Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanamtosa sababu nasikia jamaa ni aina ya Wale Wanaume wenye viherehere. Wanaongea sana. Na Mwanaume unapaswa kuwa na Akiba ya Maneno. Sasa unaambiwa akiwa na Demu halafu akakutana na Marafiki wa huyo Demu ni yule Mwanaume asiyekuwa na Haiba. Anaongea anapitiliza. Aliwahi kudate na Rafiki yangu Mmoja hivi siwezi kumtaja hapa. Alimwacha kwa mambo yake hayohayo. Atofautishi Mahusiano na Comedy zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguwani tu hilo, kuigiza gani hadi katika mambo ya msingi kama hayo?Siamini kama kuna mwanaume boya kisi hicho,
Naamini alikua anaigiza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujakua kiakili, Baba zetu walikuwa makauzu kiasi gani lakini mbona wao ndiyo waliothubutu kudumu sana katika ndoa zao kuliko sisi kizazi cha ujinga wa kisasa?Wanaume wachache sana Wana uelewa mpana ka wako. Wa fikiria ukauzu ndo urijali
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHA HAHAAAA... PUNGUZA BASI NDUGU YANGU UNANIVUNJA SANA MBAVU ZANGU.Hyo kofia sasa, kama wapishi za meli ya wagiriki, mxiew hovyo na Msura wake kama andazi la shilole
Sent from my iPhone using JamiiForums
inasaidia nini?Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
Safi sana Mkuu, na usipokuwa nao makini wanakuona kama vile wote mko sawa.Not a sign of weakness perse ila ni sign ya stupidity.
Kupiga magoti na kulia maana yake nini? Stupid. Wanawake hua mnapenda kutetea ujinga.
MWILI, NAFSI NA ROHO VYOTE HUWA PA1 KUKAMILISHA UHAI ISIPOKUWA BINADAMU AKIFA TU NDIPO HIVYO VITU HUTENGANA.Nina mengi yakukushauri mkuu ila ngoja nikuache tuu.
Cha msingi usisahau, kumuabudu Mungu ni rohoni sio mwilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha haha hahaaaaaaa..... Wanaume wa Dar wanazidi kuongezeka kila kukicha[emoji23][emoji1787]Wanaume wote mnaosupport iyo kulia Lia na kupiga magoti et emotional nini nini sijui mbwa tu nyie mvae na pedi sasa tujue moja. Vipo vitu vya mwanaume kulia au kupig magoti lakini sio haya mambo yakisengerembwendembindembunya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo uliandika kama mtu anayefahamu maandiko ndomana nikaona nikukumbushe kidogo, ila kwa haya uliyoandika saiv Duuhh..!!MWILI, NAFSI NA ROHO VYOTE HUWA PA1 KUKAMILISHA UHAI ISIPOKUWA BINADAMU AKIFA TU NDIPO HIVYO VITU HUTENGANA.
N. B:
USIKUBALI HUO UJINGA WA KIPAGANI TOKA NCHI ZA MAGHARIBI.
NAKUHAKIKISHIA HUO UPUMBAVU SITAKUJA KUUFANYA KAMWE SABABU HATA TUKIWA TUNAKOJOA NI LAZIMA MWANAMKE ACHUCHUMAE/AINAME/AWE CHINI YANGU MWANAUME NA NI ISHARA TOSHA KUWA NI YUPI ALIYELAANIWA KWA KUAGIZWA ATAPASWA KUWA CHINI YA MWANAUME NA KUTAWALIWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app