WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Haya yote yanayoongelewa na tunayoyashuhudia inaelezwa ni kazi ya lucifer. Kwa uelewa wangu mdogo, nafaham lucifer alipambana na Kristo Yesu akashindwa akapokonywa funguo ya kuzimu na akafungiwa huko akisubiri hukumu. Najiuliza hii mipango yote shetan aliipanga na kuanza kuitekeleza kabla hajafungiwa kuzimu au akiwa kuzimu ana uwezo wakutekeleza mipango yake?
SIO LUCIFER MKUU ni SHETANI NA IBIRISI. KUMUITA LUCIFAER WAKATI AMESHAKUWA IBIRISI KITAMBO HICHO KABYA YA KUFURUSHWA KUTOKA MBINGUNI.
TANGU DAY 1 ANAFUKUZWA KADI KESHO HAJAWAHI KUSITISHA SHUGHURI ZAKE. TENA ANAFANYA KWA SPEED YA HARAKA IKIWEZEKANA ASIPONE HATA MMOJA
 
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.

Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na magharibi ikiwemo gazeti la Kiingereza, THE SUN, kitabu Descent into Slavery na kunukuliwa na gazeti la daily mail UK la 16:46GMT, 7 March 2016, http://www.dailymail.co.uk/news/article-3480720/Letter-written-Confederate-officer-150-years-ago-predicted-two-World-Wars-said-Islamic-leaders-West-just-hoax.html#comments pamoja na vyanzo lukuki mitandaoni imeibua utata mkubwa na wenda ikaandika upya historia ya dunia.

Mambo yanayoibuka katika barua hiyo;

1: VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vilitengenezwa ili kuusambaratisha utawala wa kifalme wa Czar huko urusi na kupandikiza u communism. RUSSIA hii ya kicommunist iliandaliwa kwa shughuli maalumu hapo baadae kubalance power Kati ya West na East. Mwaka 1917 mapinduzi makubwa ya kijeshi yalitokea urusi inasemekana yalikuwa financed na matajiri wakubwa duniani waliojificha nyuma ya mpango huu na kuwaweka madarakani wasoviet au wakomunist.
Kama ilivyotabiriwa na barua ya nguli huyu mwenye kuhusishwa na chama cha siri cha kiiluminati.

2: VITA VYA PILI VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vililenga rasmi kuchochea chuki Kati ya wayahudi na wanazi. Na baadae lianzishwe taifa la kisiasa la kizayuni au israel kwa ajili ya mpango maalum na ndio matokeo ya vita hivyo. Pili ni kuiinua urusi ya kicommunist kuwa na nguvu ya kutosha na kuifanya dunia yenye mataifa mawilli yenye nguvu duniani ili kwa baadae yatumike kwa mpango maalum.

3: VITA HIVI VINAVYOENDELEA SASA VITA DHIDI YA UGAIDI /EXTREMESTS
Vita hivi vinahusishwa na matukio yote ya kigaidi, vita vya Iraq, Afghanistan, matukio kama ya September 11th, na fukuto linaloendelea Sasa huko middle east na mengine mengi yajayo ya aina hiyo. Vita hivi lazima vichochee uhasama Kati ya waarabu na wayahudi wachukiane kiasi cha kila mmoja kumuaribu kabisa mwenzake.

Vita hivi vitaijumuisha dunia nzima, Visambae kimwili, kimaadili, kiroho na kiuchumi kuwaandaa wakazi wa dunia kuwa kitu kimoja na kuwa socially minded. Na ikiwezekana hata kubomoa sheria za nchi yoyote Ile ili kupambana na adui gaidi au mtu yoyote hatarishi kwa ufafanuzi za wahusika.

Hii barua na huu mpango wengine wanaona ina ukweli ndani yake, wengine wanaona ni kitu cha kutungwa na kubuniwa. Na wengine wanabaki katika dilema.

Hii ndio dunia yetu.
1871,Giusepe Mazzin alikuwa hai? Labda utwambie, Giusepe Garibaldi
 
1871,Giusepe Mazzin alikuwa hai? Labda utwambie, Giusepe Garibaldi
Giuseppe-Mazzini.jpg

Born: June 22, 1805, Genoa, Italy
Died: March 10, 1872, Pisa, Italy
Influenced by: Plato, Jean-Jacques Rousseau, Joseph de Maistre,More
Parents: Maria Drago, Giacomo Mazzini
Giuseppe Mazzini - Wikipedia
Kama nakosea tuwekane sawa chief
 
GALILEO GALILEI, NOCOLA TESLA, EISTAIN, NEWTON,ABBOT, PYTHAGORAS, ARCHMEDES, MARCONI, EDSON, MENDEL, NA WANASAYANSI WOTE KWA CONCEPT ZAKO HAWA NI ADVANCED HUMAN BEING WITH SATANIC GENES. AU WAMEWEZA KUFANYA SCIENTIFIC INVENTIONS NA WENGINE WANAENDELEA HATA KENYA JAMAA KAGUNDUA MOBILE MONEY, MBONGO MWINGINE JUZI TU AMEGUNDUA WATERFILTER USING NANOTECHNOLOGY WOOOTE HAWA NI PRODUCT YA STATANIC CONTAMINATION. NAOMBA MAELEZO ZAIDI NA EVIDENCE YA HAYO. maana hata galileo mwenyewe alisema

I do not feel obliged to believe that the same God who has endowed us with sense, reason, and intellect has intended us to forgo their use. Galileo Galilei

THEY ARE ALL HUMAN BEING, PURELY HUMAN BEING MKUU BORN WITH FREE CAPACITY OF CHOOSING GOOD OR EVIL.
KAMA MIPANGO HII IKITHIBITIKA NI KWELIL BASI INAFANYWA NA FREE SINFUL MEN BUT NOT SATANIC OFFSPRINGS
Yaani hadi nachoka kukujibu maana inaonekana ni kama namwaga maji kwenye gunia....

Hapa ninazungumzia super human ambao kwa namna nijuavyo ndiyo wahusika wakuu wa maendeleo yote kwa asilimia kubwa sana,sijasema mahala popote kuwa binadamu hawezi kufanya chochote bali nimesema kuwa hawa viumbe wana uwezo mkubwa mara milion nyingi kuliko binbadamu....

Wewe unakuja hapa na list ndefu sana ya watu,halafu hapo hapo huko mwanzo ulisema hawa jamaa walipata ujuzi huu huko Misri,huko Misri nani aliwapa?

Pia,kwa maelezo yako hayo huoni unawaondoa kwenye uhusika wao kwenye wanaodaiwa waliyafanya?

Nikushauri haya mambo achana nayo wewe endelea na mada yako tu mkuu kwa namna nyingine.....
 
Narudia tena,niliponukuu Danieli 2:43 sikuwa namaanisha kukuonesha tendo la ngono bali lengo langu ni kukuonesha kwamba kuna viumbe ambao siyo binadamu.....

HAO VIUMBE AMBAO SIO BINADAMU, KWA MAELEZO YAKO MWANZO NI PRODUCT YA NGONO KATI YA MASHETANI NA WATU WAKAZALIWA, NA MIONGONI MWAO NI UFO/ALLIEN.
Hapana mkuu sijasema kuwa UFO's ni product hii maana sijui kama UFO's ni half human,isipokuwa nilisema kuwa inawezekana waliosemwa hapa wanawa ni hawa UFO's au viumbe wengine ambao siyo binadamu 100%....

Msingi wa hoja hii ni kwamba,endapo utakubali jambo hili basi tutaweza kuona kwamba kuna kitu hapa cha msinbgi kwenye hoja yangu kuwa walioko nyuma ya vurugu zote hizi humu duniani ni ni viumbe ambao ni zaidi ya binadamu,nakusihi tumia muda wako uangalie ile documentery niliyokupa mkuu....
MIMI NIKASEMA SIKATAI KAMA KUNAUWEZEKANO WA KUWAPO VIUMBE AMBAO SIO BINADAMU WALA MARAIKA WALA MAJINI MAANA MUNGU ALIUMBA TRILLIONS OF PLANETS AMBAZO YAWEKEZNA KUKAWA NA VIUMBE HUKO. ILA DUNIA HII TULIUMBIWA SISI WANDAMU TUITAWALE, BAADAE TUKAWACONATMINATED NA DHAMBI TENDO AMBALO WENGINE WANATAFSIRI TUMUKABIDHI SHETANI, HAPO NDIO INAKUJA CONCEPT YAKO YA SHETANI KUJIONA NI MMLIKI WA HII DUNIA AMBAYO KWA MANTIKI HIYO NINAKUBALI JAPO MMILIKI HALISI NI MUUMBAJI ILA WALIOUMBIWA WAKAIKABIDHI KWA KIUMBE ASIYEHISIKA.
Sawa,lakini siyo dhana yangu bali ni kitu ambacho maandiko yanakisema kuwa Shetani ndiye mkuu wa ulimwengu,kumbuka ulimwengu na siyo dunia tu hivyo hata kama kuna sayari zingine huko basi bado hata huko ni mkuu pia....
SASA UNAKWEPA NINI KUWA MZIZI WA WEWE KULETA FUNGU HILI AMBALO KWANZA NI LA KIUNABII. NA PILI KINACHOELEZWA DANIEL 2 NDICHO KINAELEZWA DANIEL7
In my point of view ni kwamba kinachoelezwa Danieli 2 siyo kinachopelezwa Danieli 7 bali kinachoelezwa Danieli 7 ndicho kilichoelezwa danieli 8,10,11 na 12.Hii ni mada nyingine kabisa mkuu na tuiache....
KWA MAFUMBO MENGINE NA BAADHI YA HAYA ZA UFUNUO NI KUTAKA KUTUAMINISHA MACHOTARA WA KIPEPO NDIO HAO WANAOZUNGUMZIWA HAPA.
May be may be,may be not,lakini point ya msingi ni kwamba maandiko yanatupa hints kwamba kuna viumbe ambao hawatakuwa wanadamu ambao watahusika kwenye jambo hili.....

Pia,Yesu alisema kuwa wakati wa kurudi kwake itakuwa kama siku za Nuhu,unafikiri alikuwa akimaanisha nini mkuu?
BIBILIA ILIJITAFSIRI YENYEWE KUWA HAPO HILO ENEO LET BIBLE TRANSLATE ITSELF MKUU.
Hapa biblia iejitafsiri namna ipi mkuu?
PIA SIO LAZIMA HUO UFALME WA CHUMA BAADAE CHUMA NA UDONGO IWE NI ROMA AU VATICAN KWA MSINGI MMOJA TU FALME TATU ZIMETAJWA NA BIBILIA ILA WA MWISHO HAUJATAJWA JINA KWA MSINGI WA UKWELI KWAMBA UFALME HUO NI WA WAKATI KITABU HICHO KILICHOAMLIWA KIFUNGWE KITAFUNGULIWA NA KUNAUWEZEKANO KINGEPOTEZWA. PIA HAPO KAMA UNAPINGA SIO HIKI BASI SEMA KILE NI KIPI NDIO UTARATIBU CHIEF.
Falme ambazo zimetajwa kwenye Danieli 2 sizo falme za kwenye Danieli 7 mkuu,huu ni mtazamo wangu isipokuwa zile falme zilizooonekana kwenye Daniel 7 zimo kwenye mchanganyiko wa udongo na chuma pale baada ya ule ufalme wa chuma kupita ambao kwa mtazamo wangu badi haujinuka....
TUKUMBUKE TULIKOTOKA PIA. MADA TUNAKUBALIANA ILA MTAZAMO NI KUWA WALIO NYUMA YA HAYO YA WORLD WARS MIMI NASEMA NI BINADAMU WEWE UNASEMA NI BINADAMU AMBAO NI CHOTARA WA KISHETANI YAANI WANA DNA MAKE UP YA KISHETANI HIVYO WANAAKILI YA ZIADA. PROOF YAKO NI BIBILIA NA BOOK OF ENOCH AMBACHO HATA SASA UNAKWEPA KUTUPA UKWELI ULIOMO.
Uko sahihi kabisa hapa lakini sijakwepa kukupa chochote kwasababu sijaona umuhimu wa kufanya hivyo...
 
Huyu jamaa ndo alianzisha uzalendo kwa kizazi cha kiitaliano kilichokuja kuleta mabaditiko si Italy tuu bali dunia nzima.Nikikumbuka the carbonari,na Jinsi Papa Pius ix alivyofushwa na jamaa akatangaza jamuhuri ya Roma!!!!!
 
Mkuu [HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG] unazamia deep kwenye mambo ya kiroho ni ngumu sana kwa watu watu katika ulimwengu wa mwili kukuelewa.

Mkuu @msezamkulu kuna baadhi ya mambo nakubaliana nawe na baadhi sikubaliani nawe kabisa hasa ya Biblia.
Ushauri
Unapotaka kusoma Biblia takatifu omba sala kwanza roho wa Mungu akufunulie. Huwezi soma Biblia takatifu kama unasoma documentary fulani au article ya proffesor! Hutaambulia chochote sana sana itakucontradict.
 
Kama hautaki kukinukuu, mimi nimesema nimekinukuu na kimesema hayo ambayo wewe unadai 5% ni kweli na 95% ni uongo.
Utadhibitisha vipi kwa kutokinukuu ili uonyeshe basis ya hizo asilimia zako.
Na nimeelezea kwamba Humohumo unaposema 95% nimetoa ya uongo ndio Nukuu unayosema Yuda aliicopy paste kwa Mujibu wa Yuda Moja Ndio Hiyo nukuu inaonekana.
Unakwepa nini chief.
Hapa hatutafuti nani yuko sahihi bali kila mmoja anatoa mtazamo wake huru kwa ushahidi ikiwezekana

usisahau kusema na basis ya grading ya hizo asilimia
Nilikuambia kuwa asilimia 95 ni uongo kwasababu kwenye maandiko yako kuna ukweli mdogo sana mkuu...

Baadhi ya uongo kwenye maandiko yako...

Kwenye kitabu cha Enoch nilichonacho hakuna 1Enoch 67,kitabu nilichonacho ukurasa wa kwanza unaishia ukurasa wa tisa tu.Pia hakuna 1Enoch 22:13 kama nilivyokueleza hapo juu....

Nije kwenye nukuu ya Yuda,Yuda 1:14-15 ambayo wewe unasema haifanani au haiko sawa,inasema hivi...

14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.

Hii hapa ya Kiingereza...

14 And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints,
15 To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.

Haya 1Enoch 9 hii hapa....

9. And behold! He cometh with ten thousands of ⌈His⌉ holy ones To execute judgement upon all, And to destroy ⌈all⌉ the ungodly: And to convict all flesh Of all the works ⌈of their ungodliness⌉ which they have ungodly committed, And of all the hard things which ungodly sinners ⌈have spoken⌉ against Him.

So tell me,nini kimetofautiana hapo mkuu?
 
SIO LUCIFER MKUU ni SHETANI NA IBIRISI. KUMUITA LUCIFAER WAKATI AMESHAKUWA IBIRISI KITAMBO HICHO KABYA YA KUFURUSHWA KUTOKA MBINGUNI.
TANGU DAY 1 ANAFUKUZWA KADI KESHO HAJAWAHI KUSITISHA SHUGHURI ZAKE. TENA ANAFANYA KWA SPEED YA HARAKA IKIWEZEKANA ASIPONE HATA MMOJA
Mkiuu ngoja niseme kitu kingine hapa ambacho ni kigumu sana tena sana......

Huyu malaika tunayemuita Lucifer,ifahamike kwamba hatujui jina lake specific alilokuwa nalo wakati akiwa mbinguni.Jina au neno Lucifer ni jina ambalo ni la asili ya Kilatini ambalo lina maana ya "mbeba nuru" au "mwenye nuru",Walatino walimuita hivi lakini hili halikuwa jina lake huko mbinguni.Shetani siyo jina lake bali sifa yake ambayo inamaana ya "mshitaki" kwasababu hutushitaki kwa Mungu...

Kuna watu wanamchanganya malaika huyu na malaika Uriel ambaye jina lake linataka kushabihiana na jina Lucifer lakini hao ni malaika wawili tofauti kabisa....

Kwenye Biblia hakuna neno au jina Lucifer kuanzia mwanzo hadi Ufunbuo isipokuwa biblia za tafsiri za kisasa kwenye Isaya 14 ndipo wameweka jina hili kutokana na context ya kilichokuwa kinazungumziwa lakini hakuna jina hili kwenye Biblia za mwanzo kabisa....

Kwa hiyo kudhani kwamba Lucifer ndiyo jina lake halisi huyu malaika muovu siyo sahihi.Pia kuna dhana kuwa Lucifer siyo Shetani [Satan] bali Shetani bni malaika tofauti pia kuna Devil ambaye naye ni tofauti,haya tutayajadili kwenye mada nyingine lakini nilikuwa naweka kumbukumbu sawa tu mkuu....
 
Eiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)
 
Achaneni na hicho kitabu cha Enock tupeni ukweli ni jinsi gani ukweli unafichwa na uongo kuenezwa
 
GALILEO GALILEI, NOCOLA TESLA, EISTAIN, NEWTON,ABBOT, PYTHAGORAS, ARCHMEDES, MARCONI, EDSON, MENDEL, NA WANASAYANSI WOTE KWA CONCEPT ZAKO HAWA NI ADVANCED HUMAN BEING WITH SATANIC GENES. AU WAMEWEZA KUFANYA SCIENTIFIC INVENTIONS NA WENGINE WANAENDELEA HATA KENYA JAMAA KAGUNDUA MOBILE MONEY, MBONGO MWINGINE JUZI TU AMEGUNDUA WATERFILTER USING NANOTECHNOLOGY WOOOTE HAWA NI PRODUCT YA STATANIC CONTAMINATION. NAOMBA MAELEZO ZAIDI NA EVIDENCE YA HAYO. maana hata galileo mwenyewe alisema

I do not feel obliged to believe that the same God who has endowed us with sense, reason, and intellect has intended us to forgo their use. Galileo Galilei

THEY ARE ALL HUMAN BEING, PURELY HUMAN BEING MKUU BORN WITH FREE CAPACITY OF CHOOSING GOOD OR EVIL.
KAMA MIPANGO HII IKITHIBITIKA NI KWELIL BASI INAFANYWA NA FREE SINFUL MEN BUT NOT SATANIC OFFSPRINGS
Huyu Phil Scheneider ni nani? Alikwepaje kuawa mara kadhaa? Kwann aliuwa na aliuwa vipi?
 
Eiyer MSEZA MKULU
Naona mabishano yamegeukia kuhusu uhalali wa kitabu cha Echok Naomba kuuliza, nikisoma bible naona kuna sehem viongoz walimwamrisha Yesu awanyamazishe watu wake wkt Yesu akiingia yerusalem, Yesu aliwajbu hawa wakinyamaza basi mawe yatapaza saut. Maana ya lile andiko kwangu n kwamba hakuna awezaye kulizuia neno la Mungu lisifikie watu wake. Napata shaka kuhusiana na kitabu cha enok, kama kwl ni maneno ya Mungu je shetan amefaulu kuzuia neno la Mungu lisiwafikie watu wake?
Kitu kingine, enok anaonekana ni mtu wa kale sana (mtu wa saba baada ya Adam) naomba kujua kitabu cha enok kiliandikwa lwa lugha gan na mwandish alikua ni nan? Je miaka hyo enok yupo dunian uandish ulikuwepo, maana tunaona maandiko yanayohusu watu wa kale na uumbaj kiujumla yaliandikwa miaka mingi sana baada ya uumbaji (kitabu cha mwanzo ambacho kimeelezea uumbaj na Adam kiliandikwa na Musa)
Kimsingi hili ni swali langu na siyo mtoa mada....

Sijui mkuu unawezaje kusema Shetani amezuia neno lake lisiwafikie watu wakati hapa tunajadili suala hilo hilo na hata wewe umejua kuna hiki kitabu....

Binafsi naona halijazuiwa labda tu useme limechelewa kutufikia kitu ambacho siyo cha ajabu kabisa....
 
Back
Top Bottom