chido rinka
Member
- May 22, 2017
- 26
- 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu asinifikishee hapoooNawe unaliaga?
Hisia sahihi za mtu huwezi kuzijua, ni kitu kipo ndani yake. Hisia si za mapenzi tu, hisia zipo za namna nyingi... Amini hata mchumba wake atakuwa alimuuliza hapo baadae wakiwa faragha, wame-relax... "...tell me darling, what happened, le' me know why you criiied!!.." Jibu kwa swali hili laweza lisieleweke kirahisi, hivyo dawa yake ni 'kupiga kimya' tu. Mc Pilipili atakuwa zwazwa kama alilia 'mapenzi' tu kwa mchumba wake.
Lakini kama alikumbuka kwa mfano, kauli fulani aliyowahi kupewa na mamake kama wosia, ama kejeri iliyomkwaza kutoka mpezi wake wa zamani aliyemgharimia kisha akamtosa kwa dharau...au jambo jingine ambalo kimsingi analifahamu na kulielewa yeye mwenyewe, nitamuunga mkono. And it's healthy, by the way.
Wengi wetu tunapenda kuwa watoa hukumu kwa wenzetu, sioni kama ni sahihi.
😂😂😂 Kama nakuona vile, Tena wewe unaonekana utagalagala chini kabisaMungu asinifikishee hapooo
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona vile, Tena wewe unaonekana utagalagala chini kabisa
😂😂😂😂 Msamaha wa nini?Niombeeee msamaha kwa niaba ya mizimu ya babu
BIG HAPANA AS IF SHE IS NOT DECENT WOMAN CHOSEN FROM GOD BLESSINGS TO HIS HUSBAND.Kuna wasio piga magoti ni mazezeta in short mwanamke akiamua ku kumaliza anakumaliza tu either upige goti au lah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunifikria kama naweza kulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msamaha wa nini?
Nililie mie bas..😂😂😂. ItapendezaKunifikria kama naweza kulia
Nililie mie bas..[emoji23][emoji23][emoji23]. Itapendeza
Aiseee...we jamaa huwa unaichangamsha sana akili yangu kwa kuniongezea afya kila kukicha tokana na vituko unavyolengesha ukweli ndani yake 100%[emoji1787]Not man enough???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kwamba bed anacheza makida tuu...
sasa huyo demu kafata hela kwa pilipili au??? maana hana hizo hela za maana jamaa piaa demu kama Mefosiwa mbona kuna watu wengi sana anaweza subiri apate anaempenda... Huyo jamaa why hataki kumuoaa????[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo za kulazimisha sio ndoaa ni GEREZAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maigizo Kama huyo mgogoMaigizo au ukweliii ?
BIG HAPANA AS IF SHE IS NOT DECENT WOMAN CHOSEN FROM GOD BLESSINGS TO HIS HUSBAND.
KUMBUKA KUNA TOFAUTI KUBWA MNO KATI YA MKE NA MWANAMKE KAMA:
MKE/WIFE MATERIAL:
hujua thamani ya Mumewe kwa hali na mali akimsitiri kwa namna yoyote ile kupitia UVUMILIVU maana UPENDO wa kweli;
HUWA MCHA MUNGU(HOFU YA MUNGU)
HUVUMILIA, HAUNA HUSUDA, HAUNA MAKUU(MALI NA MILKI ZA KIFAHARI KWA KUSHINDANA NA WATU KIMAONESHO).
HAUHESABU MABAYA(KUTOATOA KASORO KWA MAKOSA YALIYOPITA).
HUJENGA UAMINIFU, HUSITIRI MAPUNGUFU YOTE(HUFICHA MADHAIFU YA MUMEWE).
HUMPATIA USHAURI YAKINIFU MUMEWE KWA KUJENGA FAMILIA BORA.
MBUNIFU KWA MAARIFA MAZURI YA KUONGEZA KIPATO KATIKA NDOA(METHALI 31).
HUWAJIBIKA HASA KATIKA MATUNZO BORA YA WATOTO KWA KUWAKEMEA NA KUWAONYA KABLA YA KUWAKABIDHI KWA BABA YAO KWA STAHIKI ZA ADHABU ZA MAKOSA MBALI MBALI.
HUWA NA HESHIMA KWA MUMEWE/UTII.
MWANAMKE:
HUVUTIWA NA MUMEWE KWA TAMAA BALI SI UPENDO TOKA ROHONI KWA VITU KAMA;
MALI, UTAJIRI, FAHARI, UZURI WA UMBILE/HANDSOME BOY, ELIMU YA JUU, UMAARUFU.
HUFANYA KINYUME KABISA KWA JINSI MKE ANAVYOPASWA KUFANYA KITABIA AKIAMINI UZURI WAKE NDIYO KIGEZO HASA KUISHI NA MUMEWE WALA SIYO TABIA NJEMA.
Cariha namuonea huruma sana Mumeo kama huandiki jumbe zako hapa kuchangamsha tu jukwaa, basi Mumeo kaingia choo cha kike, Mungu amsaidie ili afanye maamuzi mengine mapema iwezekanavyo.
"Ni heri ukosee kujenga nyumba lakini siyo kukosea kuoa Mke sahihi katika maisha"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maigizo Kama huyo mgogo
Asante sana kutambua jinsi nilivyoumizwa, nadhani hata aliyetuumba anatushangaa jinsi gani tunavyousaliti UANAUME wetu.Mkuu umeongea kwa uchungu sana
Yaani sisi watu wa ajabu sana. Unaweza kuta huyu aliyeanzisha hii mada pia huwa analia na kupiga magoti akiwa faragha na mwenzi wake Ila hapa kwa vile yupo nyuma ya keyboard anajifanya yeye mgumu. Sasa tunamsema Pilipili kwa vile tumemuona vipi kuhusu sisi tusiyewahi kuonwa. Kulia si tatizo kwani kila mtu anareaction zake kwa kila jambo linalomtoke katika maisha hivyo unavyomuona pilipili boya pia wengine wanakuona boya
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh,ila mke ndo anapaswa kulia na kupiga goti coz kuolewa ni bahati na wala sio haki
Huyu Inavyoelekea hadi mzigo atapewa kwa ratiba maalum. Wanawake Walivyo wengi unampigia magoti na kumlilia wa nn. Kuowa sio bahati kwa mwanaume ni lazima Kw sababu ss ndio tunao hamua austahili kulia, Bali kuolewa ni bahati mwanamke ndio anastahili kulia. Ili Jamaa kenge Sana sijui Ana umri gani. Mm niliowa na 26yrs na sikufanya uhuu ujinga. Huyu u aweza kuta yupo early 30 bado anamambo ya kijinga. Acha aingie kwenye ndoa kama ataendelea kufanya uwo ujinga. Pimbi Sana huyu mshikaj
Such a cry baby.Huna lolote, hapa ss hv unasema tu lkn kwa uwongo kupitia maneno malaini ni asili yenu tangu Delilah amdanganye Samson mpaka alitekwa na Wafilisti na kutobolewa macho.
NB:
ACHA KUENDESHWA NA HISIA KWA KUTETEA KILA KITU, SISI WANAUME HATUKO HIVYO NA HUJUI JINSI GANI TUNAVYOUMIZWA NA HUO UPUMBAVU WA MC TAIRA.
UTAKE, USITAKE ACHA KUHALALISHA MAIGIZO YA MWONEKANO WA NNJE UGEUKE KUWA UHALISIA WA TABIA ZETU WANAUME TULIVYOUMBWA.
HUO NI UJINGA MKUBWA MNO, NI SAWA NA "MWANAUME KUTETEA HALI YA MAUMIVU APATAYO MWANAMKE WAKATI WA KUJIFUNGUA/KUZAA MTOTO" HAWEZIJUA HATA THELUTHI YA MAUMIVU YAKE KWA JINSI MWANAMKE ATAVYOKUWA ANAKABILIANA NAYO, NARUDIA TENA HAWEZIJUA HATA THELUTHI YA MAUMIVU YAKE KWA JINSI MWANAMKE ATAVYOKUWA ANAKABILIANA NAYO WAKATI WA KUJIFUNGUA/KUZAA KAMWE!
TUACHENI WANAUME TUMALIZE HASIRA ZETU HAPA KWA KUWEKA HISIA ZETU TOKA ROHONI KIMAUMIVU KWA UJINGA ALIOUFANYA MC PILIPILI.
Na ukimwona Mwanaume anafanya ujinga wa kupiga magoti wakati akimvalisha Mchumba wake pete huku akilia basi jua kabisa huyo Mwanaume atakuwa siyo riziki/ana vinasaba vya kike maana hatuko hivyo kamwe kwa 100%√
Sent using Jamii Forums mobile app