Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Nilipoona hyo clip niliona aibu utazan mie ndo nimefanya hivo huyu mc katudhalilisha sana sisi wanaume napendekeza kwa wanaume halisi walio karibu na huyu bwana wafanye kila wawezalo wamchapie ili aipate fresh,mwanaume gan unali lia hadharani sisi kwetu mwanaume kuli hivo ni ishara ya kutokua na kifua cha kubeba mambo mazito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just so you know it is not a sign of weakness.
Ni sign ya weakness kubwa

Mc pilipili ameishusha hadhi ya kiume .

Upige goti halafu unalia pia why!!!?

Aisee wife atapiga yeye goti na nitampa hint kabisa

"Aisee utapiga goti wakati nakuvalisha Pete.."

Akikataa tutasimama kama minara wote wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha we noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzake wanaonyesha hisia kwa kutoa vizawadi vidogo vidogo kama range hivi yeye anatoa machozi. Pumbafu sana angekula kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…