Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mwanaume wa dar katika ubora wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwege kweli kweli hili. Hawa ndio wanao pandwa vichwani na wake zao.
Udhaifu No. 01, kaisha tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani siku Mkewe akimwomba kitu "Mme wangu naomba uninunulie Prado Land Cruiser" utashangaa ananunua hata kama hana uwezo yuko radhi akakope hela ambayo hatakuwa na uwezo nayo kulipa ilimradi tu amridhishe mkewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umtenge kwani amekuomba pesa ya kula?
wewe mwenyewe maisha yamekutenga jitafakari...

Unake izindaba zakho.
 
Hivi mkuu hujaona vizuri hiyo clip au unajitoa ufahamu, jamaa kapiga kwikwi kama zote, domo limejikunja uso umejikusanya unasema hajalia, yani pale angepigwa busu kabla hajavika pete angegalagala chini au angezimia kabisa we angalia vizuri usipotoshe uma, kaanza taratiibu kafinya finya macho, then domo likajikunja, then huku anasikitika haamini anachokiona mbele yake baadae fulu mafuriko we huoni au unakataa kuona makusudi, au ulilia mzee baba na ww ulivyoona hiyo video clip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wyf alipiga yeye!! Hahaha , eti akaniambia "piga magoti basi" , yani mbele ya wazazi wa pande zote mbili duh;;; nikamwambia "utapiga wewe, Fara wewe" 😁
Haahahahaaa nimecheka sana.
 
Mimi wyf alipiga yeye!! Hahaha , eti akaniambia "piga magoti basi" , yani mbele ya wazazi wa pande zote mbili duh;;; nikamwambia "utapiga wewe, Fara wewe" [emoji16]
We kiazi ndo umeamua kuja kunisengenya humu eee.....
 
Huyu Matonya Ndiyo Analia Kama Yupo Veyula Kanywa Pombe Ya Choya
Bado Safari Ni Ndefu Sana Watani Zangu Wagogo
 
Asante sana Chifu, nimeumizwa sana kwa jinsi UANAUME unavyopotokomea kwa kasi ya 4G sababu ya kuigaiga mambo yasiyo na ulazima wowote katika maisha yetu.

Hata hivyo nimeonya, nimeongoza, nimemuadabisha na kumfundisha kupitia mafungu katika Biblia kama tunavyofafanuliwa kupitia;

2TIMOTHEO 3:16-17.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby With Women
MC Pilipili
Yaani Hajui Lolote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umezidisha chumvi
 
MC Pilipili ni Comedian mkuu kwahiyo mchukulie hivyo hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…