Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Nimeweka video hapo lakini bado unauliza?Mkuu kwa mini Schneider aliuliwa? Nipe historia ya nimrod
Ishu ya Nimrodi ni mada nyingine....
Halafu jifunze ku quote....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka video hapo lakini bado unauliza?Mkuu kwa mini Schneider aliuliwa? Nipe historia ya nimrod
Mkuu umeshindwa hata kuangalia hiyo video hapo juu?Huyu Phil Scheneider ni nani? Alikwepaje kuawa mara kadhaa? Kwann aliuwa na aliuwa vipi?
Ndefu bandoooMkuu umeshindwa hata kuangalia hiyo video hapo juu?
Tupia hiyo picha yenye modern camera km unayo au linkHakuna kitu kinachotokea bila sababu
Labda nikuulize we ulizaliwa kwa sababu gani?
Mi tangu mwanzo nipo mdogo wakati najifunza,
Somo kuhusu kwa nini kuna majanga yanatokea na yanaua watu wengi sana..!
Niligundua kila kitu kinatokea kwa sababu?
Mwisho wa siku niligundua kuna matukio yaliopangwa tangu zamani sana
Ni sawa na picha ya utawala wa NAZI iliyopigwa zamani sana
Lakini katika ile picha alionekana jamaa mmoja akiwa modern camera
Ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado haijatengenezwa,!
Kwa hiyo amini usiami mambo mengi ni ya kutengeneza.
Na kuhusu elimu ya hizi taarifa za namna hii sijaanza kujifunzi juzi au jana,
Ni muda mrefu kwa kuwa huwa natumia kauli ya.....
Kile unachokiona na kukifikiria hakiwezi kuwa hivyo amini ndivyo kilivyo ila wewe tu umeziweka fahamu zako kifungoni kuto ziacha ziwe huru..
Kwa kuwa tayari ulishapandikiziwa taarifa ya kwamba...
Sababu ya WW1 ni hii na ukafundishwa darasani basi tayari walishafunga
Uwezo wako wa kufikiri na kudadisi.
Nikiipata ngoja niitafute kama niliisaveTupia hiyo picha yenye modern camera km unayo au link
Download....Ndefu bandooo
Mkuu, ulivyotoa quote ya enoch wa kweli (kwa maelezo yako) naona MSEZA MKULU katoroka.Download....
Hoja yako kubwa ni kwamba, MAendeleo ya Kitechnolojia duniani yalianzishwa na HAO vioumbe unaowahisi na wanadamu wamechangia kwa sehemu chache sana kitu ambacho sioni kama ni sahihi kwa sababu Mungu aliwaumba wanadamu na Uwezo mkubwa sana wa kubuni,kudesign na kuexplore nature na kuja na hitimisho ambalo ni maendeleo ya ajabu. Inabidi hayo maendeleo yaliyoletwa na ALLIENS yafanye kuonekana kama ni siri ya wachache kwa sababu hayana uhalisia na kimsingi sioni kama ni kweli.Yaani hadi nachoka kukujibu maana inaonekana ni kama namwaga maji kwenye gunia....
Hapa ninazungumzia super human ambao kwa namna nijuavyo ndiyo wahusika wakuu wa maendeleo yote kwa asilimia kubwa sana,sijasema mahala popote kuwa binadamu hawezi kufanya chochote bali nimesema kuwa hawa viumbe wana uwezo mkubwa mara milion nyingi kuliko binbadamu....
Wewe unakuja hapa na list ndefu sana ya watu,halafu hapo hapo huko mwanzo ulisema hawa jamaa walipata ujuzi huu huko Misri,huko Misri nani aliwapa?
Pia,kwa maelezo yako hayo huoni unawaondoa kwenye uhusika wao kwenye wanaodaiwa waliyafanya?
Nikushauri haya mambo achana nayo wewe endelea na mada yako tu mkuu kwa namna nyingine.....
Maoni na mitazamo mizuri, lakini hapo daniel2 na 7 rudi utulie vizuri. Hapo kuna Summary ya dunia hii na predictions zote za haya tunayojadili. huku tutaenda kwingine.Hapana mkuu sijasema kuwa UFO's ni product hii maana sijui kama UFO's ni half human,isipokuwa nilisema kuwa inawezekana waliosemwa hapa wanawa ni hawa UFO's au viumbe wengine ambao siyo binadamu 100%....
Msingi wa hoja hii ni kwamba,endapo utakubali jambo hili basi tutaweza kuona kwamba kuna kitu hapa cha msinbgi kwenye hoja yangu kuwa walioko nyuma ya vurugu zote hizi humu duniani ni ni viumbe ambao ni zaidi ya binadamu,nakusihi tumia muda wako uangalie ile documentery niliyokupa mkuu....
Sawa,lakini siyo dhana yangu bali ni kitu ambacho maandiko yanakisema kuwa Shetani ndiye mkuu wa ulimwengu,kumbuka ulimwengu na siyo dunia tu hivyo hata kama kuna sayari zingine huko basi bado hata huko ni mkuu pia....
In my point of view ni kwamba kinachoelezwa Danieli 2 siyo kinachopelezwa Danieli 7 bali kinachoelezwa Danieli 7 ndicho kilichoelezwa danieli 8,10,11 na 12.Hii ni mada nyingine kabisa mkuu na tuiache....
May be may be,may be not,lakini point ya msingi ni kwamba maandiko yanatupa hints kwamba kuna viumbe ambao hawatakuwa wanadamu ambao watahusika kwenye jambo hili.....
Pia,Yesu alisema kuwa wakati wa kurudi kwake itakuwa kama siku za Nuhu,unafikiri alikuwa akimaanisha nini mkuu?
Hapa biblia iejitafsiri namna ipi mkuu?
Falme ambazo zimetajwa kwenye Danieli 2 sizo falme za kwenye Danieli 7 mkuu,huu ni mtazamo wangu isipokuwa zile falme zilizooonekana kwenye Daniel 7 zimo kwenye mchanganyiko wa udongo na chuma pale baada ya ule ufalme wa chuma kupita ambao kwa mtazamo wangu badi haujinuka....
Uko sahihi kabisa hapa lakini sijakwepa kukupa chochote kwasababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo...
Ahsante kwa maarifa mkuu, huyu nilikuwa simfahamu hadi nilipokutana na hizi habari motomotoHuyu jamaa ndo alianzisha uzalendo kwa kizazi cha kiitaliano kilichokuja kuleta mabaditiko si Italy tuu bali dunia nzima.Nikikumbuka the carbonari,na Jinsi Papa Pius ix alivyofushwa na jamaa akatangaza jamuhuri ya Roma!!!!!
Mkuu nakupata sana, Hapa sio suala la TRUE/FORCE bali ni ni mitazamo yako juu ya mada, japo tunahamahama ili kutatua mgogoro uliojitokeza katikati ya Mada.Mkuu [HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG] unazamia deep kwenye mambo ya kiroho ni ngumu sana kwa watu watu katika ulimwengu wa mwili kukuelewa.
Mkuu @msezamkulu kuna baadhi ya mambo nakubaliana nawe na baadhi sikubaliani nawe kabisa hasa ya Biblia.
Ushauri
Unapotaka kusoma Biblia takatifu omba sala kwanza roho wa Mungu akufunulie. Huwezi soma Biblia takatifu kama unasoma documentary fulani au article ya proffesor! Hutaambulia chochote sana sana itakucontradict.
Nimekuambia unatumia kigezo gani kuamini Yuda kaquote Enoch, na unatumia kigezo gani kupinga kuwa kuna uwezekano ni kitabu ni mpango wa watu kuchomekea haya ya kwenye bibilia ili Kukipa authentication kwa wafuasi wa bibilia ili wapenyeze mafundisho ambayo wewe unayaamini na kuyasimamamia. Kwa nini Uamini kwamba Yuda amequote kitabu hicho wakati mwenyewe unasema kuna DISTORTED/CONTAMINATED COPIES YA HICHO KITABU?Nilikuambia kuwa asilimia 95 ni uongo kwasababu kwenye maandiko yako kuna ukweli mdogo sana mkuu...
Baadhi ya uongo kwenye maandiko yako...
Kwenye kitabu cha Enoch nilichonacho hakuna 1Enoch 67,kitabu nilichonacho ukurasa wa kwanza unaishia ukurasa wa tisa tu.Pia hakuna 1Enoch 22:13 kama nilivyokueleza hapo juu....
Nije kwenye nukuu ya Yuda,Yuda 1:14-15 ambayo wewe unasema haifanani au haiko sawa,inasema hivi...
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.
Hii hapa ya Kiingereza...
14 And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints,
15 To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.
Haya 1Enoch 9 hii hapa....
9. And behold! He cometh with ten thousands of ⌈His⌉ holy ones To execute judgement upon all, And to destroy ⌈all⌉ the ungodly: And to convict all flesh Of all the works ⌈of their ungodliness⌉ which they have ungodly committed, And of all the hard things which ungodly sinners ⌈have spoken⌉ against Him.
So tell me,nini kimetofautiana hapo mkuu?
Ulichandika sasa Hakishabihiani na Ulichandika mwanzo Page 2 kuhusu Lucifer/shetani labda kama mko wawili tMkiuu ngoja niseme kitu kingine hapa ambacho ni kigumu sana tena sana......
Huyu malaika tunayemuita Lucifer,ifahamike kwamba hatujui jina lake specific alilokuwa nalo wakati akiwa mbinguni.Jina au neno Lucifer ni jina ambalo ni la asili ya Kilatini ambalo lina maana ya "mbeba nuru" au "mwenye nuru",Walatino walimuita hivi lakini hili halikuwa jina lake huko mbinguni.Shetani siyo jina lake bali sifa yake ambayo inamaana ya "mshitaki" kwasababu hutushitaki kwa Mungu...
Kuna watu wanamchanganya malaika huyu na malaika Uriel ambaye jina lake linataka kushabihiana na jina Lucifer lakini hao ni malaika wawili tofauti kabisa....
Kwenye Biblia hakuna neno au jina Lucifer kuanzia mwanzo hadi Ufunbuo isipokuwa biblia za tafsiri za kisasa kwenye Isaya 14 ndipo wameweka jina hili kutokana na context ya kilichokuwa kinazungumziwa lakini hakuna jina hili kwenye Biblia za mwanzo kabisa....
Kwa hiyo kudhani kwamba Lucifer ndiyo jina lake halisi huyu malaika muovu siyo sahihi.Pia kuna dhana kuwa Lucifer siyo Shetani [Satan] bali Shetani bni malaika tofauti pia kuna Devil ambaye naye ni tofauti,haya tutayajadili kwenye mada nyingine lakini nilikuwa naweka kumbukumbu sawa tu mkuu....
Zile ni fix kuwatoa watu kwenye mistari, au kuchomeka mafundisho yatakayompa Credit shetani na Kuonyesha duniani kuna extra being ili kutia hofu wakazi wa dunia na kuwafanya wakate tamaa. na Ionekane duniani mambo ni extra complicated. Ukiangalia Movie inaitwa NOAH ambayo imetengenezwa kwa kutumia kitabu hicho wakati bibilia inamaelezo ya kutosha kuhusu noah na ghalika. Ila Movie imejaa mavitu mengi ambayo ni Non Biblical na imejaa Occult things.Eiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)
Athante ndugu, mwenyewe nafurahi maana kupata watu wa kudepate kwa hoja sio tu JF hata huku uswahili kwetu huwa ni shida. Yote haya sio kuonyesha nani mjuaji au yuko sahihi ni kubadilishana Mitazamo na kweli mbalimbali ili mwisho wa siku tusijekuishi kwenye advanced world with outdated beliefs na knowledgesMseza mkulu Na Eiyer kwenye kubishana ndo hoja zinajengeka vizuri mi nakushuru wewe uliyeanzisha hii thread
Taratibu mkuu usivurugike. Katika mjadala woote kuna FACTS/PERSPECTIVES/MYTH/ASSUMPTIONS etc mwisho wa siku tunatakiwa kuulizana maswali na kureseach majibu. Kama Kuna vitu vinachanganya Unauliza wenye kujua watatoa mitazamo yao.Huu mjadala nimeufwatilia sana japo kuna mengine yamenivuruga akili kabisa.