Kwani kusudi la Mungu lilikuwa Binadamu tuishi jinsi tunavyoishi ss hv?
Laana ndiyo imetuweka katika hali hii baada ya kuasi dhambi pale Eden, so fungua akili yako ielewe kwanini uishi maisha yanayoandamwa na changamoto za kila aina kama ajali, magonjwa, njaa na vita na wakati huo amani ni janga la dunia nzima.
Mama yangu asili yake imetokana na huyo huyo Ever/Hawa, hivyo hakuondoi maana yoyote kuwa alilaaniwa sababu Binadamu sote tumetokana na asili ya dhambi baada ya Adamu na Ever kula tunda katika bustani ya Eden.
Mungu hajawahi kuwa mwongo, si mwongo na hatakuwa mwongo kamwe, na akisema kitu lazima kitimie kama alivyotamka neno tu na viumbe vyote vilifanyika/viliumbika.
Weka hisia pembeni, kubaliana na ukweli maana utakuweka huru.
Sent using
Jamii Forums mobile app