Would you say it? (Ungesema?)

Would you say it? (Ungesema?)

Kwanini useme..., kosa la kwanza ni ku-cheat; kosa la pili ni kumwambia mwenzako....... Why you might ask, Jibu ni kwamba ukimwambia mwezako utamuumiza na ataumia zaidi kwahiyo la kufanya ni kuacha kucheat na kuhakikisha mwezako asijue...., wanasema what you dont know wont hurt you......​
 
hahah tatizo smiles wengine wanajaribu kuishi kwenye utopia...while I agree kwamba "the truth shall set you free" but do you know what is the truth? is there something like truth in the world?halafu, ivi tukiwa wawili tunakuwa tunacheat ama vipi manake majuzi tu tulikuwa bondeni apo tukidumisha mila....orait wazee hawacheat wanadumisha mila ila sasa wewe ulicheat LOL
Hahahahhahahahahahah.......Nimecheka hadi nimekaa chini!!Hiyo event mi sikumbuki kabisa!!
 
hahah tatizo smiles wengine wanajaribu kuishi kwenye utopia...while I agree kwamba "the truth shall set you free" but do you know what is the truth? is there something like truth in the world?

halafu, ivi tukiwa wawili tunakuwa tunacheat ama vipi manake majuzi tu tulikuwa bondeni apo tukidumisha mila....orait wazee hawacheat wanadumisha mila ila sasa wewe ulicheat LOL
Hommie...hapa kikazi au maslahi binafsi?

Kuna baraka za chama?
 
Hakuna bahati mbaya hapo....Wakati unafanya u were well aware of what u are doing!Na sababu itakayokufanya ukae kimya ni kwa sababu u intend to repeat the same mistake again... Typical guys!

you have some grudges against us...or what,...?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aisee...Kiongozi...CAN you do it....au ndo unamwambia mkiwa Serengeti plains? LOL

what bana!?...nishasema uibilisi huo mie sina, unaning'ang'anizia majibu ya kishetani?
 
Bado sijakupata....But I'll leave it as it is for now!
Mheshmiwa Kizer amenipata ebu muulize aiweke into simpler words!
kuna vitu vingine unaomba visitokee (personally, naomba hivyo pia!) ila yakitokea..u gotta do ze nidful..
 
NAdhani hapa
ndio mahali UONGO UKWELI unatumika..
gusa maji kama ni ya moto sana au ya baridi
kupita kiasi kabla hujaingia bafuni..
 
Hivi ni factors zipi humfanya mme au mke au BF ama GF kucheat?
nasema hivi coz tukiwatunajua chanzo ni rahisi kuzuia ili isitokee tena tuishi kwa amani.
 
what bana!?...nishasema uibilisi huo mie sina, unaning'ang'anizia majibu ya kishetani?


hahaha...sawa mkuu nakuelewa...unajua tena ukiwa kwenye "penzi jipya" LOL...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi ni factors zipi humfanya mme au mke au BF ama GF kucheat?
nasema hivi coz tukiwatunajua chanzo ni rahisi kuzuia ili isitokee tena tuishi kwa amani.

Mkuu Wilbald

Hizo red bold....hao viumbe hawacheat ila wanadumisha mila...mwanaume hacheat bana........unaweza kushindana na nature?
 
No! Never grudges!Just some useful knowledge on how u operate....

To my knowledge, it has never been useful...LOL I thot this 'maternity' leave of yours would have changed u but behold, you are still the same:juggle:
 
Yo my knowledge, it has never been useful...LOL I thot this 'maternity' leave of yours would have changed u but behold, you are still the same:juggle:
You can never go against nature......
 
Mkuu Wilbald

Hizo red bold....hao viumbe hawacheat ila wanadumisha mila...mwanaume hacheat bana........unaweza kushindana na nature?
nipo kivitendo zaidi....
[h=2]The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:[/h]
Kaizer (Today)
 
Back
Top Bottom