Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Sifa moja kubwa kama mwanaume ni kuficha emotions zako haiwezi umetokea msiba home we kama kichwa cha familia kupanga kutuliza akili inakuaje ndo uko mstari wa mbele kumwaga michozi
Huwezi ukalia unavyo propose binti hiyo inaonesha how weak unaenda kua kwenye ndoa yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli sio comedian at all
Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's not about mimi au cute Kuwa mwanaume hakukufanyi usiwe na hisia. Nyie wanaume mnaojificha ndio hufa siku si zenu mkiogopa kufanya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada unamoyo mwepesi wa kudanganywa.. wanauame tunaweza fanya chochote kukurishisha lakini sio kutoka moyoni.

Maigizo tuu hayo.. chozi linakauka dk.1, mwanaume akifikia kuwa na hisia za kulia ni shida.. 5 hrs bado chozi linashuka tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaaemekana wanaume wote waliopiga magoti wanaendeshwa na wake zao.. hawana sauti.. afadhali upige goti bila kulia.. unalia kabisa na mchozi..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…