Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Ufanisi wa mapato tukiwepo sisi wenyewe ni stori tu za kina Padre Kitima na watu wa aina yake, ukarabati ulifanyika lakini teknolojia za kisasa sisi hatuna.

Volumes zetu sisi wenyewe ni ndogo, pia elimu za utendaji kazi kwetu bado ni ndogo tuache tu hizi siasa.

Ni uwekezaji unaofanyika bandarini ni sawa na ukodishaji ule ule tunaofanya kwa majumba yetu. Mali ni yetu sisi baada ya muda mkataba unaisha tunaendelea kumiliki sisi.

DPW alisaini mkataba wa kwanza na Tshisekedi wa kununua mizigo kule DRC akasaini mkataba mwingine na Kagame ambao pia unahusisha ujenzi wa Depot kubwa kule Kigali mwishoni akasaini mkataba na Samia hapa Tz ambao unajumuisha matumizi ya bandari na biashara nzima ya uchukuzi wa mzigo kutoka DRC mpaka unapopanda meli kuelekea huko ughaibuni.
 
Sababu kuu ndo hiyo wanatoa sana Rushwa na hawana longolongo kwenyw kutoa Rushwa jambo linalopendwa sana na Viongozi wa Kitanzania.

Wachina na Wahindi ni wahuni wa kiwango cha SGR
 
Hujui unachoongea, Sina uhakika kama hata unasoma unachoandika. Angalia Tena unavyojichanganya hata unachoandika hakieleweki

Issue ilikua ufanisi na mapato, nimekuambia serikali hii hii ya Samia iliwapa tuzo TPA kwa ufanisi bora, ikapokea gawio kutoka TPA pamoja na mapato kuongezeka. Wewe unaaandika vitu ambavyo hata havieleweki
 
Adani afungwe.
 
Haya Takukuru ingieni kazini sasa kuchunguza kandarasi ya Adani pale TICS.
 
Kama anatumia hila kuiba shida ni wewe unaye ibiwa kihila bila kutumia akili kukwepa hizo hila.
Kuna watu wawili wote wa hovyo. Mmoja mwizi ( mweupe ) na mweusi mjinga, mbumbumbu na mbinafsi. Tangu nimekubaliana na nawe kipengele cha ujinga wa mtu mweusi, nawe niunge mkono juu ya uovu wa kila binadamu mweupe kwa mtu mweusi
 
Pale New York wakati Mwalimu kutoka Pugu sekondari alipoleta barua kutoka TANU ikitaka UN itoe uhuru kuwa eti Watanganyika waishajua kusoma na kuandika.
Majibu ya mlezi mkoloni Mwingireza yalikuwa ili Tanganyika waweze kujitawala itachukua miaka mingine 70.

Sasa tunalalamika nini?
Mtoto akililia wembe mpe.
 
Tuliwahi sana kujitawala. Ilipaswa hadi saivi tuwe tunatawaliwa
 
Kuna watu wawili wote wa hovyo. Mmoja mwizi ( mweupe ) na mweusi mjinga, mbumbumbu na mbinafsi. Tangu nimekubaliana na nawe kipengele cha ujinga wa mtu mweusi, nawe niunge mkono juu ya uovu wa kila binadamu mweupe kwa mtu mweusi
Naunga mkono hoja mkuu.
 
Tuzo TPA ni kitu kimoja lakini ongezeko la mzigo utakaopita bandarini baada ya SGR kuwa imeshaanza kazi kikamilifu ni kitu kingine tofauti kabisa.

Tuzo kutolewa pamoja na baadhi ya magawio ya mashirika na taasisi kwenda hazina huku hundi za mfano zikitolewa mbele ya Rais wa awamu ya tano, zile zilikuwa ni siasa za sanaa tu.

Kuna baadhi ya wakurugenzi hayati JPM aliwatimua baada ya kugundua kuwa wamecheza mchezo wa usanii kupeleka gawio hazina wakati kiuhalisia taasisi zao hazikuwa na uwezo ule kifedha.

DPW anaongeza tija bandarini, ukubali au ukatae huo ndio ukweli halisi.
 
Wazungu wapokee rushwa, uwasingizie Waafrika. Kwa lengo gani?

Kuwatukuza watoa na wala rushwa?

Huu uzi umepindishwa kwa kiasi kikubwa sana, na kama kawaida ya wazungu pindi umalaya wao kwenye biashara unapowekwa hadharani wanasingizia wengine!

Weka taarifa kamili hapa, uone uozo wa mzungu.
 
Bonge moja la uzi, hongera sana mkuu kwa upevu huu! Asians ni wawekezaji wa hovyo sana, ni vile tu wengi wetu ni wazito kung'amua huu uhalisia!
 
Ngozi nyeusi ni takataka
Umedadavua hilo vipi? Takataka Babako, mamako, Mjomba wako, nyanya yako na familia yako yote. Koma kuwaita watu weusi takataka. Shenzi wahead

mkuu kulinganisha na China na India. India wapo juu sana kwenye shule za IT na Uhasibu kutuzidi.

Wahindi ndio watoa Rushwa moja hapa Tanzania-warudishwe makwao-na ndio maana nasema tungo'oke kwenye Jumuiya ya Madola ambayo ndio inayowapa hawa Wahindi Trade Advantage.

Jiridhie na Treaty ya Waingereza baada ya kushindwa kuwarudisha wahindi makwao baada ya kuwatumia kama watumwa wa kujenga reli zao Duniani.
China wanatoa elimu za kiubunifu kwa wanafunzi wa mashule yao tangia wakiwa na umri mdogo sana huwezi kulinganisha na afrika yetu hii iliyojaa roho mbaya, wizi, ushirikina na ujinga mwingine wa aina hiyo.
Wamasai wanafanya nini? Wakurya wanafanya nini? Kama sio kutoa elimu kwa vijana wao tangia wakiwa wadogo?
 
Badala ya Wachina wajenge viwanda ili ajira ziongezeke, wameweruhusiwa wajenge maduka
 
🙏🤝
 
Wazungu hatuwataki. Kwanza wabishi na wengi wana mkono mfupi. Wachina huwa wanatoa bakshishi na wahindi halafu hawatupangii siasa zetu.
Wachina na Wahindi wengi ni wabia wa ccm.
Yaani ukifuatilia vibali vyao lazima ukute jina la ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…