Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ati it's a dream come true!! SMFH.. Hapo hata wakiwa ndani ya ndoa jamaa lazima atawaliwe amesha onesha he is weak mbele ya huyo mwanamke.. Ingekuwa kwetu vijijini mwanaume u nampigia goti mwanamke alafu unalia.. Ni viboko kwenda mbele..

Mwanamke ambaye niliwahi mkunjia goti na kulia ni mama yangu tu.. Enzi hizo za utoto.. Hata shule ya msingi nilikuwa nunda sipigi goti

Sent using Jamii Forums mobile app

😁😁😁😁😁😁 njiwa bana
 
Huyu Inavyoelekea hadi mzigo atapewa kwa ratiba maalum. Wanawake Walivyo wengi unampigia magoti na kumlilia wa nn. Kuowa sio bahati kwa mwanaume ni lazima Kw sababu ss ndio tunao hamua austahili kulia, Bali kuolewa ni bahati mwanamke ndio anastahili kulia. Ili Jamaa kenge Sana sijui Ana umri gani. Mm niliowa na 26yrs na sikufanya uhuu ujinga. Huyu u aweza kuta yupo early 30 bado anamambo ya kijinga. Acha aingie kwenye ndoa kama ataendelea kufanya uwo ujinga. Pimbi Sana huyu mshikaj

Sent using Jamii Forums mobile app

Early 30 wapi jamaa anakimbiza 40 ujinga tu. Na huyo mwanamke akisoma huu uzi nadhani hata huo uchumba utavunjika 😂😂😂
 
Tofauti ya mwanamke na mwanaume ni papuchi na gegedo basi hayo mengine ni sawa kabisa no difference. Sote ni binadamu tulio sawa.
Hafu mie mcha Mungu mzuri tu sana pia huo mda wa nyie kudekezwa sijui mke mwema mjinyooshe ka wafalme sina ndoa hujengwa na wawili inashangaza Baba hufatilii wanao hata ku bond siku moja ukimwachia mwanamke huo uzembe.

Kwa taarifa yako mpenzi wangu ananipenda sana tu kanikubali nilivo na ananijua hulka yangu na kanikubali maana kila mtu na mapungufu yako tena na wanaume watano wameni propose engagement sema namkubali mmoja zaidi ndo anajielewa. My hubby will be like a king I am a strong woman and I will protect my territory by any means. No intruders will be allowed.

Cariha mie I'm so cool hujaka nami tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini unabariki ujinga kama huu wa MC Pilipili?

Ebu acha kupotosha Wanawake wenzio basi, sisi ndiyo Wanaume na huwa tunajielewa jinsi tulivyoumbwa kitabia tofauti na ww KE.

Nakuhakikishia ukweli mbele za Mungu huyo unayemtetea kafanya ujinga wa lami kabisa.

Kama unaishi na Mumeo kwa misingi kama hii ya MC Pilipili, basi Mumeo naye si riziki kabisa maana machozi hayadhihirishi kuwa mtu anakupenda kwa 100%

Wanaume hatuko hivyo Dada na hata kama Mwanao atakuwa hivyo wa kiume, wahisha haraka kwa wanasaikolojia au wamchunguze ili wamtibu mapema kabla hajaharibika kwa kutokuwa riziki/ana vinasaba vya kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima atakuwa na umama fulani ivi si bure..

Wakati namvisha mke wangu Pete siyo kwamba alipiga goti tu bali alikuja kwa magoti mpaka nilipo ndo nikamvalisha..

Yaani Pete ninunue, nikupendezeshe na bado nipige na magoti? Hainiingii akilini hii..
Huyu atakuwa bado ana mapenzi ya kishule Shule..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tabia zinajulikana kabisa ni za kike na hakuna marlezo yoyote ya kuyatoa kukanusha pindi mtu anapokua na tabia hizo:
1. Kuongea sana kama chiriku ni tabia ya kike!
2. Umbea umbea ni tabia ya kike
3. Kulia lia hadharani bila sababu ni tabia ya kike
4. Kuchekacheka ni tabia ya kike
5. Kujiremba remba ni tabia ya kike
6. Nyodo, madoido, kunata ni tabia za kike

Na nyingine zinazofanana na hizo. Hata mzazi ukiona mtoto wako wa kiume ana tabia hizo uwe makini sana...
 
Mkuu umetembea mule mule kwa hivi viumbe tulivyoambiwa tuishi navyo kwa akili.

Big up sana kuwa muelewa wa uhalisia wa UANAUME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't be quick to judge. You never know.

Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.

Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.

Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
Kivyovyote vile siwezi pigia magoti demu. Isipokuwa MAMA ANGU tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't be quick to judge. You never know.

Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.

Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.

Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
mambo ya kidhungu, always very touching... ebu badilisha ayo maneno yawe ya kiswahili trust me hayatakuw na maana yeyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchekeshaji huyo hata hapo alikuwa akichekesha tu

.
 
Hata awe mzuri malaika,ni chenga kufanya alichofanya huyo mwenzenu wa dar. Mwanamke amebaki nayo amebaki nayo moyoni tu. Ila amenote jambo la kumsaidia yeye ktk hiyo ndoa. Ksbb tayari kashajua udhaifu wa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeoa bomu hata kama hukulipigia magoti litakulipukia tu.
 
Tofauti ya mwanamke na mwanaume ni papuchi na gegedo basi hayo mengine ni sawa kabisa no difference. Sote ni binadamu tulio sawa.
Hafu mie mcha Mungu mzuri tu sana pia huo mda wa nyie kudekezwa sijui mke mwema mjinyooshe ka wafalme sina ndoa hujengwa na wawili inashangaza Baba hufatilii wanao hata ku bond siku moja ukimwachia mwanamke huo uzembe.

Kwa taarifa yako mpenzi wangu ananipenda sana tu kanikubali nilivo na ananijua hulka yangu na kanikubali maana kila mtu na mapungufu yako tena na wanaume watano wameni propose engagement sema namkubali mmoja zaidi ndo anajielewa. My hubby will be like a king I am a strong woman and I will protect my territory by any means. No intruders will be allowed.

Cariha mie I'm so cool hujaka nami tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Wewe ni mcha Mungu mzuri" ila kulingana na maneno yako i wonder mlifundishwa nini during ur friday/saturday/sunday schools.. Role za mwanamke na mwanaume katika dini ziko tofauti kabisa hivyo men an wemen can never be the same...
Acheni kuiga mauzungu[emoji23] [emoji23] kwanza kwa africa wanawake ndio wanatakiwa wagalegale kabisa kwa furaha wakivishwa pete.. In africa wanawake ndio hufosi marriage ila ulaya wanaume ndio hufosi marriage... (bisha nikubishie)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini unabariki ujinga kama huu wa MC Pilipili?

Ebu acha kupotosha Wanawake wenzio basi, sisi ndiyo Wanaume na huwa tunajielewa jinsi tulivyoumbwa kitabia tofauti na ww KE.

Nakuhakikishia ukweli mbele za Mungu huyo unayemtetea kafanya ujinga wa lami kabisa.

Kama unaishi na Mumeo kwa misingi kama hii ya MC Pilipili, basi Mumeo naye si riziki kabisa maana machozi hayadhihirishi kuwa mtu anakupenda kwa 100%

Wanaume hatuko hivyo Dada na hata kama Mwanao atakuwa hivyo wa kiume, wahisha haraka kwa wanasaikolojia au wamchunguze ili wamtibu mapema kabla hajaharibika kwa kutokuwa riziki/ana vinasaba vya kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mie sijapoyosha mtu hapa Mc pilipili kafanya jambo sahihi kuonyesha hisia zake na hajawa mnafiki real man ndo anavotakiwa usipomlilia mkeo anayekuvulia na kulala uchi utamlilia nani.

Hafu Kuwa mwanaume hakukupi class ya uelewa ka mjinga unakuwa tu mjinga kukwepa kuonyesha hisia nakuwa bandidu huo sio uanaume ni udhaifu ka udhaifu mwingine.

Society yako imeku shape kuona mwanamke sio wa kupendwa na kuheshimwa ndo mana unaona Mc kafanya kitu hovyo kumbe was right kabisa.

Mie mwanangu nitamlea kwa misingi ya utu na ubinadamu tena aheshimu mwanamke ka chombo cha thamani sio nyie mnaamini kumdharau mwanamke ndo uanaume huo.

Mie mpenzi wangu muelewa ananiheshimu na mheshimu mno na ananisikiliza licha ya kunizidi kila kitu kuanzia elimu umri had dhambi lakini husikiliza hisia zangu nami humpa ushauri mpaka ananishangaa tena ananipenda kuliko maelezo. Huyo ndo mwanaume kamili ninaye mpenda.

Sasa nyie bakini na mila potovu zenu za kutokuheshimu wanawake eti si urijali aaargh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi swala la role za mahusiano nyie wanaume hukimbilia Mungu ka kichaka cha kutafta justification zenu za hovyo sijui mwanamke sijui nini kah hamna hoja nyingine ya kujitetea

Wanawake tujigalagaze chini Ili Iweje kwani tunajioa wenyewe. Nyie si huleta vimbele front vyenu
"Wewe ni mcha Mungu mzuri" ila kulingana na maneno yako i wonder mlifundishwa nini during ur friday/saturday/sunday schools.. Role za mwanamke na mwanaume katika dini ziko tofauti kabisa hivyo men an wemen can never be the same...
Acheni kuiga mauzungu[emoji23] [emoji23] kwanza kwa africa wanawake ndio wanatakiwa wagalegale kabisa kwa furaha wakivishwa pete.. In africa wanawake ndio hufosi marriage ila ulaya wanaume ndio hufosi marriage... (bisha nikubishie)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't be quick to judge. You never know.

Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.

Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.

Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
Una akili sana utakuwa umerithi hizo akili kwa mamako ,IPO vizuri sana kixhwani Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom