WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

Tunahitaji umeme.
WWF au UN wakafuge wanyama na ecology systems pale Washington DC au Brussels.

Mbona, Trump kajiondoa kwenye mkataba wa Climate Change Summit uliofanyikia Paris!?

Waache upoyoyo.
Wasiingilie mambo ya nchi chafu. Waziache
 
Tunahitaji umeme.
WWF au UN wakafuge wanyama na ecology systems pale Washington DC au Brussels.

Mbona, Trump kajiondoa kwenye mkataba wa Climate Change Summit uliofanyikia Paris!?

Waache upoyoyo.
mkuu umegonga msumari kunapohitajika...
 
Kweli wazo zuri, hizo hela zikiongezewa kwenye mradi wa ges, nadhani tutakuwa mbali zaidi na hili ttzo kuliko kuanza huo mwingine

Mkuu nashukuru kwa kuona hili wazo langu, halafu inakuwa kama kuna tatizo fulani kwenye haya mambo. Toka Magufuli ameingia madarakani haongelei kabisa huo mradi wa gas, lakini awamu iliyopita na wananchi wa Mtwara wengi ni vilema mpaka leo kwa kipigo cha kuzuia hilo bomba. Ili kutupooza wananchi tukahubiriwa kila jema kuhusu hiyo gas mpaka tukaanza kuimbishwa uchumi wa gas, kama hii kauli mbiu ya sasa ya uchumi wa viwanda.

Watanzania tunapaswa kuhoji kwenye mambo makubwa, iweje 3Tr ziingizwe kwenye mradi from scratching, wakati kuna mradi ambao unahitaji kuendelezwa tu? Sikumbuki vizuri lakini nadhani tuliambiwa zitazalishwa 5000+mg. Je ikiwa Magufuli hataafanikiwa kumaliza huo mradi wa 2100mg kwenye kipindi chake, akiondoka madarakani akaja rais mwingine huoni ni rahisi kuona rais aliyepita aliharibu mazingira na yeye akaamua kuanzisha mradi wa umeme wa makaa ya mawe? Ni vyema rais/serekali itoke hadharani ituambie kinagaubaga shida ni nini kwenye gas mpaka warukie kwenye stiegler gorge. Hao WWF tunawamudu, watembee uchi, wapige sarakasi kama mradi una maslahi na nchi yetu hawana lolote watatufanya. Ila tujue kwanza mradi wa gas, tena mpaka gas ya majumbani shida ni nini kiasi kwamba 3Tr ziingizwe kwenye mradi mwingine mpya?

Cc:
msemajiukweli, misuli, thetallest, kipara kipya, jingalao, paskali mayalla
 
Wasitupangie!!! Tena wakome kabisa!!!! Namsapoti rais wetu kwa asilimia 100!!!! Lazima mradi huu wa umeme ukamilike!!!
Yaani wazungu wanaona vyura na wanyama ni wa muhimu kuliko watanzania kupata umeme? Haya ni matusi makubwa kwa watanzania. Magufuli jenga haraka hilo Bwawa wanyama na vyura wote wakifa sawa tu heri wafe watanzania tupate umeme
 
Mkuu nashukuru kwa kuona hili wazo langu, halafu inakuwa kama kuna tatizo fulani kwenye haya mambo. Toka Magufuli ameingia madarakani haongelei kabisa huo mradi wa gas, lakini awamu iliyopita na wananchi wa Mtwara wengi ni vilema mpaka leo kwa kipigo cha kuzuia hilo bomba. Ili kutupooza wananchi tukahubiriwa kila jema kuhusu hiyo gas mpaka tukaanza kuimbishwa uchumi wa gas, kama hii kauli mbiu ya sasa ya uchumi wa viwanda.

Watanzania tunapaswa kuhoji kwenye mambo makubwa, iweje 3Tr ziingizwe kwenye mradi from scratching, wakati kuna mradi ambao unahitaji kuendelezwa tu? Sikumbuki vizuri lakini nadhani tuliambiwa zitazalishwa 5000+mg. Je ikiwa Magufuli hataafanikiwa kumaliza huo mradi wa 2100mg kwenye kipindi chake, akiondoka madarakani akaja rais mwingine huoni ni rahisi kuona rais aliyepita aliharibu mazingira na yeye akaamua kuanzisha mradi wa umeme wa makaa ya mawe? Ni vyema rais/serekali itoke hadharani ituambie kinagaubaga shida ni nini kwenye gas mpaka warukie kwenye stiegler gorge. Hao WWF tunawamudu, watembee uchi, wapige sarakasi kama mradi una maslahi na nchi yetu hawana lolote watatufanya. Ila tujue kwanza mradi wa gas, tena mpaka gas ya majumbani shida ni nini kiasi kwamba 3Tr ziingizwe kwenye mradi mwingine mpya?

Cc:
msemajiukweli, misuli, thetallest, kipara kipya, jingalao, paskali mayalla
Hapo kweli, kuliko kuanza upya mkuu, hii miradi huwa inachukua hadi miaka kumi na kitu kma wa ges kikwete hakuumaliza, magu kaja haujakamilika kakumbilia mwingine, tutakuwa tubabaki na manusu nusu tu
 
WWF wakafie mbali!.
P

Paskali this is too low for you, kwa nafasi yako unapaswa kuongea kwa weledi na sio kujibu kama mshabiki. Wewe kama muandishi wa habari tena nguli una nafasi kubwa ya kuingia kwa hao wafanya maamuzi, sisi wengine ni wamwaga sumu tu humu jukwaani. Paskali hebu tuweke hili la WWF pembeni kwani liko ndani ya uwezo wetu. Hivi umewahi kujiuliza kwanini awamu hii ya tano haizungumzii kabisa umeme wa gas wakati huko bungeni na nchi nzima wimbo ulikuwa ni uchumi wa gas? Umesahau kwamba kuna watu leo hii wana vilema huko Mtwara kwa kutaka kuzuia bomba la gas? Unajua kuna watu mpaka leo wameshika plot kubwa kubwa huko Mtwara kuwahi fursa kutokana wimbo wa uchumi wa gas? Huyu Dangote unajua kilichompeleka Mtwara ni hiyo sifa ya gas?

Sasa wewe kama muandishi nguli nilitarajia uulize inakuwaje rais huyu kaingia anataka kuingiza 3t+ kwenye mradi mpya, anaacha mradi wa kumalizia wa gas ambao utatupa umeme na gas ya majumbani? Sipingi mradi huo mpya wa stiegler gorge, je ni sahihi kuwekeza nguvu kwenye mradi mpya wa maji, tuache kwanza ulio hatua nyingi mbele wa gas? Huoni kama hatutokuwa makini kwa kufanya ushabiki, Iwapo Magufuli ataingiza hela kwenye mradi mpya na asimalize kabla ya muda wake akija rais mwingine ataanzisha mradi mwingine wenye utashi wake? Paskali unapaswa kuwa na maswali magumu hata rais akisikia unaenda kumuona ajipange na sio kukujibu kwamba Mayalla kule kwao ni njaa. Itendee haki nafasi yako. Hapa sijaongelea kabisa ile ahadi ya Obama aliyokuja akaahidi kwamba atatoa $7b kwa ajili ya mradi mkubwa wa umeme hapa Tanzania ambao utaenda kwa nchi kadhaa kusini mwa jangwa la sahara. Paskali kuwa makini na nafasi yako na itendee haki, huo ushabiki uliojibu pale juu bora utuachie sisi viwavi jeshi na sio wewe.
 
Wasiingilie mambo ya nchi chafu. Waziache
Nakubaliana na wewe hundred percent .We don't matter to them let them leave us alone.To hell with WWF .Nchi chafu wanazitakia nini? America can survive without Africa.Let them leave us alone waendelee na usafi wao
 
Tunahitaji umeme.
WWF au UN wakafuge wanyama na ecology systems pale Washington DC au Brussels.

Mbona, Trump kajiondoa kwenye mkataba wa Climate Change Summit uliofanyikia Paris!?

Waache upoyoyo.
Soma report yao pia kuhs trump walionya pia!
 
Hapo kweli, kuliko kuanza upya mkuu, hii miradi huwa inachukua hadi miaka kumi na kitu kma wa ges kikwete hakuumaliza, magu kaja haujakamilika kakumbilia mwingine, tutakuwa tubabaki na manusu nusu tu

Mkuu haya mambo ni mambo serious lakini tunajadili kishabiki mno. Ukijaribu kuangalia hansard za bunge, wabunge wote hasa wa ccm kwenye awamu ya nne walikuwa wanaimba uchumi wa gas kama wendawazimu. Mpaka sera ya gas ikapelekwa bungeni na wapinzani kama kawaida wakaipata fresh kwa kuhojihoji kwao, kwamba wanaichonganisha serekali na wananchi wake. Leo hii nenda bungeni kama kuna mbunge yoyote wa ccm anaongelea hili la uchumi wa gas. Zaidi ya kwamba 2020 cdm inakufa kifo cha mende.

Leo hii rais anataka kuanza mradi mkubwa wa 3tr kwenye umeme wa maji tena akiwa na mradi wa gas unaohitaji kumaliziwa tu. Wakati huo huo ana mradi mwingine wa above 7Tr wa SGR, bunge halimshauri rais amalizie kwanza walichoshikia bango humo nyuma, wote wanaimba viwanda wakati kilimo ndio msingi wa viwanda hivyo na kinapata chini ya 10% ya bajet na bado hazifiki zote. Leo hii kalisha mbunge au mtu yoyote aongelee sera ama ajenda ya viwanda, utaona muda mwingi anajikita kwenye kilimo kwanza. Lakini wote wakikutana na rais wanasema viwanda viwanda bila kumuambia nguvu ni kwenye kilimo kwanza, na kama anataka kwenye viwanda basi ni awamu yake ya pili kama atachaguliwa. Hofu yangu ni hii tabia ya wanachi bunge nk kufuata utashi wa rais na sio sera kama zinavyotaka. Huenda Magufuli akaanza huo mradi kweli, lakini ukaishia njiani, na bado akaja rais mwingine akakaa meza moja na hao WWF wakamshawishi akaona kweli huo mradi ni uharibufu wa mazingira. Rais anapaswa kufuata taratibu zilizopo na kumalizia alichokuta kwanza, na sio kuanza mradi mpya hata kama ana nia njema. Kwa sababu sisi wengine huwa tunapinga lakini tuna hoja hatupewi nafasi ya kusikilizwa, matokea yake rais anasikiliza wanaojipendekeza kwake na sisi anatuona hamnazo. Kinachotokea hapo ni kila siku tunarudi nyuma au kubaki pale pale.
 
Waende wakamzuie Rais Donald Trump asichimbe mafuta kwani anachafua mazingira
 
Gas,uranium.....tuliambiwa hivi vitu vinatosha kuondoa tatizo la umeme tena tutauza hadi nje ya nchi...sasa imeshindikana ama la tumeibuka na huu mradi..akija mwingine tutaambiwa upepo na jua tulilonalo vinatosha kuzalisha umeme megawati nyingi tu. Hivyo tuviache viumbe na mazingira yao wafaidike...
 
kwao mbona wana miradi mikubwa tu !! kwetu huku ndo iwe sehemu ya kufugia wanyama ili mwisho wa mwaka waje kufurahisha roho zao...mbuga tunazo nyingi sana..kwa hili nasimama na Tanzania yangu
 
Hahaha Tanzania na wadanganyika mnavituko kweli. Mbona huwa mnapanga budget hewa Dodoma, hawa wazungu wana kaa huko Washington DC kujadili mpewe kiasi gani na kwanini ili mkidhi malengo ya budget yenu na huwa hamkatai. Leo hao hao wanawakosoa kwa kuwaonyesha tatizo la mradi wenu mnawaona wajinga.
Mradi wenyewe mnategemea pesa kutoka kwao teknologia mtoe kwao, eti watanzania tunadanganywa na wanasiasa nasi tunajiona wajanja. Hivi ecologia ya asili mkiiharibu mnadani mtaweza kuirudisha nyie. Stigler's Gorge sio mbaya lakini sikilizeni wanaofahamu.
Hahaha mnatumia mbinu na ubabe wa Iran na NK mpewe pesa mbadala ?! Wale wananyuklia nyie mna bonde tu hamtapata pesa hizo, wao wanashauri kwa mazuri yetu ili tusiharibu ecologia ya asili sisi tunajitia vichwa ngumu.
Kila siku tunadanganyana eti umeme wa viwanda, viwanda gani?! Viko wapi?! Vinatengeneza nini?!
Ohoo Trump, kawafanya nini kama sio kujizushia tu, akisema nyie ni shitholes mnakuwa shitholes kweli?! Mara ohoo WWF wako Nairobi, so what?! Mbona maamuzi ya Jerusalem mlipigia kura New york mnajidai mnamisimamo wakati ujinga tu. Sikilizeni wanaofahamu sisi hatufahamu huo ndio ukweli mtaharibu tu.
 
Kumbe ukileta mada kivingine Chadema wote wanamwagika kutoa sifa na kumsuport Magu,aaah.Inafurahisha sana,sasa Mzee wa nywele nyeupe mnamtaka nini haswa.Sijawai sikia UKWELI ukashindwa Vita.Rais anafocus vitu vya Kweli kwa ajili ya Watanzania ninyi mnatangaza vita dhidi ya ukweli,yangu macho tu, kuangalia Uongo na Ukweli nani Mshindi.
 
We are shitholes, watuache na yetu, kama waliwamaliza wanyama pori kwao na kutuanza kutupangia maisha haiwezekani, waendelee na maarifa yao, sisi twataka umeme wa kutosha na kuuza , period...
 
Soma report yao pia kuhs trump walionya pia!
Marekani imejitoa climate change viwanda vyake vinavyochafua hewa visifungwe na sisi wasituingilie mambo ya environment na wanyama na vyura to hell with them.Magufuli funga umeme haraka.Vyura na wanyama kama ni wengi piga rungu UA wote funga mashine ya umeme.Wao kwao waliua wanyama wote wajenge viwanda kwenye mbuga zao wasitubabaishe
 
Back
Top Bottom