VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Kwanini useme..., kosa la kwanza ni ku-cheat; kosa la pili ni kumwambia mwenzako....... Why you might ask, Jibu ni kwamba ukimwambia mwezako utamuumiza na ataumia zaidi kwahiyo la kufanya ni kuacha kucheat na kuhakikisha mwezako asijue...., wanasema what you dont know wont hurt you......​