WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

Tangu niliposoma na kujua alichokuwa anakimaanisha Plato kwenye kitabu chake cha Republic hasa kwenye story yake ya Allegory of the Cave ndiyo nilianza kuelewa kabisa hasa tunaishi kwenye dunia ya namna ipi....

Kimsingi,watu wote ambao leo tunawachukulia kama "majiniaz" walipata ujuzi waliokuwa nao kutoka mahali fulani,Mesopotamia huko.Pythagoras,Socrates,Galileo,Alexander the Great,Plato na hadi hawa akina Sir Francis Beacon na John Dee ni watu ambao walipata elimu hizi tofauti kabisa na wanafunzi wengine waliikuwa kwenye madarasa ya watu hawa....

Socrates aliwahi kumueleza mwanafunzi wake mmoja aitwaye Plato kwenye madarasa yao kwamba,elimu anayowapa ni elimu iliyoko kwenye makundi mawili.Kunsi la kwanza ni lile la kawaida ambalo wanapewa elimu ya kawaida kuhusu mafuzo waliyokuwa wanapewa na kundi la pili ni lile ambalo linapewa elimu maalum na nyeti ambayo hakupaswa kupewa mtu yoyote na ni elimu maalum ambayo ndiyo lengo kuu la wao kufundishwa....

Kwenye darasa maalum ambalo walipewa elimu maalum ambayo Socrates alimueleza Plato,miongopni mwa wanafunzi waliokuwemo ni Plato mwenyewe.Utaratiobu huu ambao Plato alielezwa na mwalimu wake ulikuwepo tangu Socrates mwenyewe alipopata ujuzi huo kutoka kwa Pythagoras na Plato aliendelea kuwa nao na hata wanafunzi wake waliofuatioa kama akina Alexander The Great waliendelea nao....

Hapa sasa dipo tunakuja kupata maana mbili za hadithi ya Allegory of the Cave inayopatikana kwenye kitabu cha Plato kiitwacho The Republic.....

Hadithi ile inazungumzia watu waliokuwa kwenye pango ambao walikuwa wamefungwa kwa minyororo kwenye miguu yao wakati huo huo nyuma yao kukiwa kuna mto unaowaka.Watu hawa waliishi kwenye pango hili kwa miaka mingi sana,wakiwa wameelekezea nyuso zao kwenye ukuta wa pango lile wakitazama vivuli vyao ukutani na waliamini ule ndiyo ulikuwa uhalisia [the dancing shadow became their reality]....

Kwao maisha na dunia ilikuwa ni ile waliyokuwa wakiiona kwenye pango lile.vivuli ndiyo mazingira yaliyowazunguka na huo ulikuwa ni ukweli mkubwa sana kwao....

Uhalisia ule ambao ulikuwa wazi kabisa kwenye macho yao ndiyo ulikuwa ukweli.Haikuwa rahisi kabisa kuja kumueleza mmoja wao au wote kwamba ule hukuwa uhalisia kwakuwa walikuwa wakiona kwa macho yao.Waliamini kila walichokuwa wakikiangalia kilikuwa ndicho halisi...

Bahati mbaya kabisa ni kwamba hawakujua kwamba uhalisia ule ulikuwa umetengenezwa tu,haukuwa halisi.Waliamini kila walichokuwa wanakiona ni halisi.Waliamini hakuna anayeweza kutengeneza kitu halafu kikaonekana kuwa halisi hadi siku mmoja wao alipokata mnyororo na kutoka nje na kuuona uhalisia halisi na kurudi ndani kuwafungua wenzake minyororo ile na wao kuja kuuona uhalisia ambao hata kwa bunduki wasingekubali kuwa upo kama mtu angeenda kuwaeleza hili.....

Ukiangalia au ukitaka kujua maana ya hadithihii ndipo utakuja kuona kile ambacho kinaendelea duniani.Plato aliwaeleza maana halisi ya hadithi hii watu wachache sana wanaitwa "the elect ones",watu ambao walikuwa wakielezwa haya kwa sababu maalaum ili waje kutawala dunia....

Kinachoendelea duniani leo sicho kilichopo kwenye uhalisia,siyo uhalisia bali ni uhalisia uliotengenezwa tu.Wengi na nadhani hata wewe unaamini kuna ugonjwa unaosababishwa na kirusi fulani kinachoitwa HIV,unaamini kuna ugonjwa unoitwa EBOLA unaoua kikatili kabisa,unaamini kuna mafua ya ndege,unaamini kuna watu wanaotishia maisha ya watu wanaoitwa magaidi,unaamini rais wa Marekani anachaguliwa na wapiga kura kidemokrasia,unaamini kuna uadui kati ya Marekani,China na Urusi,unaamini dunia ina watu wengi sana hivyo inaweza kuja kuleta matatizo hapo baadaye hivyo tunapaswa kutumia uzazi wa mpango.Unaamini kuwa dunia ina mabilioni ya miaka,Unaamini kuwa viwanda vinaharibu hali ya hewa na kuzababisha mvua kutonyesha na kuongeza joto duniani,fake relity ziko nyingi sana....

Tunaishi kwenye pango,vivuli vilivyotengenezwa na moto ndiyo uhalisia wetu,giza lililoko ndani ya pango ndiyo ukweli wetu.Minyoror inatufanya tuamini hivyo kwakuwa hatuwezi kutoka humo....

Sasa basi pango ni nini,minyororo ni nini?Moto na vivuli ni nini? Maana za haya yote utaweza kupata angalau clue kama utanisoma hapo juu kwa makini.Hapa ndipo tunapokuja kuamini kwamba vita vinasababishwa kwasababu tunazoambiwa,lakini kuna sababu za kweli ambazo hatuambiwi....

Tunaishi kwenye dunia ambayo ukipata hata nukta kidogo ya ukweli utaogopa....

Nimesema haya ili kukufanya mkuu MSEZA MKULU uangalie tena mara mbili sababu za vita ulivyovisema hapo kwenye mada yako ili uone kama hazina chumvi au uongo.....

Ashante......
Wanasema ili dunia iwe salama kwako ni lazima uwe na vitu viwili ELIMU na PESA na ukikosa pesa jitahidi uwe na ELIMU. Kama hauna hivyo vitu kamwe dunia haiwezi kuwa salama kwako

Mwisho wa kunukuu...
 
Napiga kambi ya kudumu hapa, Eiyer hapo kwa wabantu umeniongea kitu, kuna mtafiti mmoja alieleza namna zile kabila 12 za Israel zilivyotawanyika, akasema kwamba kabila la Yuda walihamia magharibi mwa Afrika, nikifuatilia historia ya wabantu naona walitokea huko magharibi mwa Afrika na kufika ukanda huu. Hapo kuna muunganiko flani
Kuna sehemu nilikuwa nasoma ilikuwa inaelezea juu ya bob marley alikuwa akijinasibu kuwa yeye ni muisrael kutokana na haya mataifa kumi na mbili
 
Goliath 2. 06m Robert wadlow 2.72m
Goliath miaka zaidi ya 3000 iliyopita na huyu mdau kuzaliwa juzi tu asubuhi 22.2.1918.
Kama bibilia kwako ni ndani ya box basi uko sahihi kama vizio vya Goliath na mapepo kutokuwa Malaika wa Shetani umevitoa nje ya Box uko sahihi. Lkn kama ni bibilia nimerahisiha vipimo vya Goliath, hilo la mapepo kutakuwa majini na fallen angels endelea kuamini nje ya box.
Duh!.....
 
Eiyer fafanua upapa wa Vatican na lengo lao kutawala dunia
Upapa ni kijisehemu kidogo ambacho ni sehemu ya mpango mkubwa kabisa wa kuutawala ulimwengu chini ya dini moja na mungu mmoja.Dhana ya Mungu mmoja haipo kwenye "Abrahamic religion" pekee bali ipo hata kwa Shetani maana yeye anataka awe ndiyo mungu wa dunia hii na yeye pekee tu....

Mpango wa kuitawala dunia na vilivyomo ulianza ramsi huko mbinguni miaka maelfu mengi yaliyopita pale malaika mmoja mzurisana alipoanzisha harakati za "kumpindua Mungu".Malaika huyu hakupendezwa na mambo mengi ikiwemo namna Mungu alivyokuwa akiendesha mambo yake hivyo akaanzisha "movement" huko mbinguni ya kufanya mapinduzi lakini bahati mbaya alishindwa kabisa baada ya Jemedari mkuu wa majeshi ya Mbinguni,Mikael kumsambaratisha malaika huyo pamoja na jeshi lake...

Malaika huyo wakati wa harakati zake alikuwa akiwashawishi malaika wengine waungane naye na alifanikiwa kuwashawishi robo ya malaika walioko mbinguni na hapo alipoona ameweza kuwashawishi hao aliamua "kulianzisha" lakini alishindwa...

Baada ya kushindwa alitupwa huku duniani lakini aliazimu kuendeleza harakati zake kama za mbinguni za kuwafanya viumbe wengine wamuone Mungu hafai na ni dikteta.Miongoni mwa harakati hizi ni tukio lililobadilisha kabisa maisha na hali ya duniani tukio lililotokea miaka zaidi ya 5500 iliyopita pale Eden baada ya malaika huyo kufanikiwa kumshawishi binadamu kumuasi Mungu....

Kuanzia hapo amekuwa akiendesha harakati zake kupitia njia nyingi na miongoni mwa njia hizo ni kuanzisha utaratibu wa kufanana na ule wa Mungu wa kumuokoa mwanadamu ambao ni dini.Ameanzisha dini nyingi fake na zinazofanana kwa sehemu kubwa na njia aliyoianzisha Mungu kwaajili ya kumuokoa mwanadamu...

Pia,ameanzisha harakati kupitia siasa,elimu n.k,lengo ni kumueweka mwanadamu mbali kabisa na Mungu na miongoni mwa alivyoanzisha ni hiyo taasisi uliyoitaja lakini kuna vitengo vya kiimani kama Freemason,Illuminati,Bohemia group,Roscrucian,Theosophical sociate n.k....

Hizi ni harakati zake katika kufanikisha kazi yake ambayo nimeisema hapo juu lakini hii ni sehemu ndogo sana ya yote haya....
 
Mada nzuri sanaa lakini isiwe katika mtazamo wa kidini especially kisabato anachosema faiza foxy kina mantiki
 
Mkiweka kidini hasa kikristo wakati tuna diversity kubwa ya dini finalised kama wabudha,waislamu ,Africans, mmewafikiria pia
 
unawaza mkuu. hizo ni masonic concepts za kumuhafifisha Mungu na Kumuinua Shetani.Hii mipango kama ipo basi inafanya na wanadamu (Pure human being) kwa kushirikiana na Shetani na mawakala wake.
Swali Dogo tu, Kama Mungu anapambana na Shetani, Na shetani akaamua Kuinterbreed na Wanadamu ili wote wawe demonic. Kwa nini Mungu asingeruhusu mabillioni ya Maraika wainterbreed na Wanadamu ili Wanadamu wote wawe biased to God.

Kitu kingine kama Mungu aliangamiza dunia kutokana na kutapakaa kwa machotara wa kishetani, kisha akaokoa watu wanane nuhu na familia yake ambao bado wako prone to satanic cross breeding then Mungu alikuwa anapoteza Muda. Kama Shetani anaweza kutengeneza machotara na wanadamu hakukua na haja ya kuwepo na watu wanaopagawa na Mapepo maana Angezaa Chotara tu yaani pepomtu ambaye hata aombewe vipi kwa sababu ni Genetic creature hawezi kubadilika au kutokwa pepo.

Au anataka kutwambia UFO ni mfano wa mnefiri. Au kwa bongo atutajie Crossbreed ya Shetani moja tu.
Our God is full of suprises .....ni swala la muda tu....kauli yake moja inatosha kusafisha dunia.......Lucifer/shetani ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu ana mamlaka ya kukidhibiti kadri atakavyo.......ukiangalia kwa mbali unaweza ukadhani kwa kiasi kikubwa shetani amefanikiwa kuwa na wafuasi wengi huku duniani lakini in reality shetani amepotezwa vibaya sana
 
Back
Top Bottom