PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonekana jinsi gani hufai kuwa KIONGOZI katika jamii yoyote ile duniani maana kwa kuendekeza hisia zako kila siku utakuwa unatamani Wake za wafanyakazi wenzako, na watakutafuta kwa mapanga na marungu hadi wakutoe marinda, wakuasi na kukuua kwa kushindwa ku-control hisia zako.Hisia sahihi za mtu huwezi kuzijua, ni kitu kipo ndani yake. Hisia si za mapenzi tu, hisia zipo za namna nyingi... Amini hata mchumba wake atakuwa alimuuliza hapo baadae wakiwa faragha, wame-relax... "...tell me darling, what happened, le' me know why you criiied!!.." Jibu kwa swali hili laweza lisieleweke kirahisi, hivyo dawa yake ni 'kupiga kimya' tu. Mc Pilipili atakuwa zwazwa kama alilia 'mapenzi' tu kwa mchumba wake.
Lakini kama alikumbuka kwa mfano, kauli fulani aliyowahi kupewa na mamake kama wosia, ama kejeri iliyomkwaza kutoka mpezi wake wa zamani aliyemgharimia kisha akamtosa kwa dharau...au jambo jingine ambalo kimsingi analifahamu na kulielewa yeye mwenyewe, nitamuunga mkono. And it's healthy, by the way.
Wengi wetu tunapenda kuwa watoa hukumu kwa wenzetu, sioni kama ni sahihi.
Wakitibuana hata kidogo tu mke wake,mwanamke utasikia anamwambia wewe kuna utofauti gani na wanawake? Unalia lia hata mbele za wanawake. Kama ndio ujasiri wenyewe huo basi wanajeshi wangekuwa wanaweka bunduki chini analia saaaana baada ya mwenzie aliekuwa amezoeana nae sana kupigwa risasi na kuuliwa pembeni yake hapo.Kibinadamu mtu ambae anajaribu sana kuficha kile anachohisi ndani ya moyo wake hua anaonekana jasiri sana kwa watu, lakini ukweli ni kwamba huyo ndio mtu dhaifu zaidi kulikoni yule anaekubali kunyesha wazi hisia zake bila kujali mitazamo ya wengine kwa wakati huo.....mwanaume kulia au kua wazi kihisia katika jambo analopitia huo ni ujasiri wa hali ya juu na ndio uanamme wenyewe.....kujifanya mgumu while ndani kunaghafirika ni utoto haioneshi ukomavu wako kama binadamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu awe ni ndugu yangu akija kijijini anawekwa kikao lakini mwisho wa kikao lazima ale stik za kutoshaAiseee...sijui tutajibu nini mbele za Mungu kwa kujikataa kiuhalisia kwa tabia zetu tulizoumbwa na Mungu kwa kuigaiga utashi wa kike ili kujiona wajanja Kumbe ni wapumbavu watupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hii clip yake nimeshindwa kuirudia hadi najisikia aibu kuitazama tena,kafanya kitendo cha kilofa nahisi ana chembechembe za mwanaume wa Dar.
Eti mwanaume rijali unamvish pete mpenzi wako huku unajiliza huo ni udada,yaani ni balaa sitamani kijana mwingine aje afanye kitu kama hiki.
ILA LABDA HUENDA JAMAA KAMKUTA MWANAMKE NA BIKRA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MGOGO KADATA
Beautiful ones are not yet born
Yani huyo ni bwawa la mteraBIKRA? MSITUONE TU TUMO HUMU TUSHAKULA K NYINGI SANA. HATUPENDI TU KUTANGAZA. ANGEKUWA BIKRA MI NGEHARISHA MWAKA MZIMA.ASHALIWA SANA HUYO DEMU NA ATAENDELEWA KULIA MAANA DEMU HANA HISIA KABISA KWA JAMAA...SEMA BASI TU.
Mwisho wa siku ndio mtaishia kufua na kuosha vyombo kisa tu urijali wako uko palepale,Kuna watu wanatafsiri ulijali kwa tafsiri zakijinga sana.
Hivi uanaume wangu au ulijali wangu unaathirika vp kama me ntapiga goti moja kumvisha pete mchumba wangu?
Hawa ndo wale utawaskia wanajiita wagumu, na mara nyingi ni maisha ndo huwa yanawapa mentality hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh.....wanaume wa dar nyieee....haya mambo hayaaaaHili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.
Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.
Mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.
By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumbaView attachment 987138View attachment 987135
Mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili jioni ya leo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa Wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko (Tegeta) jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
warembo lazima msifie hili kwakua it works for your advantage, gives you a certain type of leverage against the other part....ingawa ni against the nature!
Kabisa I see,na mwenzie idrisa sijawahi kuwaelewa wanachekesha nini?Huyu Jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuchekesha. Ila siyo Mchekeshaji( Kila nikitazama Clip zake uwa naishia tu kusonya). Kwanza anaongea haraka. Anavyoongea havichekeshi. Tabu tupu. Leo anamvisha Mtu Pete anajiliza. Kiki za mjini hizi!!!Nimeamini hazipatikani kirahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukweli huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umezidisha chumvi
Huyo umemkamata akili na nguvu zote,huyo atakuwa ze..ze..t.. Na hapo sio mapenzi tena.Acha wivu mleta mada wewe ka hukulia ni ushamba wako. Mimi baby shamwambia kabisa apige goti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wasio piga magoti ni mazezeta in short mwanamke akiamua ku kumaliza anakumaliza tu either upige goti au lah!Huyo umemkamata akili na nguvu zote,huyo atakuwa ze..ze..t.. Na hapo sio mapenzi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app