Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe.

Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe mu-cubya ili kwalo aje awe boss wa Sekretalieti. Na kwa ushirikiano wa Yeye na Mwenezi, wanaamini Chama kitapaa juu mawinguni kwa kuaminiwa tena na Wananchi.

VC hamtaki yule mlima nyanya! Na akaenda mbali zaidi, eti, yupo tayari akalee wajukuu kuliko kufanya kazi na vijana wenye viburi. Mlengo wa kulia wakamuuliza, vijana ama kijana? Na kama ni vijana, je, na yupi mwingine!? Jibu lake akaishia kuguna pekee!

"....wazee wangu na wana MCC wenzangu nimewasikia. Na acheni nami na wenzangu wanaonishauri mambo ya siasa, tukalipitie." Jibu la boss lady.

Nb: Mradi wa mama bado chaji inasoma 90%.
Boss lady asikurupuke, chonde Chonde, vijana wenye papara viburi ni shida, Yapo yanayohitaji hekima, na wakati mwingine kuishi kwingi kuona mengi, kuachia ngazi kwa chongolo isichukuliwe kirahisi rahisi, kuna tatizo kubwa!
BABU YENU, YANGU MACHO!
 
No yaliosemwa kwa code hapo ni muhim pia ukubal ukatae ndio yana endesha uchum wako. Mu cubya ni fit sana ila nae ni mtata ila very strategically acha siasa iendeshe
Mcuba namkubali sana. Wasiomjua wakawaulize Amina Mbowe na wenzie.
Ila aliempa KMK hii point anaona mbali sana
 
Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!

Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.

Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Kwani wewe kwenye huo uchawa wako unawaza nini cha maana cha kuleta maendeleo? Chawa akiwaza maendeleo wenye vichwa vizima watawaza nini sasa?
 
Duh! Sasa kama vyeo na madaraka siyo components za siasa, siasa ni nini sasa? We umekuwaje toka aje kijana Konda?
Toka aje DAB analialia tu humu

Hata swala la bandari limekufa kibidu

Ahaaaas
 
Huyu mama inawezekana alikuwa most underrated alafu ndio akaja kuangusha manguli na experience zao.

Kama naanza kuelewa moves zake! Midas touch!
Nakumbuka mwanzoni kabisa baada ya Magufuli kuondoka.

Kuna mtu akaniambia hii watu kuacha wafanye wanavyotaka ni mtego ambao utaondoka na wengi.
 
Nakumbuka mwanzoni kabisa baada ya Magufuli kuondoka.

Kuna mtu akaniambia hii watu kuacha wafanye wanavyotaka ni mtego ambao utaondoka na wengi.
Kadri siku zinavyosogea mama anazidi kupotea. Mark this word.
 
Back
Top Bottom