interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kama ww ni Baba yake na huyo MC Pilipili sijui MC Tatutatu, ungefurahishwa na huo ujinga hadi nisipaniki?Mkuu mbona umepaniki ukweli ni kwamba nyie watu wa mikoani mnashida sana ndo maana mnafanya vitu vya ajabu ili muweze ku fit in
Samahani kama nimekukwaza lakini uongo ni dhambi huyo dogo katukosea sana Babu, Baba, Kaka, Wadogo wa kiume adabu.
Tena kama ni nyumbani kwetu ni lazima angekuja tukamlamba viboko vya kumfundisha heshima tena hadharani ili iwe fundisho kwa Wanaume wengine ambao wangeweza kushawishika kuigaiga huo upunguwani wake.
Sent using Jamii Forums mobile app