WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

 
Very interesting thread!
Kuna vichwa hapa...acha kabisa msenza mkulu anachomeka maswali ya ki ubishi ya msingi lkn .....Eiyer anafafanua kadiri anavyofafanua anatupa mambo mengi ambayo mimi binafsi nilikuwa siyajui .......most importantly nilichojifunza kutoka kwao ni wastahimilivu wanapingana vikali lkn hawatukanani hawadharauliani funzo kubwa sana hili
 
Mimi nmependa sana namna ufafanuzi wa Eiyer unavyochimbua hoja .. Yaan ile unajibu swali kuzidi swali yenyew kitu ambacho kinaongeza maarifa kwetu sisi wachanga... Pia msenza mkulu anauliza maswali mazuri ili ufafanuzi uendelee ...

Heshima kwenu wakuu!!!
 
MSEZA MKULU
Your points are logical and backed up by the Bible to my perspective.
Big up.

EIYER
You're not hitting to the point just running around the bush.

All in all very interesting thread.
Great debate.
God bless you all Saints.
Sawa sawa mkuu......
 
Nina vyanzo vingi sana tena sana,hata nikikupa huamini maana naona wewe umefunga akili yako kwenye kijibox ambapo hutaki kutoka humo...
mkuu japo kuna mambo sikubaliani na wewe ila kiukweli nimetokea kukupenda kwa aina ya uchangiaji wako na ujuzi wako wa mambo.............

Nina vyanzo vingi sana tena sana
hiyo statement nimeipenda mkuu nitakutafuta inbox.................
 
Daah umetisha sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo suala limewaathiri vip watu hao "weupe" ukiachana na sisi watu weusi? Sidhani kama waliopanga haya kutokea walitambua uwepo wetu sisi watu weusi.

Sijui kama nmeuliza vizuri mkuu MSENZA MKULU NA Eiyer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo suala limewaathiri vip watu hao "weupe" ukiachana na sisi watu weusi? Sidhani kama waliopanga haya kutokea walitambua uwepo wetu sisi watu weusi.

Sijui kama nmeuliza vizuri mkuu MSENZA MKULU NA Eiyer

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unamaanisha nini unapouliza "hilo suala" unakuwa unamaanisha suala lipi maana kwenye mada hii tumejadili mengi sana....

Kama unamaanisha vita ambavyo ndiyo msingi mkuu wa mada hii jibu lake ni kwamba athari kwao zipo,lakini pia wakati wanapanga vita hivi siyo kweli kuwa walikuwa hawajui kuhusu watu weusi....

Watu weupe wanafahamu uwepo wa watu weusi kabla hata ya wao kuja huku Afrika kama wakoloni karne ya 14 maana Roman Empire ambayo ilitawala hadi sehemu za Afrika kuanzia miaka 400 B.C....

Madhara ya vita hivi siyo rahisi kuyaeleza na itategemea tu unayaeleza kwa mtazamo upi kwa huko kwao lakini naomba tu ujuwe kwamba madhara yapo maana kama walipanga basi vita hivi viliwaathiri wao vile vile....
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Ubarikiwe tena na tena....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,Vatican ina play sehemu muhimu sana kwenye haya mambo ya nyakati hizi pamoja na mengine....

Natamani siku moja nije nianzishe thread ya jambo hili,tuombe Mungu hili nije nilifanye siku moja....
ni kweli vatican ina play sehemu muhimu. NA IMEPEWA NGUVU YA KUFANYA HIVYO. Lakini sio hiyo peke ILIYOPO inayofanya kazi . Bible imeweka ufunuo wa mtiririko wa hizi nguvu(ufunuo 6) na imezigawa katika makundi makuu7, Manne ya kwanza YANAHUSIKA MPAKA KIPINDI HIKI na zote zinakwenda kuleta hali fulani/mazingira katika hizo nyakati za mwisho kuwepo hayo yalioonyeshwa yatatokea. Nafafanua nguvu hizi kwa ufupi kutoa mwangaza kwa wasiojua
Bible kwenye kitabu cha ufunuo kuna seven(7) seals zimeandikwa.[seal=muhuri] Hizi seals zinaelezea matukia tangu kipindi cha Yesu mpaka vita vya mwisho wa Dunia (Armageddon)
Four(4) seal za mwanzo ni farasi. na ni nguvu fulani za kiroho (unaweza ukasema Horse power za kiroho) kila moja imetolewa maelezo ya ziada katika kitabu (bible) cha Zekalia 6. Na imeeleza zaidi kuwa hizi Nguvu ni Four spirits (roho nne), yaani kila nguvu ni aina flani ya ROHO. Kwa hiyo mtu aliefunikwa na nguvu hizi atasukumwa katika roho yake kufanya kwa nguvu kile roho inataka (mtaelewa tu) mfano kichaa anasumbuliwa na roho ya ukichaa, ipo hivyo. Anaejiua sio yeye ni nguvu fulani inayomuwezeshakufanya hivyo.

Ufunuo 6,
  • Farasi wa kwanza MWEUPE; ROHO YA UKATORIKI, inamuhusisha papa na ukatoriki na namna wanavyoendesha mambo yao. Roho hii imeenea duniani. Hapa inahusu hayo yote Eiyer anatamani kuzungumzia
  • farasi wa pili mwekundu; Roho ya ukomunist na inajitambulisha kwa rangi nyekundu (angalia benera Zao mfano China na Urusi) Roho hii imepewa upanga ambao ni nguvu za kijeshi
  • farasi wa tatu mweusi; Roho ya ubepari. na Zekaria 6.6 anaonyesha roho hii imeelekea kaskazini. Ndio mana nchi za kibepari zipo huko kaskazini (northen hemisphere)
  • Farasi wa nne, kijani iliyopauka (pale green) kwenye biblia tafsiri ya kiswahili wameandika kijivujivu lakini ni kijani iliyopauka kwa tafsiri sahihi. Hii ni Roho ya Uislam na hapa ndipo UISLAM umetambuliwa rasm kwenye bible. Hii roho ndio imefuatwa na umauti na kuzimu. Roho hii imepewa nguvu kutawala robo ya dunia na inaendekeza sana MAUAJI kama njia ya kujieneza. Rangi inayojitambulisha ni hiyo kijani iliyopauka(angalia bendera zao)
Kwa hiyo Hizo nguvu bwana Eiyer unaweza ukaelezea ukatoriki na wataalamu wengine wakaelezea zingine. Wote hao wanafanya maovu kwa viwango vyao, kama kuna anayeonekana na nafuu, basi mbeleni lazima ataleta fujo sana hasa huyo farasi
mwekundu. Kufanana kwa hizo roho nne mpaka zote zikaonyeshwa kwa alama ya farasi ni kwamba, ZINAPOJITOKEZA KWENYE JUMUIYA ZINAJITAMBULISHA NA KUWA NI ZA AMANI NA NZURI, hakuna hata moja itajionyesha ni KATILI, lakini nyuma ya mgongo, uvunguni wanafanya maovu hatari katika kujieneza na kushughulikia wapinzani wao.

Tukirudi kwenye mada; Ni kuwa hata kwenye bible hivi vitu vimeonyeshwa, yaani WWI na WWII ni pale tarumbeta ya kwanza (WWI) na Tarumbeta ya pili (WWII) katika ufunuo.
Fuatilia tarumbeta hizi kwenye ufunuo zilipopulizwa nini kilitokea. Tarumbeta zinaenda mpaka ya saba. Kila moja ikipulizwa ni janga kubwa linatokea duniani.
 
si kweli vita vya dunia vina maana kubwa zaidi ya unavyofikiria kwa ufupi ni ivi Yesu aliwekwa Mfalme wa Ufalme wa Mbinguni mwaka 1914 na shetani alitupwa dunia(ujirani na dunia sio dunian kabisa) matokeo yakuwa nn soma ufunuo 12: 7-12


jw.org/sw
 
si kweli vita vya dunia vina maana kubwa zaidi ya unavyofikiria kwa ufupi ni ivi Yesu aliwekwa Mfalme wa Ufalme wa Mbinguni mwaka 1914 na shetani alitupwa dunia(ujirani na dunia sio dunian kabisa) matokeo yakuwa nn soma ufunuo 12: 7-12


jw.org/sw
Umetoa wapi hili?
 
Hii mada inafaa sana kuwafungua Waafrika na tutambue kuwa dini zipo ili tutawalike pili elimu tunayopewa ipo Kwa ajili ya kutumwa kuanzia msingi msingi mpaka vyuo na bila Waafrika kujitambua tutabaki watumwa mpaka Dunia itakapo koma ili tutoke hapa lazima turudi zama za mawe tuanzie pale babu zetu walipoishia ndio tutajua tuelekee wapi Kwa rasilimali tulizonazo na pia kuachana kabisa na elimu za kitumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…