Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Daah, kweli duniani kuna mambo, cha mtu chake au sio, ila kulia ni umama mwanaume hautakiwi kuonesha hisia za hivyo angekenua tu majino yake afu akifika room alieeeee hadi kero, ila duh mbele ya wanaume unajiliza wala sio manhood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli...na mwnamke akajaribu kuwa mstaarab akashuka chini........kweli kuna tatizo....kama tunafikiri hivi vitu ndio vinatufanya tuonekane "sweet"....tuna safari ndefu kama wanaume
 
Aibu ya kufungulia mwaka 2019 hii,wanaume wa kweli tunazidi kumalizika
 
Kumbe alkua na majamaa wengi huko chuo waliokula nae tunda!!MC amejitaftia matatzo ya kupokonya demu wa wana aisee yatakayo mkuta huko mbele atatoa pia ushuhuda kama yule member wetu humu aliempokonya jamaa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tumejijengea mwanaume hatakiwi kulia wakati wanaume wako sensitive and vulnerable Kama sisi tu,mie ningependa mwanaume wangu alie tena kwa yowe,yewoooomiiii
haha..sio kwamba tumejijengea, ndio hali halisi...huyo leo analia hivyo mnamsifia wakina mama, siku utampelekea tatizo akusolvie kama mwanamume au mme alafu atapiga hayo mayowe (kwasababu yupo emotional kama wewe kama ulivyodai hapo) alafu utakuja kufungua threadi humu! ohooo
 
Hivi kalia..au alikuwa anaigiza (comedian) ..ila sishangai alisema yeye ni mmoja ya wasanii wa3 wanaomilki BMW eti wana group la Whatsaap

Yaani kumiliki gari alikuja fanya show off kipindi cha clouds kwa kutaja idadi yao..sometimes sio acting tu..mtu aweza kuwa akili ina kasoro tukawa hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…