WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Eiyer katuacha kwenye mataa,nina imani atarudi nakujibu hoja zetu
 
Kuanza kufikiria tu ili kiumbe kzaliane ni mpaka kiwe na njinsia ni kosa kubwa,lakini maandiko yanasema kuwa malaika hao [waana wa Mungu] waliwatamani wanawake wa kibinadamu na wakaona ni sawa kisha wakajitwalia wakawa wake zao,sasa hapo unaona wazi kilichotokea ni nini...

mkuu kama nakupata hivi lakini baadaye sikuelewi..
naomba kuuliza swali.

Unasema kuwa kinachozungumzwa hapo mwanzo 6 ni kuwa shetani na jeshi lake (wafuasi) wake ndio walizini au kufanya nao ngono, hata kukatokea hiyo gene. Kwa maana nyingine unachosema ni kuwa hiyo kazi ilifanywa na "shetani pamoja na wafuasi wake".

SWALI.
Kama ni kazi ya SHETANI NA WAFUASI WAKE kwa nini bible iseme kuwa ni "wana wa Mungu" ilhali ni shetani, na wakati huo shetani alikwisha anguka kutoka mbinguni, na wakati huo SI TENA MWANA WA MUNGU na hakuna sehemu yeyote kwenye biblia inam refer shetani (au malaika zake) kama mwana au wana wa Mungu. najua kuwa hapo mwanzo walikua malaika BUT they are no more sons of God.

PILI. Wakati Yesu alipoulizwa swali "la kumtega" na masadukayo kuwa "mwanamke mmoja aliolewa na ndugu tofaouti tofauti saba but hakuweza kuwazalia mtoto je siku ya mwisho atakua mke wa nani kati ya wale saba?
Yesu akajibu kuwa huko watu wanakua kama "Malaika" maana yake mambo ya ndoa na tendo la ndoa na mambo yote ya kimwili Malaika hawana, yaani kwa lugha nyingine rahisi haiwezekani kuwa kama malaika na kuanza kufikiri mambo ya kuoa na kuolewa, Hii inaondoa dhana kuwa hawa wana wa Mungu ni Malaika wa Mungu.

na kama ni shetani na kampuni yake kwa nini hapo waitwe WANA WA MUNGU??

nawasilisha.
 
Ahsante kwa swali zuri sana na nitalijibu kwa namna maandiko yalivyo....

Suala la Shetani na malaika zake kuwa au kuitwa wana wa Mungu ni suala ambalo liko wazi kwenye Biblia maana kwenye agano la kale hivyo ndivyo walivyokuwa wakiitwa malaika....

Ngoja nikupe sababu ya kwanza ya kimazingira ambayo itakufanya u reason kabla sijakupa sababu ya kimaandiko....

Kwenye mwanzo 6 kulikuwa na makundi mawili ambayo ni wanadamu na "waana wa Mungu.Haikuwa jambo la ajabu sana wanadamu kuoana maana ilikuwa ni kawaida kuoana.Sasa je ni kwanini iwe tatizo hawa "waana wa Mungu kuwaingilia tena maandikop yanasema "mabinti za wanadamu"?

Kwa namna ya kawaida kabisa hawa "waana wa Mungu" hawakuwa wanadamu kabisa ndiyo maana Mungu amesema "wakawaona binti za wanadamu"...

Sasa kama hawakuwa wanadamu walikuwa ni akina nani? Jiulize swali hili halafu ulijibu...

Sababu ya Kimaandiko...

Kwenye agano jipya mara nyingi waana wa Mungu wamekuwa wakitajwa kuwa ni malaika,kama tunavyojua kwamba biblia inajifasiri yenyewe kwa maana hiyo basi ni wazi kwamba waana wa Mungu ni malaika na hao waliotajwa hapo ni malaika,hii ndiyo ilikuwa style ya uandishi wa agano la kale kuwaita malaika biula kujali waliasi au hawakuasi.....
PILI. Wakati Yesu alipoulizwa swali "la kumtega" na masadukayo kuwa "mwanamke mmoja aliolewa na ndugu tofaouti tofauti saba but hakuweza kuwazalia mtoto je siku ya mwisho atakua mke wa nani kati ya wale saba?
Yesu akajibu kuwa huko watu wanakua kama "Malaika" maana yake mambo ya ndoa na tendo la ndoa na mambo yote ya kimwili Malaika hawana, yaani kwa lugha nyingine rahisi haiwezekani kuwa kama malaika na kuanza kufikiri mambo ya kuoa na kuolewa, Hii inaondoa dhana kuwa hawa wana wa Mungu ni Malaika wa Mungu.

na kama ni shetani na kampuni yake kwa nini hapo waitwe WANA WA MUNGU??

nawasilisha.
Pamoja na jibu hilo,Yesu akusema au kukanusha kuwa malaika hawana uwezo wa kufanya ngono.Kusema tu kuwa hakutakuwa na masuala ya ndoa kwa maana ya ngono hakumaanisha kwamba hili malaika hawaliwezi na tukio la Mwanzo 6 linathibitisha hili....

Lakini pia,suala lililotokea kwenye Mwazo 6 ni suala la uovu,kwamaana hii ni kitendo ambacho ni kinyume kabisa na namna ambavyo Mungu aliwaumba na kuwaagiza hao malaika,kwa maneno mengine ni kwamba,inawezekana walikuwa na uwezo wa kufanya ngono tangu mwanzo lakini haikuwa lengo lao kuumbwa....

Isingewezekana kabisa jambo hili kutokea kama walikuwa hawako hivyo....
 
Mkuu hapa mbona kama unachanganya au unajichanganya. Yesu alikuja kuhafifisha kazi ya Shatani. Wewe huyohuyo unasema watoto waliozaliwa na Shatani na watu, hao machotara ndio wanarun dunia kwa background na sio free human being. Huoni kama unawainua hao viumbe wako zaidi ya kazi ya yesu msalabani. Kwa mfano hili chotara likamkubali yesu yesu analifanyaje kulinganisha na mabadiliko ya mwanadamu mdhambi aliyemkubali yesu/Mungu.
Hapana sijichanganyi bali naona wewe ndiyo huelewi na badala ya kuliona hilo unaona kinyume.....

Kwanini unanishangaa mimi kusema nisemayo wakati Mungu mwenyewe aliyesema Shetani ni mungu wa dunia hii hushangai? Sijui kama unaona kuwa Mungu ndiye aliyeanza kumpa Shetani "heshima" kubwa sana kuliko mimi ambaye nimeelezea tu namna wafuasi na matokeo ya ngono ya malaika za shetani wanavyoweza kuiendesha dunia hii.....

Kuna mengi naona una faila kuelewa mkuu lakini taratibu unaweza kuelewa....

Unadhani Shetani alipomwambia Yesu kuwa "nimepewa hivi vyote" alipokuwa akimuonesha mamlaka ya dunia yote na utajiri wake kwamba alikuwa anadanganya?

Kwanini Yesu hakukana jambo hili?
 
Hao Malaika kufungwa kifungoni ili wasiendelee kuzini na wanadamu na kuzaa hao machotara wa kishetani ambao kwa maelezo yako ni advanced being ambao wako nyuma ya uovu na mipango hasi ya dunia hii haihitaji utafiti ni vitu ambayo vitapatikana kwenye first book of Enoch japo umekanusha na kusema hizo ni quotes from distorted book of Enoch Bila kuweka your current truth kutoka kwa hicho pure. Pili vitu hivyo haviko supported na bibilia, bibilia I nazungumzia kifungo cha Shatani na maraika zake wote miaka elfu baada ya Mungu kuja kuchukua wa teule wake.
Kuna mambo ambayo niliyakataa kwenye nukuu zako na maelezo yako kutoka kwenye kitabu ulichodhani ni cha Enoch,lakini kuna mambo unanistaajabisha sana mkuu,sijui unaelewa namna ipi maandiko ninapoandika....

Kwenye kitabu unachodhani ni cha Enoch kuna ukweli mdogo sana uliouandika na uongo mwingi sana tena sana na ndiyo maana nilikuambia utumie muda wako kufanya utafiti juu ya kitabu cha Enoch ili uujue ukweli....

Kuna matoleo zaidi ya mawili ya kitabu hicho na mengine ni uongo,kwanini usitumie muda wako mkuu kufanya utafiti?

Pamoja na hilo,ishu ya malaika kufungwa siyo uongo na nadhani wewe ndiyo huelewi,naomba uniambie huu mstari hapa kwenye biblia unamaanisha kitu gani...

2Ptero 2:4
4 Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije hukumu;
 
Haya yote yanayoongelewa na tunayoyashuhudia inaelezwa ni kazi ya lucifer. Kwa uelewa wangu mdogo, nafaham lucifer alipambana na Kristo Yesu akashindwa akapokonywa funguo ya kuzimu na akafungiwa huko akisubiri hukumu. Najiuliza hii mipango yote shetan aliipanga na kuanza kuitekeleza kabla hajafungiwa kuzimu au akiwa kuzimu ana uwezo wakutekeleza mipango yake?
 
Hiyo ianzishie mada yake maana kama unakana quotation kutoka kwenye reliable source Bila kuonyesha QUOTE sahihi ili tufanye comparison inatia Shaka kama hata vyanzo halisi umewahi kuvipitia. Ulipaswa kusema book of Enoch hasa verse uliyopewa kuwa sio sahihi kwa kutoa verse unayodhani ni sahihi.
Tunaelewana na kupishana kwenye angle kuu moja. Mungu aliumba free being hakuna chotara wa kishetani mwenye Uwezo mkubwa sana ambaye yuko nyuma ya mipango miovu ya dunia hii Bali ni hawahawa wanadamu huru sio chotara ndio wako nyuma ya kinachoendelea duniani.
Ila kwa sababu unasema ulichoelewa ni punje ya mchanga katika bahari yawezekana research yako ikakurudisha kwenye uhalisia kwamba hakuna chotara wa kishetani ambaye yuko nyuma ya uovu wa dunia Bali ni mwanadamu mwenye akili huru aliyeamua kufanya hayo kwa ushirikiano na separate Shetani. Hiki ndicho utakielewa siku ukitupa hicho occultic book na kubaki believer wa pure Bible.
Kwa hoja zako hata jamaa wa juzi itv aliyekuwa mrefu na mkubwa kuliko watanzania wengine unasema ni nephil au hybrid. Goliath kwa evidence ipi alikuwa nephil? Spy waliotumwa na kutisha watu kuwa wao ni kama panzi exaggeration Mungu aliwaua wote maana ulikuwa uongo na chumvi ili jamaa warudi misri. Yoshua na karebu walipo pambana na wakaanani hakukuwa na hicho kitu. Ila uko huru kuchagua chochote kile.
Mkuu,wewe na mimi tuna tofauti,hili ni sawa wala siyo kosa hivyo naelewa jambo hili....

Nafahamu kabisa kwamba kuna watu ambao wanafanya kila lilalowezekana ili watu wasijue jambo hili kuwa kuna watu ambao siyo wa kawaida nyuma ya yote haya ili kuendelea kudanganya watu kuwa binadamu ana uwezo mkiubwa sana na hahitaji msaada wowote kutoka kwa Mungu au nguvu nyingine yoyote kuu....

Wewe hujui hili na kwasababu hujui unaendelea kukana hili lakini nadhani inawezekana iko siku utakuja kuelewa.Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya yote haya na hiki ninachokuambia na nimekuwa wazi kwa kadiri nijuavyo,kuna vitu naendelea kuvifabnyia kazi na nikikamilisha nitaweza kuvisema kwa uwazi mkubwa zaidi lakini hiki ninachokueleza hapa nina uhakika wa asilimi 100 na wala sibahatishi....

Naona unapinga juu ya suala la Wanefili waliokuwa Kanaan,hili limenishangaza sana tena sana.Naona pia umeamua kukana walichokisema watu waliowaona wanefili kule Kanaan,kwa kutusaidia wengine hebu nisaidie ni kwanini Mungu alisema kwamba hao Wanefili walikuwepo wakati ule na baada ya hapo.Hawa wa baada ya hapo walikwenda wapi?

Genesis 6:4
4 There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.

Pia,
Sikutaka kuingia kwenye details za kitabu cha Enoch kwasababu uliandika uongo wa silimi 95 kwenye bandiko lako hivyo nikakushauri uendelee kufanya utafiti na jambo hili uliweke akiba...

Nilikuambia na kukuuliza sababu ya mtume Yuda kunukuu kutoka kwenye kitabu hiki lakini hukunijibu.Lakini inaonekana pia hujajua hata ni kipi Yuda aliandika,ngoja nikuoneshe na ujifikirie tena kama hicho kitabu ni cha kupuuzwa kama unavyodhani na huenda ukafikiria tena juu ya chanzo chako cha kitabu hicho kama ni sahihi ama la...

Yuda 1:14-15
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.

Ukitaka kujua ni akina nani anaowazungumzia Yuda,soma mistari ya juu ya ukurasa huo wa Yuda 1 utaelewa kabisa ni akina nani....

Kimsingi sitaki kabisa kujadili jambo kwa namna ya ushindani bali nataka kila mtu afanye utafiti wake ili aweze kujua nini naongelea hapa.Sibahatishi hapa ndugu yangu....
 
Haya yote yanayoongelewa na tunayoyashuhudia inaelezwa ni kazi ya lucifer. Kwa uelewa wangu mdogo, nafaham lucifer alipambana na Kristo Yesu akashindwa akapokonywa funguo ya kuzimu na akafungiwa huko akisubiri hukumu. Najiuliza hii mipango yote shetan aliipanga na kuanza kuitekeleza kabla hajafungiwa kuzimu au akiwa kuzimu ana uwezo wakutekeleza mipango yake?
Umehoji jambo la msingi sana mkuu japokuwa mtoa mada anaona siyo kweli hawa viumbe walifungiwa mahali....

Binafsi sijajua hasa ni wakati upi hawa walifungwa lakini naweza ku assume ni baada ya tukio la mwanzo 6 kutokea...

Lakini,kama vile ambavyo Mungu anaweza kufanya kazi kupitia roho wake,Shetani naye anafanya kazi vivyo hivyo.Huku duniani kuna mawakala wa Mungu na Shetani pia.....

Yote katika yote ni kwamba hatuwezi kukana uwepo wa kizazi kiovu kabisa cha shetani ambacho kipo na kinaendelea kufanya yote haya tunayoyaona....
 
Kweli mtazamo wa huyu ndugu ni haya mambo yanafanywa na machotara au hybrid wa Shatani na mwanadamu, yaani viumbe wasio pure human being Bali ni nusu mwanadamu nusu Shatani. Hoja hii inatia hofu isiyo ya lazima kuwa Kuna advanced being between human being and Satan ambaye anainfluence maisha hapa duniani kitu ambacho ni non biblical and unscientific. Ila kwa sababu Mungu aliumba planet earth na kwenye universe Kuna billions of plannets sio hajabu kukawa na uumbaji wa viumbe wengine huko maana bibilia iko bound na uhusiano wa Mungu dunia na Mbingu na Shatani.
Dunia hii ni vita Kati ya Shatani na Malaika zake, Mungu na Malaika zake na Mwanadamu aliyeanguka. Hakuna advanced human being hao ufo kama wapo kweli uwezekano ni kuwa intelligent being from other planets ambao hawana nafasi wala ushawishi wowote na kinachoendelea Sasa duniani.
Mkuu,hawa UFOs siyo hadithi....

Unamfahamu mtu mmoja anaitwa Phil Scheneider?

Jamaa aliuawa mwaka 1996,ukiangalia utajua alikuwa nani na nini kilimfanya auawe...

Walifanya majaribio zaidi ya 13 ya kumuua wakashindwa lakini walikuja kufanikiwa baadaye,angalia hiyo documentary mkuu.....
 
hapa kuna mambo mengi na mitazamo mingi ila kinachotarajiwa sio kumaliza wakazi wa dunia. Hapana ni kuwaandaa wakazi wadunia wote watakaokuwepo juu ya kile kinachoitwa MAISHA BORA KABISA KWA KILA MWANADUNIA. Yaani ONE WORLD GOVERNMENT. ukifuatilia miaka ya zamani wafalme walitawala Dunia nzima bila kuwepo na vita vyovyote kikanda. lakini leo ni vita kila kona(probably planned to still minds of people to accept the pre-planned grobal proporsal). Haya mambo bado yapo kinadharia lakini siku yatakapo tokea tukiwa hai tutafanya informed decision. WW3 au War on Terror sio kwa ajili ya KUFANYA DEPOPULATION ila kuwashawishi wakazi wa dunia nzima juu ya mpango wa kuiunganisha iwe kitu kimoja, Na hapo kila raia wa dunia atakuwa na Option Moja kukubali au Kukataa na kubaki katika dilema hasa kama hauna imani dhabiti ya Mungu. Ila Asilimia ya kupinga inategemewa iwe ndogo maana tayari tunaandaliw a kupitia TV,MOVIES, SOCIAL MEDIA,CHurches, International forums and organizations, Schools and university Curriculums, Theatre centres, Entertainments etc, Yaani popote alipo mwanadamu amezingirwa na ushawishi wa kuprogram Ubongo kuchagua vya kupenda na vya kuchukia automatically. Automatic Grobal Mental Reprogramming. Haya tunayasema hayana haja sana kuaminiwa sasa ila ikitokea tusishangae sana kana kwamba ni wageni. Watu wanafuatilia trend hizi kwa Ku decode vitabu vya Daniel na Ufunuo japo sio kazi rahisi na kutia tick kila kinachotimia.
Mengi uliyoandika hapa ni kweli na nakubaliana nawe mkuu....
Mambo haya yanafanywa na wanadamu purely. Kwa waamini na wafuatiliaji wa Bibilia kwa kusoma na kutafakari kuna suluisho kubwa tu la kuexist katika mazingira haya yanaoyoonekana ni ya kufikirika lakn ni busara kuacha chumba cha uhakika wa uwepo wake katika Ubongo ili yakitokea isiwe kama Suprise.
Hapa ndipo tunapotofautiana sasa....

Hebu niambie Mungu alikuwa anamaanisha nini hapa?

Danieli 2:43
43 Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.

Hapo kuna "watu" ambao maandiko yanasema watajichanganya na mbegu za wanadamu,ni akina nani hao? Maana hao inaonekana wazi hao hawatakuwa ni wanadamu.....

Tusaidiane hapo mkuu....
 
Nimejaribu kuwafuatilia wadau hapo juu ila naona mtanichanganya tu .Mkuu Eiyer hivi ni kitu gani kitanifanya niamini haya uyasemayo ni kweli na nisiamini hichi nilichokikuta na kukiamini ? Hapo kwa hawa jamaa Wanefil bado kuna majibu naona hayajakaa kushawishi kwamba ndio ukweli wenyewe
Kuna mengi hatuyajui kabisa na kwaksababu hiyo tunashindwa kuelewa mengi na mazingira yanayotuzunguka.Kitakachokufanya uone ni ukweli ni utafiti wako binafsi tu mkuu siyo maelezo yangu maana kuna mengi sijayasema hapa na ninaweza kuyasema ukaacha kabisa kusoma post zangu....
Kuna swali mdau kakuuliza hapo juu
Inakuwaje kwa malaika kuwaingilia kimwili wanadamu ? Je waliumbwa na jinsia tofauti ?
Au kwa sababu ni malaika basi wana uwezo wa kujibadilisha ?
Hili nimeshalijibu mkuu,soma huko juu utaona....
Hicho kizazi cha Wanefil kilicho teketezwa na Gharika kuu ilikuwaje wakasalia ? Wakati safina ilibeba watu nane tu ? ..
Sijui walikuja kurudiaje tena,hapa nina assumtion zangu ambazo kwa kuwa ni assumtion nabaki nazo lakini suala la hawa viumbe kuwepo kabla ya gharika siyo assumtion bali ni kweli maana hata Biblia imesema hayo kwenye Mwanzo 6:4...
Pia siwezi kukulaumu sana kwa sababu itahitaji miaka kama 30 kuanza kuamini huu ulimwengu wa pili tofauti na huu nilio zaliwa nikaukuta
Kuna baadhi ya mambo ni kwaajili ya watu fulani tu mkuu na siyo kwaajili ya kila mtu....
Na maswali mawili hapa baada ya wewe kujua habari za ulimwengu wa pili umepata faida gani mpaka sasa ?
Baada ya kujua mengi nimekuwa free,mfano rahisi ni kujua kuwa maradhi mengi yanayotajwa kuwa ni hatari siyo hatari na yanatibika mkuu,nadhani hili litakufanya uelkewe zaidi kuliko kukueleza faida ambazo ni ngumu zaidi.....
Kwamba kila tunachoambiwa ni uongo tu huku ukweli ukibaki kwa watu wachache
Ni kwanini wanadamu wachache wenye kujua hizo siri wazipiganie kwa hali na mali huku wakijua watakufa na hawaishi milele ?
Sisi Waafrika tuna tatizo moja kubwa kabisa.Tunadhani kwamba maana ya maisha haya na kila tukifanyacho ni kwaajili ya mtu binafsi,yaani kama ninalima basi ni kwaajili ya chakula changu tu na hapo ndipo maana ya kulima itakuwepo.Kama nitalima aina fulani ya mazao ambayo yatakuwa tayari baada ya miaka lets say 100 ijayo basi kilimo hicho kitakuwa hakina maana kwakuwa uwezekano wa mimi kutokuwepo baada ya muda huo ni mkubwa hivyo sitayafaidi mazazo hayo.Tunawaza kibinafsi zaidi,sisi tu na ndiyo maana tumeshiondwa kupiga hatua yoyote na pia ndiyo msingi wa swali lako hili,"hawataishi milele"....

Kwanza hawa watu wanafanya mambo kwasababu kuu mbili...

1;Kwaajili ya kizazi chao...
2;Kwaajili ya kutimiza lengo kuu la mkuu wao kuutawala ulimwengu...

Huwezi kufanya jambo kwaajili ya kizazi halafu uwaze kama unavyowaza wewe...

Huwezi kufanya jambo kwaajili ya aliyekutuma ambaye hatakufa halafu uwaze kama ulivyowaza wewe.....
 
Napenda kuungana na mkuu EIYER ya kwamba shetani anahusika kwenye udanganyifu huu kwa kadri anavyoona inafaa. Tukianzia eden kwa kutumia reference ya biblia shetani alimshawishi Hawa akiwa katika umbo la nyoka,Yesu alishawishiwa na shetani akiwa katika umbo la nyoka vile vile.
Uwezo huu wa shetani kujibadili na kuwa katika maumbo na tabia mbalimbali inaweza kusapoti wazo kwamba hata yanayotukia yanaweza kuwa yanatekelezwa naye mwenyewe au roho waasi wenzie. Mfano,Adam weishupt angefaidikaje na uandaaji wa plani ya miaka zaidi ya mia 3 na zaidi wakati anafahamu hata kuwepo kwa kipindi hicho? Inawezekana kabisa bloodline inayoongelewa hapa ndio inayotekeleza haya maana tunaambia katika biblia ya kwamba roho zao hazifi hadi siku ya mwisho ama shetani katika umbo la kibinadamu anayatekeleza haya.
Point yangu ya pili ni kwamba,references za mijadala yetu sote inatokana na kitabu biblia ambacho binafsi naamini hawa jamaa wanaweza kuwa wameisha distort ukweli kwa kiwango cha kutosha ndio maana mijadala yetu inakuwa haiishi kama duara. Mungu aliposema ya kwamba tutafute maarifa,alijua kutakuwa na hidden truth kuhusu yeye na uumbaji.
Kwa mfano nikisema kuwa hawa watu hawafi isipokuwa wanabadili tu maumbo inawezekana nisieleweke kabisa.....

Acha tuendelee kujadili haya yaliyo ya kawaida ili tuanze kueleweka angalau kidogo japokuwa hata haya hayaeleweki....
 
Kwa upande wa wanefili ambao walikua ni watu wenye nguvu na maarifa kabla na baada ya gharika. Kwa kipindi hiki nadhani inayotenda kazi duniani ni ile roho (spirit) ya kinefili. Kumbuka shetani ni mwenye akili na maarifa mno, hivyo nae ana njia na namna ya kutenda kazi vizazi hadi vizazi, anafanya modification wa njia za kufikia malengo yake kulingana na hali na mazingira ya wakati ulivyo.
Hivyo basi mtu ukikaa kusubiri uone mwili mkubwa kupita kiasi na mambo mengine waliyokua nao wanefili kwa nyakati tulizopo basi unaweza kusubiri sana. Kwa mtazamo wangu kilichopo duniani ni roho zao zenye uwezo na maarifa yalio zaidi ya uwezo wa binadamu ndizo zinazofanyakazi kwa wanadamu waliochaguliwa kwazo.
 
Je hawa wanefili ndio ile "13 bloodline family" inayotawala dunia?

Kuna mahala nilisoma kuwa watawala wa mataifa makubwa yaani maraisi na wafalme wote wametokana na hizi familia 13. Humo zimezungumziwa familia kama Rothchilds, Bush family, Rockafela, familia ya ufalme wa uingereza na zengine kuwa hawa wote ni ndugu. Wanaoana wenyewe kwa wenyewe wakalink na kifo cha Princess Diana kisa ilikua ni kutembea na kutaka kufunga ndoa na yule jamaa wa kimisri hivyo angetoka ktk bloodline.

Wenye ujuzi tunaomba ufafanuzi hapa
Kwanza kuna ushahidi kuwa marais wote wa Marekani wanahusiana kwa maana ya kuwa kwenye bloodline moja,kwanini hii iko hivi?

Ukiacha hilo,kuna muunganiko au bloodline inayowahusisha royal familly na Marais hawa wa Marekani,bado hujaelewa kitu hapo?

Wale Wanefili ni ilikuwa matokeo ya malaika na wanadamu,baadaye waliendelea kuzaliana na kuwa wengi.Kuna tofauti kati ya kizazi cha malaika na wanadamu ambapo ni wanefili na matokeo ya wanefili na wanadamu....

Hapo anazaliwa kiumbe ambaye anakuwa bi ninadamu nusu na nusu kitu kingine na wengi wa namna hii wapo sana tu....
 
Hapana sijichanganyi bali naona wewe ndiyo huelewi na badala ya kuliona hilo unaona kinyume.....

Kwanini unanishangaa mimi kusema nisemayo wakati Mungu mwenyewe aliyesema Shetani ni mungu wa dunia hii hushangai? Sijui kama unaona kuwa Mungu ndiye aliyeanza kumpa Shetani "heshima" kubwa sana kuliko mimi ambaye nimeelezea tu namna wafuasi na matokeo ya ngono ya malaika za shetani wanavyoweza kuiendesha dunia hii.....

Kuna mengi naona una faila kuelewa mkuu lakini taratibu unaweza kuelewa....

Unadhani Shetani alipomwambia Yesu kuwa "nimepewa hivi vyote" alipokuwa akimuonesha mamlaka ya dunia yote na utajiri wake kwamba alikuwa anadanganya?

Kwanini Yesu hakukana jambo hili?
Uweke na quotation chief " Mungu alisema Shatani ni mungu wa dunia hii" imeandikwa wapi.
Ninachofahamu shetani katupwa ulimwenguni na tumepewa Ole! Maana yeye ni mshtaki wetu kwa Mungu sio mzazi mwenzetu aje kufanya mapenzi na watu ili kuzaa hybrid ufunuo 12:10.
Yaani ni kutushawishi tumkosee Mungu ili atushtaki kwake kama sisi ni wakosaji maana anajua Mungu hapendelei.

Shetani hajawahi kusema "Nimepewa hivi vyote" Bali alisema " haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia"
Dunia na vyote viijazavyo ni mali ya Mungu Zab 34. NA kama unaamini yesu ni Mungu basi Shetani alikuwa anamuonyesha Mungu Mali zake. Ni Sawa wewe unaonyesha nyumba yangu alafu uniambie ukinifuta viatu nitakupa wakati tayari ni yangu. Shetani alikuwa anamrubuni yesu ili apigwe magoti.
Sasa unashangaa Shetani kudanganya? Tofauti ya Mungu na Shatani shetani hawezi kuumba kitu na hana kitu, shetani anatumia hivi vikivyopo kudanganywa na kuchanganya watu
 
Kuna mambo ambayo niliyakataa kwenye nukuu zako na maelezo yako kutoka kwenye kitabu ulichodhani ni cha Enoch,lakini kuna mambo unanistaajabisha sana mkuu,sijui unaelewa namna ipi maandiko ninapoandika....

Kwenye kitabu unachodhani ni cha Enoch kuna ukweli mdogo sana uliouandika na uongo mwingi sana tena sana na ndiyo maana nilikuambia utumie muda wako kufanya utafiti juu ya kitabu cha Enoch ili uujue ukweli....

Kuna matoleo zaidi ya mawili ya kitabu hicho na mengine ni uongo,kwanini usitumie muda wako mkuu kufanya utafiti?

Pamoja na hilo,ishu ya malaika kufungwa siyo uongo na nadhani wewe ndiyo huelewi,naomba uniambie huu mstari hapa kwenye biblia unamaanisha kitu gani...

2Ptero 2:4
4 Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije hukumu;
Wewe uliye scholar wa book of Enoch kilichokuaminisha hata ukipita posta mpya wengine unaopishana nao ni machotara wa shetani na binadamu. Hadi sasa zaidi ya kukanusha na kukitetea kitabu chako hujatoa quotation hata moja ya hicho unachodhani unacho chenye kukupa nguvu ya kuamini hayo.
Factless arguments with no evidence from your trusted book.

Kuhusu mistari huo nakupata nimekupa kifungo kingine future kulingana na kitabu cha ufunuo hicho nilichokielezea cha miaka 1000 ni tofauti kabisa na hiki kilichelezewa na petro ambacho hakina uhusiano wowote na story zako za kitabu chako cha siri ambacho huna ujasiri wa kutoa huko mafungu.

Kwa maelezo ya hicho kifungu cha petro kama unakiamini kitaua hoja zako zote za kwenye kitabu hicho unachotakakukirandanisha na bibilia.
Kwanza. Kifungo kilitokea baada ya uasi kule mbinguni. Kama shetani angeachwa na maraika zake na Uwezo Ule Ule aliokuwa nao alipokuwa lucifer basi jini moja tu lingetoshA kudanganya ulimwengu wote. Kifungo kinachozungumziwa hapa ni limitation ya nguvu za shetani. Sasa kitabu chako kinadanganya eti baada ya uzinifu huo na kupelekea safina ndipo hayo mashetani yakafungwa kama ndiyo basi usingeamini uwepo wa nephili baada ya gharika maana wazinzi wa kishetani wako kifungoni.
Ndio maana shetani Kuna vitu hawezi kuvifanya mfano kujua unawaza nini. Ndio maana bibilia inasema yeye anaangalia mwenendo wako na tamaa zako na kudesign jaribu ambalo kwa jinsi ulivyo huwezi kuchomoka. Ndio maana hata alipomuona yesu ananjaa alimletea jiwe liwe mkate. Pia Kuna mahala tunaambiwa anaweza kukushawishi kwa kukuletea mawazo mabaya ila sio kufanya mapenzi na wewe ili uzae satanic offspring
 
Kwanza kuna ushahidi kuwa marais wote wa Marekani wanahusiana kwa maana ya kuwa kwenye bloodline moja,kwanini hii iko hivi?

Ukiacha hilo,kuna muunganiko au bloodline inayowahusisha royal familly na Marais hawa wa Marekani,bado hujaelewa kitu hapo?

Wale Wanefili ni ilikuwa matokeo ya malaika na wanadamu,baadaye waliendelea kuzaliana na kuwa wengi.Kuna tofauti kati ya kizazi cha malaika na wanadamu ambapo ni wanefili na matokeo ya wanefili na wanadamu....

Hapo anazaliwa kiumbe ambaye anakuwa bi ninadamu nusu na nusu kitu kingine na wengi wa namna hii wapo sana tu....
hebu tutolee mfano wa mmoja aliyeko nusu binadamu na ....
 
Mkuu,wewe na mimi tuna tofauti,hili ni sawa wala siyo kosa hivyo naelewa jambo hili....

Nafahamu kabisa kwamba kuna watu ambao wanafanya kila lilalowezekana ili watu wasijue jambo hili kuwa kuna watu ambao siyo wa kawaida nyuma ya yote haya ili kuendelea kudanganya watu kuwa binadamu ana uwezo mkiubwa sana na hahitaji msaada wowote kutoka kwa Mungu au nguvu nyingine yoyote kuu....

Wewe hujui hili na kwasababu hujui unaendelea kukana hili lakini nadhani inawezekana iko siku utakuja kuelewa.Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya yote haya na hiki ninachokuambia na nimekuwa wazi kwa kadiri nijuavyo,kuna vitu naendelea kuvifabnyia kazi na nikikamilisha nitaweza kuvisema kwa uwazi mkubwa zaidi lakini hiki ninachokueleza hapa nina uhakika wa asilimi 100 na wala sibahatishi....

Naona unapinga juu ya suala la Wanefili waliokuwa Kanaan,hili limenishangaza sana tena sana.Naona pia umeamua kukana walichokisema watu waliowaona wanefili kule Kanaan,kwa kutusaidia wengine hebu nisaidie ni kwanini Mungu alisema kwamba hao Wanefili walikuwepo wakati ule na baada ya hapo.Hawa wa baada ya hapo walikwenda wapi?

Genesis 6:4
4 There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.

Pia,
Sikutaka kuingia kwenye details za kitabu cha Enoch kwasababu uliandika uongo wa silimi 95 kwenye bandiko lako hivyo nikakushauri uendelee kufanya utafiti na jambo hili uliweke akiba...

Nilikuambia na kukuuliza sababu ya mtume Yuda kunukuu kutoka kwenye kitabu hiki lakini hukunijibu.Lakini inaonekana pia hujajua hata ni kipi Yuda aliandika,ngoja nikuoneshe na ujifikirie tena kama hicho kitabu ni cha kupuuzwa kama unavyodhani na huenda ukafikiria tena juu ya chanzo chako cha kitabu hicho kama ni sahihi ama la...

Yuda 1:14-15
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.

Ukitaka kujua ni akina nani anaowazungumzia Yuda,soma mistari ya juu ya ukurasa huo wa Yuda 1 utaelewa kabisa ni akina nani....

Kimsingi sitaki kabisa kujadili jambo kwa namna ya ushindani bali nataka kila mtu afanye utafiti wake ili aweze kujua nini naongelea hapa.Sibahatishi hapa ndugu yangu....
1:hiyo mwanzo 6:4 ilikuwa ni kabla kabisa ya gharika. Kama kweli hao walikuwepo basi walikuwa terminated katika gharika. Hakuna fungu lolote kwenye bibilia isipokuwa kwenye hicho apocalyptic book litakalosupprot hicho. Hiyo sentesi Ukisoma mwanzo sita yote inajibiwa Haimaanishi walikuwepo baada ya gharika.

2: Japo unakana maelezo yangu ya uharamu wa kitabu chake, fungu ambalo unakwepa kuliweka ni 1 Enoch 1:9 ambalo inasemekana Yuda aliquote japo Ukisoma utagundua they are similar but not equal.
Pili inasemekana first copy ya kitabu hicho ilionekana Ethiopia 1773 . Hapo Kuna mengi yawezekana kiliandikwa zamani baada ya Yuda ili waweke baadhi ya maneno ya yuda ionekane ni halali kitabu hicho maana kimekuwa quoted na bibilia. Dunia hii imeharibika mkuu. Hakuna ushahidi usio na Shaka Enoch aliyechukuliwa na Mungu ameandika hayo yawezekana walio andika ndio waliomuingiza Enoch ili kilete mvuto wa kuhusishwa na bibilia. Nakushauri tuachane na hicho chenye mashaka na maswali tuitumie hiki kikichondani ya Uwezo wetu.

Nilitaka haya mambo tuyajadili kisiasa uchumi na conspiracy kidogo lkn nimeamua tuendelee kwenye angle zote. Hatushindani ila tunapeana mitazamo tofauti.
 
Ungekuwa umefanya jambo la maana sana kama utasema ni kwa namna ipi hiyo Mwanzo 6 yote inakana kuwepo kwa hawa Wanefili baada ya gharika wakati hiyo Mwanzo 6:4 imeeleza wazi kabisa kuwa walikuwepo wakati huo na baada ya hapo na siyo kusema tu kuwa "inaeleza wazi kuwa hawakuwepo kabla ya hapo"...

Pia,sijui unachokataa ni kipi kati ya kuwepo hawa machotara wa Kishetani au kutokuwepo kabisa.Maandiko yanaeleza wazi kabisa kuwa matokeo ya ngono baina ya "waana wa Mungu na binti za wanadamu ndiyo hao Wanefili,sasa unaposema "kama walikuwepo" unaonesha kuwa una mashaka na uwepo wake wakati maandiko yapo wazi kabisa kuwa jambo hili lilikuwepo na hata baada ya hapo....
2: Japo unakana maelezo yangu ya uharamu wa kitabu chake, fungu ambalo unakwepa kuliweka ni 1 Enoch 1:9 ambalo inasemekana Yuda aliquote japo Ukisoma utagundua they are similar but not equal.
Pili inasemekana first copy ya kitabu hicho ilionekana Ethiopia 1773 . Hapo Kuna mengi yawezekana kiliandikwa zamani baada ya Yuda ili waweke baadhi ya maneno ya yuda ionekane ni halali kitabu hicho maana kimekuwa quoted na bibilia. Dunia hii imeharibika mkuu. Hakuna ushahidi usio na Shaka Enoch aliyechukuliwa na Mungu ameandika hayo yawezekana walio andika ndio waliomuingiza Enoch ili kilete mvuto wa kuhusishwa na bibilia. Nakushauri tuachane na hicho chenye mashaka na maswali tuitumie hiki kikichondani ya Uwezo wetu.
Nimekataa maelezo yako unayodhani kwamba yanatokana na kitabu cha Enoch kwasababu nilikueleza ni ya uongo kwa asilimia 95 na nikakushauri uende ukafanye utafiti upya.Hii nilikuwa ninamaana kwamba utakapofanya utafiti utagundua kwamba kuna copy zaidi ya mbili za kitabu hiki na kuanzia hapo utaanza kujua kwamba inawezekana umesoma kitabu ambacho sicho na utaanza kufanya utafiti,lakini naona hutaki kabisa kufanya jambo hili na umeamua tu kushikilia uongo,pole sana...

Yuda alimquote Enoch na akasema kwamba alitabiri juu ya watu hao.Hili linaonesha kwamba Enoch aliandika kuhusu jambo hili.Hili halipingiki.Sasa hapa nani kadanganya?

Yuda aliwezaje kunukuu kisichokuwepo? Au alidanganya kuwa Enoch alitoa unabii kuhusu watu hao?

Kama kitabu hiki kiliandikwa ili kionekane kufanana na alichosema Yuda,Je, Yuda alinukuu kitu gani? Kimantiki haiwezekani kabisa ulichokisema kwasababu Yuda anakiri uwepo wa maandiko ya Enoch ambayo yalikuwepo zamani sana kabla ya yeye kuwepo....

Kumbuka ni Yuda mwenyewe anayesema kwamba Enoch alisema aliyosema na siyo mimi au mtu mwingine anasema hivyo.Nadhani ili hoja yako iwe na mashiko ungesema kwamba kipo kitabu cha Enoch ambacho ni sahihi na ambacho Yuda alikinukuu lakini siyo kukana kabisa uwepo wake maana jambo hili litakukwama kooni tu,hutaweza kutema wala kumeza....

Kitabu cha Enoch na uhalali wake hautegemei ni nani anakikubali au kiligunduliwa mwaka gani.Hoja yako ya kitabu hiki kugunduliwa sijui mwaka gani haina mashiko kwasababu unaweza kugundua kitu leo lakini kikawa kimetengenezwa miaka hata 4000 iliyopita huko.Unaposema kwamba inawezekana kiliandikwa miaka mingi baada ya Yuda ili waweke maneno ya Yuda bado unakuwa unachekesha kwasababu Yuda mwenyewe alisema Enoch alisema hiki na kile siyo kitabu cha Enoch kinasema Yuda alisema hiki na kile.Haiwezekani kabisa niandike kitu leo halafu miaka 100 baadaye aje mtu aninukuu halafu iwe sijaandika kitu kilichonukuliwa....

Tofauti ya Yuda na Enoch ni miaka zaidi ya 3000,ni lazima Yuda alikuta maandiko ya Enoch ndiyo akajua kuwa mtu huyo alitoa unabii kuhusu aliowataja,sasa sijui ni kwasababu tu hutaki kukikubali au nbi kitu gani,lakini mkuu hili huna namna ya kulikana kwamba kitabu cha Enoch kilisomwa na wanafunzi wa Yesu na hata Yesu mwenyewe huenda....
Nilitaka haya mambo tuyajadili kisiasa uchumi na conspiracy kidogo lkn nimeamua tuendelee kwenye angle zote. Hatushindani ila tunapeana mitazamo tofauti.
Kuna mambo huyaelewi na kwasababu hii nakushauri urndelee kutafiti.Ni hivi,kila unachokiona kinatokea humu duniani kinahusiana na mambo ya kiroho.Iwe uchumi,Siasa au kingine chochote,kama unataka kujadili kwa namna stahiki jadili kwa uhalisia wake....

Sijui inaposema consipiracy unakuwa unamaanisha nini na kwa mujibu upi lakini kama unamaanisha mambo ambayo hayana ushahidi kwa mujibu wa sayansi unayoisoma shuleni na kuiona kwenye vyombo vya habari basi hata Biblia yako ni consipiracy vile vile kwasababu kwa mujibu wao yaliyoandikwa humo hayana ushahidi....

Kama siyo kwa maana hiyo basi yote niliyosema hapa siyo consipiracy kwakuwa ni mambo halisi ambayo kundi fulani la watu wameamua tu kuyakataa kama wewe unavyoamua kukataa kitabu cha Enoch kwasababu zako mwenyewe na siyo kwa uhalisia....
 
Back
Top Bottom