Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali


Huyo jamaa kachemka babu, Kaonesha ushamba utaliaje vile, haki nimeona aibu mm.
 
Huyo muuza kahawa wa dom bado mshamba sana na mkofia wake km shefu wa shishifood.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani sijui mtu akiwa Mpumbavu kiwango cha SGR huwa anaitwaje vile?

Kwa kweli imenihuzunisha kiasi natamani hata ningekuwa naye karibu nimkate makofi[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kakomaa mpaka uso una makunyanzi lakini kafanya mambo ya kitoto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…