa uwanjani!!..akishika mpira unaona kabisa furahaHuu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Kamuulize Giorgio Chiellini anamajibu.. Dk 180 aliweza kumzuia Messi..ila Ronaldo kawafanya kitu mbayaRonaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Mchezaji wa dunia nyingine anafanya mambo ya kawaida sana.
Mchezaji wa Kawaida anafanya mambo makubwa na mazito.
Duuh!. Pole sana. Cr7 ni habari nyingine.
Hata vichwa hawezi anasubiri kuvizia
Siwez kukulaumu Mkuu, nailaumu nchi yetu kukataza viroba baadhi ya mikoa ikiwa wengne mnaendelea kuvifaidi
Mkuu nakuheshimu ila jaribu kuedit maelezo yako hapo unaposema hakuna kiumbe chochote duniani kinaweza kumfikia Messi..Naona umeamua kuwa mshabiki uliyezama kwenye mapenzi yanayokufanya uwe kipofu kama sio mfu kabisa..Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
mESSI NI KIPAJI, CR ANAFORCE
KAMA INGEKUWA DARASANI BASI MESSI NI GENIUS THEN RONALDO NI MWENYE AKILI ZA KAWAIDA ANAYEHITAJI KUKESHA ILI AFAULU
bado cjaona ambacho kamzidi CR71: olympic medal
2: fifa club world cup u20
3: Mchezaji bora kombe la dunia
4: Kuifikisha timu yake Final world cup
5: Kupa timu yake trebo mara mbili
UKITAKA NIENDELEE NAWEZA HATA KWA.KUTOA SABABU BILIONI 1View attachment 519798
Atakae walinganisha mesi na ronaldo na yeye hajui kutofautishaMkuu unazungumzia kipi hicho ambacho Messi amewahi kukifanya miaka miwili mitatu nyuma?!.
Miaka 5 mfululizo Ronaldo anaongoza kwa ufungaji bora kwenye UCL,huyo Messi amefanya hivyo lini?!.
Wengi wetu tunamsifia CR7 kwa ufungaji wake wa umahili ambao ameuonysha kwa miaka 5 bila upinzani wowote hata wa huyo Messi.
Messi ni mzuri,lakini CR7 amethibitisha hana mpinzani.
Ni hayo tu.
Yeye mwenyewe haijuiAiseee.. Sasa kwanini asiende huko kwao sayarini..!?
Heheheeee... Mnatimia mbinu nyingi sana. Ila tu nikwambie ataishia kuwanyanyasa hao hao man u na Arsenal. Lakini uliza Chelsea ilimfanya nini au aliifanyia Barca ilipokutana na Chelsea.?Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...
Ni kweli usemacho, lakini angekuwa bora zaidi messi angeweza kusaidia taifa lake kuchukua kombe la dunia na club yake kuchukua uefa japo kwa mwaka huu.. Ronaldo have done that recently..Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.