WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Hakuna kitu kinachotokea bila sababu
Labda nikuulize we ulizaliwa kwa sababu gani?
Mi tangu mwanzo nipo mdogo wakati najifunza,
Somo kuhusu kwa nini kuna majanga yanatokea na yanaua watu wengi sana..!
Niligundua kila kitu kinatokea kwa sababu?

Mwisho wa siku niligundua kuna matukio yaliopangwa tangu zamani sana
Ni sawa na picha ya utawala wa NAZI iliyopigwa zamani sana
Lakini katika ile picha alionekana jamaa mmoja akiwa modern camera
Ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado haijatengenezwa,!

Kwa hiyo amini usiami mambo mengi ni ya kutengeneza.
Na kuhusu elimu ya hizi taarifa za namna hii sijaanza kujifunzi juzi au jana,
Ni muda mrefu kwa kuwa huwa natumia kauli ya.....
Kile unachokiona na kukifikiria hakiwezi kuwa hivyo amini ndivyo kilivyo ila wewe tu umeziweka fahamu zako kifungoni kuto ziacha ziwe huru..

Kwa kuwa tayari ulishapandikiziwa taarifa ya kwamba...
Sababu ya WW1 ni hii na ukafundishwa darasani basi tayari walishafunga
Uwezo wako wa kufikiri na kudadisi.
Tupia hiyo picha yenye modern camera km unayo au link
 
Download....
Mkuu, ulivyotoa quote ya enoch wa kweli (kwa maelezo yako) naona MSEZA MKULU katoroka.

Sina utafiti wowote ila haya mambo mi naona kama ni njama flani tu kutoa watu kwenye reli flani, ama kuwajengea hofu ili wakimbilie ukombozi flani ama ni namna ya kuandaa mpango flani wa wajanjawajanja ambao waliwahi kuerevuka na wana lengo lao wengi hatulijui.

Vyovyote vile, napata shida sana kuamini kwamba kwa miaka yoooote hii kuna kitu kinafichwa. Kwa uwezo wa binadamu tungeshang'amua.

Na hata kama kinafichwa hakihusiani na shetani na Mungu maana hata hiyo stori ya Adam na Hawa mi huwa inanipa shida sana kuiamini. Haya ni mawazo yangu.

Kuna jambo umeongelea juu ya waisraeli ama wayahudi kuwa wabantu. Tafadhali fafanua na kama una vyanzo credible nidadavulie.
 
Yaani hadi nachoka kukujibu maana inaonekana ni kama namwaga maji kwenye gunia....

Hapa ninazungumzia super human ambao kwa namna nijuavyo ndiyo wahusika wakuu wa maendeleo yote kwa asilimia kubwa sana,sijasema mahala popote kuwa binadamu hawezi kufanya chochote bali nimesema kuwa hawa viumbe wana uwezo mkubwa mara milion nyingi kuliko binbadamu....

Wewe unakuja hapa na list ndefu sana ya watu,halafu hapo hapo huko mwanzo ulisema hawa jamaa walipata ujuzi huu huko Misri,huko Misri nani aliwapa?

Pia,kwa maelezo yako hayo huoni unawaondoa kwenye uhusika wao kwenye wanaodaiwa waliyafanya?

Nikushauri haya mambo achana nayo wewe endelea na mada yako tu mkuu kwa namna nyingine.....
Hoja yako kubwa ni kwamba, MAendeleo ya Kitechnolojia duniani yalianzishwa na HAO vioumbe unaowahisi na wanadamu wamechangia kwa sehemu chache sana kitu ambacho sioni kama ni sahihi kwa sababu Mungu aliwaumba wanadamu na Uwezo mkubwa sana wa kubuni,kudesign na kuexplore nature na kuja na hitimisho ambalo ni maendeleo ya ajabu. Inabidi hayo maendeleo yaliyoletwa na ALLIENS yafanye kuonekana kama ni siri ya wachache kwa sababu hayana uhalisia na kimsingi sioni kama ni kweli.

a) Mungu anauwezo wa Kumpa mtu Maarifa na Ujuzi wa hali ya Juu kutengeneza chochote kile kwa faida ya wanadamu au jamii fulani Hili pia LInaua Hoja yako,

USHAHIDI UPO MWINGI TU
1/
KUTOKA 35
30 Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.
31 Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,3
2 abuni michoro ya sanaa na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba;

33 achonge mawe ya kupambia na mbao kwa ajili ya kazi nyingine zote za kifundi.
34 Pia amemwongoza yeye na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani wawafundishe wengine.

35 Amewapa ujuzi wa kufanya kila kazi ya ufundi au ifanywayo na watu wa sanaa au mafundi wa kutarizi kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa, kwa kutumia ufundi wowote wa msanii.

2:Kuna mahali pia nafikiri ni mambo ya nyakati, Mungu alimpa kiongozi skills za ajabu kutengeneza silaa za kivita, zenye uwezo na ustadi na technology ya wakti huo ya ajabu na kumshida kabisa adui yake. Kama wasingesema Mungu kahusika MKUU UNGELIAMBIA HUO NI UTHIBITISHO ALIEN WALIKUWEPO TANGU ZAMANI NA WAKO NYUMA YA HIGH TECH ZA WAKATI HUO. HApa ni kutaka kuhafifisha uwezo wa kiakili wa kibinadamu na Kukimbizia kwenye vitu visivyona uhakika kisa mtu flani alisema baadae akauwawa. Yawezekana na yeye alikuwa sehemu ya mpango maalum.


b)WANADAMU WAMEUMBWA NA UWEZO MKUBWA SANA AMBAO UNATOSHA KUWAHALALISHA KUWA NYUMA YA MAENDELEO HAYA YA DUNIA NA SIO HAO VIUMBE UNAOWATETEA. KAMA WANAUWEZO ZAIDI YENU NI KWA FAIDA YAO NA HUKO WATOKAKO ILA HAWAKO NYUMA YA MAMBO YANAYOENDELEA DUNIANI.

Mfano Ushahidi:
Huko huko Mesopotamia ambapo baadae wakawa na link na EGYPT ambapo maalifa ya kale pia yanapatikana. Mwaka 605-562 B.C. Alitawala Huyu NEBUCHADNEZER(Pia kaelezewa katika bibilia). Alikuwa ni Mwandadamu mwenye Uwezo wa hali ya juu. Super Geneous, Aliyeweza Kudesign na kudevelop Amazing archtectural structures ambazo zingine hadi leo bado duniani wanajiuliza alitengeneza vipi mfano THE FLOATING GARDEN. Hata alipotaka kujivuna kwa Uwezo mkubwa aliokuwa nao, Mungu aliingilia kati Akamfundisha somo (SOma Daniel). Huyu alikuwa mpagani tu ila kwa elimu zako za kufikilika ungezema Jamaa alikuwa allien au SUper Human. SIkatai kuwepo kwa viumbe nje ya Binadamu,Shetani na Maraika hata wao kuwa na uwezo mkubwa lakini sio product ya Shetani na Pili Hawako responsible na chochochte duniani maana Sio eneo lao la Utendaji wenda ni wa Malimwengu mengine maana tuko limited na dunia.
Wewe unakuja hapa na list ndefu sana ya watu,halafu hapo hapo huko mwanzo ulisema hawa jamaa walipata ujuzi huu huko Misri,huko Misri nani aliwapa?
H
iyo List ni mchanganyiko ya watu wa kila aina na kutoka sehemu mbalimbali dunianani wasio na uhusiano na Ugiriki. Nilichosema Wakigiki walitoa huo ujanja Egypt.
Greek philosophers Thales, Pythagoras, Democritus, and Plato studied with Egyptian masters.


Science and technology to my opinion with evidence from bible(God can Give special Skill) and history Is the product of Human Invension bila kujali walianzia wapi. HAO ALLIEND KUWA BACKUP YA WORLD TECHNOLOGY NI MYTH NDIO MAANA INAFANYWA SIRI SIRI KULETA ATTENTION ZISIZO NA MASHIKO.

Karibu
 
Hapana mkuu sijasema kuwa UFO's ni product hii maana sijui kama UFO's ni half human,isipokuwa nilisema kuwa inawezekana waliosemwa hapa wanawa ni hawa UFO's au viumbe wengine ambao siyo binadamu 100%....

Msingi wa hoja hii ni kwamba,endapo utakubali jambo hili basi tutaweza kuona kwamba kuna kitu hapa cha msinbgi kwenye hoja yangu kuwa walioko nyuma ya vurugu zote hizi humu duniani ni ni viumbe ambao ni zaidi ya binadamu,nakusihi tumia muda wako uangalie ile documentery niliyokupa mkuu....

Sawa,lakini siyo dhana yangu bali ni kitu ambacho maandiko yanakisema kuwa Shetani ndiye mkuu wa ulimwengu,kumbuka ulimwengu na siyo dunia tu hivyo hata kama kuna sayari zingine huko basi bado hata huko ni mkuu pia....

In my point of view ni kwamba kinachoelezwa Danieli 2 siyo kinachopelezwa Danieli 7 bali kinachoelezwa Danieli 7 ndicho kilichoelezwa danieli 8,10,11 na 12.Hii ni mada nyingine kabisa mkuu na tuiache....

May be may be,may be not,lakini point ya msingi ni kwamba maandiko yanatupa hints kwamba kuna viumbe ambao hawatakuwa wanadamu ambao watahusika kwenye jambo hili.....

Pia,Yesu alisema kuwa wakati wa kurudi kwake itakuwa kama siku za Nuhu,unafikiri alikuwa akimaanisha nini mkuu?

Hapa biblia iejitafsiri namna ipi mkuu?

Falme ambazo zimetajwa kwenye Danieli 2 sizo falme za kwenye Danieli 7 mkuu,huu ni mtazamo wangu isipokuwa zile falme zilizooonekana kwenye Daniel 7 zimo kwenye mchanganyiko wa udongo na chuma pale baada ya ule ufalme wa chuma kupita ambao kwa mtazamo wangu badi haujinuka....

Uko sahihi kabisa hapa lakini sijakwepa kukupa chochote kwasababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo...
Maoni na mitazamo mizuri, lakini hapo daniel2 na 7 rudi utulie vizuri. Hapo kuna Summary ya dunia hii na predictions zote za haya tunayojadili. huku tutaenda kwingine.
Kuhusu Ulimwengu kuwa chini ya Shetani, nitakuwa na mashaka kidogo kuamini hilo maana neno hilo limetumika kwa muktadha mbalimbali ila wakimaanisha earth yaani dunia na wakazi wake. Shetani alitupwa akaja Duniani Tukampokea kwa kukubali kuvunja akigizo la Mungu. LAkini Ulimwenge kwa Maana ya UNIVERSE hapa kwanza unazungumzia eneo kubwa saana lenye diameter zaidi ya CENTRIONS of DIameter tena hapo ni kadilio la chini sana. Na huwa nasema kila siku HAKA KADUNIA NA Usumbufu wake wote ni kama Punje ya Mchanga kwenye kitu kiitwacho MILK WAY GALAX (Geography form 3). Hapo ndio kwanza hujaanza safari ya Universe. Ndio maana nakwambia yawezekana Mungu aliumba viumbe wengine wengi nje ya Planet Earth ambao hawajawahi kukubaliana na Shetani. Wenda hao wakawa miongoni mwao (Japo hadi kesho validity ya Uwepo wao ni Fumbo kubwa kwa wanadunia ndio maana kwa sababu ni fumbo lisilo na jibu mnapata mwanya wa kupitishia ujanjaujanja kama unaoutetea). Huku nako ni kwengine tusizame sana
 
Huyu jamaa ndo alianzisha uzalendo kwa kizazi cha kiitaliano kilichokuja kuleta mabaditiko si Italy tuu bali dunia nzima.Nikikumbuka the carbonari,na Jinsi Papa Pius ix alivyofushwa na jamaa akatangaza jamuhuri ya Roma!!!!!
Ahsante kwa maarifa mkuu, huyu nilikuwa simfahamu hadi nilipokutana na hizi habari motomoto
 
Mkuu [HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG] unazamia deep kwenye mambo ya kiroho ni ngumu sana kwa watu watu katika ulimwengu wa mwili kukuelewa.

Mkuu @msezamkulu kuna baadhi ya mambo nakubaliana nawe na baadhi sikubaliani nawe kabisa hasa ya Biblia.
Ushauri
Unapotaka kusoma Biblia takatifu omba sala kwanza roho wa Mungu akufunulie. Huwezi soma Biblia takatifu kama unasoma documentary fulani au article ya proffesor! Hutaambulia chochote sana sana itakucontradict.
Mkuu nakupata sana, Hapa sio suala la TRUE/FORCE bali ni ni mitazamo yako juu ya mada, japo tunahamahama ili kutatua mgogoro uliojitokeza katikati ya Mada.

Ushauri mzuri. Bibilia huwa naisoma kwa mitazamo zaidi ya mitatu. Huu wa hapa tukienda kiroho kupitiliza tutatoka kwenye mistari zaidi.
 
Nilikuambia kuwa asilimia 95 ni uongo kwasababu kwenye maandiko yako kuna ukweli mdogo sana mkuu...

Baadhi ya uongo kwenye maandiko yako...

Kwenye kitabu cha Enoch nilichonacho hakuna 1Enoch 67,kitabu nilichonacho ukurasa wa kwanza unaishia ukurasa wa tisa tu.Pia hakuna 1Enoch 22:13 kama nilivyokueleza hapo juu....

Nije kwenye nukuu ya Yuda,Yuda 1:14-15 ambayo wewe unasema haifanani au haiko sawa,inasema hivi...

14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.


Hii hapa ya Kiingereza...

14 And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints,
15 To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.


Haya 1Enoch 9 hii hapa....

9. And behold! He cometh with ten thousands of ⌈His⌉ holy ones To execute judgement upon all, And to destroy ⌈all⌉ the ungodly: And to convict all flesh Of all the works ⌈of their ungodliness⌉ which they have ungodly committed, And of all the hard things which ungodly sinners ⌈have spoken⌉ against Him.

So tell me,nini kimetofautiana hapo mkuu?
Nimekuambia unatumia kigezo gani kuamini Yuda kaquote Enoch, na unatumia kigezo gani kupinga kuwa kuna uwezekano ni kitabu ni mpango wa watu kuchomekea haya ya kwenye bibilia ili Kukipa authentication kwa wafuasi wa bibilia ili wapenyeze mafundisho ambayo wewe unayaamini na kuyasimamamia. Kwa nini Uamini kwamba Yuda amequote kitabu hicho wakati mwenyewe unasema kuna DISTORTED/CONTAMINATED COPIES YA HICHO KITABU?

Unatumia Ushahidi gani kuamini ENOCH aliandika kitabu wakati ambao population ya dunia ilikuwa centralized sehemu moja bado na Kama Ni mtu wa saba kutoka adamu inamaanisha hadi anakuwa mtu mzima watu walikwa ni kama Familia au kijiji. Utamuandikia nani hicho kitabu.

Kama ni Hivyo Kwa Nini Mungu asingewaacha wakina ADAM,EVE, METHUSELA,NUHU,RUTU,ABRAHAMU,ISAKA,YAKOBO,na wengine wengi akiwemo ENOCH (Hajaandika hicho kitabu) Wasiandike habari zao kama wakina DAUDI, Sulemani,Yohana, Isaya, YEremia,MAthao au PAULO na kumwacha Musa pekee aandike habari za Mwanzo hadi kuwepo kwake?


Kwenye kitabu cha Enoch nilichonacho hakuna 1Enoch 67,kitabu nilichonacho ukurasa wa kwanza unaishia ukurasa wa tisa tu.Pia hakuna 1Enoch 22:13 kama nilivyokueleza hapo juu....

Hapa ndio matatizo yanapoanzia. Kitabu ulichonacho wewe ndio unaamini ni Orgin Copy? Mimi hizo quotes na nyingine nyingi ambazo hazina coherence na bibilia nimezitoa Sio kwa Scholars wa Bibilia bali kwa Wenzako ambao wameshafanya na wanafanya research tena kwa medhodology nyingi tu juu ya kitabu hicho. KWao hiyo unataka kuniambia ulichonacho ni sahihi kuliko kwa hao ulikokitoa.

Naomba ombi moja kama ni soft copy kiattach hapa kwenye thread kama ni Hard copy chuka snapshots weka hapa au niinbox. Mkuu hizo ni story za watu wanaojiassociate na bibilia ili wapate mateka wa fikra. Hakuna logic ya enoch kuandika kitabu cha Mungu alafu Mungu huyohuyo amuambia Musa aandike habari hizohizo. Maana yako nyingine Shetani anaweza kuficha maarifa ambayo Mungu alipanga watu wayapate. Basi naona Unampa credit sana huyu Shetani.
 
Mkiuu ngoja niseme kitu kingine hapa ambacho ni kigumu sana tena sana......

Huyu malaika tunayemuita Lucifer,ifahamike kwamba hatujui jina lake specific alilokuwa nalo wakati akiwa mbinguni.Jina au neno Lucifer ni jina ambalo ni la asili ya Kilatini ambalo lina maana ya "mbeba nuru" au "mwenye nuru",Walatino walimuita hivi lakini hili halikuwa jina lake huko mbinguni.Shetani siyo jina lake bali sifa yake ambayo inamaana ya "mshitaki" kwasababu hutushitaki kwa Mungu...

Kuna watu wanamchanganya malaika huyu na malaika Uriel ambaye jina lake linataka kushabihiana na jina Lucifer lakini hao ni malaika wawili tofauti kabisa....

Kwenye Biblia hakuna neno au jina Lucifer kuanzia mwanzo hadi Ufunbuo isipokuwa biblia za tafsiri za kisasa kwenye Isaya 14 ndipo wameweka jina hili kutokana na context ya kilichokuwa kinazungumziwa lakini hakuna jina hili kwenye Biblia za mwanzo kabisa....

Kwa hiyo kudhani kwamba Lucifer ndiyo jina lake halisi huyu malaika muovu siyo sahihi.Pia kuna dhana kuwa Lucifer siyo Shetani [Satan] bali Shetani bni malaika tofauti pia kuna Devil ambaye naye ni tofauti,haya tutayajadili kwenye mada nyingine lakini nilikuwa naweka kumbukumbu sawa tu mkuu....
Ulichandika sasa Hakishabihiani na Ulichandika mwanzo Page 2 kuhusu Lucifer/shetani labda kama mko wawili t
Kwa UFUPI SHETANI anaabudiwa kama LUCIFER leo kwenye Masonic lodges. na Wao wanamwita yesu ni Adonai. na Wanaamini Lucifer alionewa kwa fitna zilizosababishwa na Adonai. Sasa unapotaka Kuleta ujanjaujanja wa kumkwepesha Lucifer asiwe Shetani maana yake unaanza kunipa mashaka yawezekana hivyo vitabu vya pembeni vinavyokupa hizo tafsiri ni product za unazotakiwa kuziangalia upya valid source yake.
LUCIFER
Lucifer (/ˈluːsɪfər/;[1][2][3] loo-sif-ər) is the King James Version and Vulgate translation rendering of the Hebrew word הֵילֵל in Isaiah 14:12. This word, transliterated Hêlêl[4] or Heylel (pron. as HAY-lale),[5] occurs once in the Hebrew Bible[4] and according to the KJV-based Strong's Concordance means "shining one, light-bearer".[5] The Septuagint renders הֵילֵל in Greek as ἑωσφόρος[6][7][8][9][10] (heōsphoros),[11][12][13] a name, literally "bringer of dawn", for the morning star.[14] The word Lucifer is taken from the Latin Vulgate,[15] which translates הֵילֵל as lucifer,[16][17] meaning "the morning star, the planet Venus", or, as an adjective, "light-bringing".[18]

PIA UKUMBUKE KAMA SIKO SAHIHI NIKOSOE AGANO LA KALE HALIKUANDIKWA KILATINI BALI KIEBRANIA na KIGIGIRIKI ni Agano Jipya.



MAELEZO YAKO YA AWALI;

Kama ujuavyo ni kwamba Lucifer alikuwa ni malaika kule mbinguni na alianzisha harakati za kudai "haki" kutoka kwa Mungu.Yeye kwa tafsiri yake aliona hakuna haki hivyo alianzisha kampeni ambayo ilipelekea kufanikiwa kuwadanganya robo ya malaika wa mbinguni ambapo inakadiriwa ni malaika zaidi ya 300.......

Harakati hizi za Shetani zilisababisha kutokea kwa mvurugano huko mbinguni na kulazimika Shetani kuondolewa huko na kutupwa hapa duniani ambapo nako alidhamiria kuendeleza kampeni ya "kukomboa" viumbe wengine kutoka kwenye "udikteta" wa Mungu.Shetani hakuwa akikubaliana na Mungu namna ambayo aliamua kuwahudumia viumbe wote pamoja na kanuni zote alizoweka hivyo akaamua kuanzisha movement yake ambayo mwanzo alidhani angeweza kushinda....

Ukweli ni kwamba alishindwa,baada ya kushindwa na kujua kuwa hataweza kutimiza malengo yake aliamua kuendeleza harakati zile kwenye viumbe wengine lakini akitaka kumtumia kiumbe mmoja maalum...

Aliamua kumtumia kiumbe ambaye Mungu alimuumba kwa unadhifu na kwa malengo maalum kutimiza malengo yake.Malengo ya Shetani ni kutaka kuzuia malengo ya Mungu kutimia kwa kiumbe huyu na kwa kufanya hivyo atakuwa ametimiza angalau lengo moja ambalo ni kuvuruga mipango ya Mungu kwa kiumbe huyu aliyempenda kabisa.....

Kiumbe huyu ni binadamu.Shetani anajua kabisa kuwa kiumbe huyu ndiye kiumbe pekee ambaye Mungu alimpenda na kuchagua yeye [Mungu] kuwa sehemu yake,hivyo akaamua kufanya harakati zote ili amdhalilishe Mungu kupitia kiumbe huyu....

Aliamua kuanzisha harakati nyingi sana ili aweze kutimiza lengo lake hili.Harakati ya kwanza kabisa ni tukio la pale Eden ambapo alimtumia mwanamke kumuangusha mwanadamu huyu na alifanikiwa.Tool kubwa sana anayotumia Shetani ni uongo maana akisema ukweli hataweza kufanikiwa kabisa....

Baada ya kufanikiwa kwenye tukio hili Shetani aliamua au niseme alipanga kuvuruga kabisa uumbaji wa Mungu kwa kiumbe huyu,kwakuwa Mungu alimfukuza Shetani kule mbunguni na huyo huyo Mungu akaamua kuwa sehemu ya kuimbe ambaye Shetani anamuona kama dhaifu,aliamua na yeye kutengeneza harakati za yeye naye kuingia ndani ya binadamu na kuwa sehemu yake....


PAGE 2
 
Eiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)
Zile ni fix kuwatoa watu kwenye mistari, au kuchomeka mafundisho yatakayompa Credit shetani na Kuonyesha duniani kuna extra being ili kutia hofu wakazi wa dunia na kuwafanya wakate tamaa. na Ionekane duniani mambo ni extra complicated. Ukiangalia Movie inaitwa NOAH ambayo imetengenezwa kwa kutumia kitabu hicho wakati bibilia inamaelezo ya kutosha kuhusu noah na ghalika. Ila Movie imejaa mavitu mengi ambayo ni Non Biblical na imejaa Occult things.
Noah (the Movie) Hollywood Illuminati Gnosticism EXPOSED !!!


Hata mwenyewe anakili hakuna valid Copy yenye kuaminiwa. 66 books in bible are enough for us to make every conclusion in Spiritual related matters.
 
Mseza mkulu Na Eiyer kwenye kubishana ndo hoja zinajengeka vizuri mi nakushuru wewe uliyeanzisha hii thread
Athante ndugu, mwenyewe nafurahi maana kupata watu wa kudepate kwa hoja sio tu JF hata huku uswahili kwetu huwa ni shida. Yote haya sio kuonyesha nani mjuaji au yuko sahihi ni kubadilishana Mitazamo na kweli mbalimbali ili mwisho wa siku tusijekuishi kwenye advanced world with outdated beliefs na knowledges
 
Huu mjadala nimeufwatilia sana japo kuna mengine yamenivuruga akili kabisa.
Taratibu mkuu usivurugike. Katika mjadala woote kuna FACTS/PERSPECTIVES/MYTH/ASSUMPTIONS etc mwisho wa siku tunatakiwa kuulizana maswali na kureseach majibu. Kama Kuna vitu vinachanganya Unauliza wenye kujua watatoa mitazamo yao.
 
Back
Top Bottom