Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Ufanisi wa mapato tukiwepo sisi wenyewe ni stori tu za kina Padre Kitima na watu wa aina yake, ukarabati ulifanyika lakini teknolojia za kisasa sisi hatuna.Umeandika vitu visivyoeleweka. Dpw ni mmiliki wa mzigo unaotka drc, Burundi na Rwanda kivipi? Wanamiliki hiyo mizigo kivipi?
Pili hoja yako ilikua kwa sasa kuna ufanisi na ongezeko la mapato, wakati tupo sisi wenyewe kulikua hakuna ufanisi Wala ongezeko la mapato. Hapo ndio tulianza huu mjadala. Haya ya sgr, Mara drc, mara Rwanda yanakuja wapi?
Volumes zetu sisi wenyewe ni ndogo, pia elimu za utendaji kazi kwetu bado ni ndogo tuache tu hizi siasa.
Ni uwekezaji unaofanyika bandarini ni sawa na ukodishaji ule ule tunaofanya kwa majumba yetu. Mali ni yetu sisi baada ya muda mkataba unaisha tunaendelea kumiliki sisi.
DPW alisaini mkataba wa kwanza na Tshisekedi wa kununua mizigo kule DRC akasaini mkataba mwingine na Kagame ambao pia unahusisha ujenzi wa Depot kubwa kule Kigali mwishoni akasaini mkataba na Samia hapa Tz ambao unajumuisha matumizi ya bandari na biashara nzima ya uchukuzi wa mzigo kutoka DRC mpaka unapopanda meli kuelekea huko ughaibuni.