Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hujui hata hao machotara wanaozungumziwa huko wanazungumziwa kwa muktadha upi ndiyo maana unatoa mfano kama wa posta mpya,hili linaonesha hujui kabisa kuhusu jambo hili na ninapokushauri ujifunze nakuwa na maana kubwa kabisa...Wewe uliye scholar wa book of Enoch kilichokuaminisha hata ukipita posta mpya wengine unaopishana nao ni machotara wa shetani na binadamu. Hadi sasa zaidi ya kukanusha na kukitetea kitabu chako hujatoa quotation hata moja ya hicho unachodhani unacho chenye kukupa nguvu ya kuamini hayo.
Factless arguments with no evidence from your trusted book.
Unataka nitoe mstari kwenye kitabu hiki ili iweje?Ku verify nini hasa?
Unachoandika hapa nakielewa kabisa ni kutokana na kutoelewa,suala nililokupa huo mstario siyo hilo la miaka 1000 bali ni kukuonesha kuwa Shetani kafungwa kweli kinyume kama na wewe unavyofikiria....Kuhusu mistari huo nakupata nimekupa kifungo kingine future kulingana na kitabu cha ufunuo hicho nilichokielezea cha miaka 1000 ni tofauti kabisa na hiki kilichelezewa na petro ambacho hakina uhusiano wowote na story zako za kitabu chako cha siri ambacho huna ujasiri wa kutoa huko mafungu.
Suala la miaka 1000 ni suala lingine na sijataka kulijadili maana unaonekana hujalielewa kabisa na nimekushauri ukatafute kwanza kitabu halisi ndio uje hapa....
Ni wapi umetoa hiyo dhana yako ya kupunguziwa nguvu?Kwa maelezo ya hicho kifungu cha petro kama unakiamini kitaua hoja zako zote za kwenye kitabu hicho unachotakakukirandanisha na bibilia.
Kwanza. Kifungo kilitokea baada ya uasi kule mbinguni. Kama shetani angeachwa na maraika zake na Uwezo Ule Ule aliokuwa nao alipokuwa lucifer basi jini moja tu lingetoshA kudanganya ulimwengu wote. Kifungo kinachozungumziwa hapa ni limitation ya nguvu za shetani. Sasa kitabu chako kinadanganya eti baada ya uzinifu huo na kupelekea safina ndipo hayo mashetani yakafungwa kama ndiyo basi usingeamini uwepo wa nephili baada ya gharika maana wazinzi wa kishetani wako kifungoni.
Ni wapi maandiko yanasema jambo hili kama siyo maneno yako tu?
Mstari wa 2 Petro 2:4 uko wazi kabisa kuwa Shetani na malaika zake wapo kifungoni wakisubiri hukumu,wewe unasema wamewekewa limitation ya nguvu,unatoa wapi haya?
Mkuu wakati mwingine kana umeshindwa jambo ni hekima tu kusema ukweli au ukakaa kimya nitakuelewa lakini siyo kuanza kutoa hoja kama hizi,unaharibu kabisa aisee....
Umesoma wapi kwamba kifungo kilitokea baada ya uasi kule mbinguni na siyo baada ya kipindi fulani baada ya uasi?
Inawezekana hapa tunamjadili Shetani mwingine kabisa ambaye unamjua wewe tu.Ngoja nikuulize kitu....Ndio maana shetani Kuna vitu hawezi kuvifanya mfano kujua unawaza nini.Ndio maana bibilia inasema yeye anaangalia mwenendo wako na tamaa zako na kudesign jaribu ambalo kwa jinsi ulivyo huwezi kuchomoka. Ndio maana hata alipomuona yesu ananjaa alimletea jiwe liwe mkate
Wakati Shetani anamjaribu Yesu alimjaribu physical au spiritual? Ukijibu hili nitaanza kukuelewa vyema.....
You are contradictin yourself..... Pia Kuna mahala tunaambiwa anaweza kukushawishi kwa kukuletea mawazo mabaya ila sio kufanya mapenzi na wewe ili uzae satanic offspring
Asiyeweza kujua unawaza nini anawezaje kukuletea mawazo at the same time?
Yaani ni sawa na useme mtu hawezi kukupiga ngumi kwasababu yupo mkoa tofauti na wewe halafu hapo hapo unasema anaweza kukufinya....
Kivipi?