Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Hivi swala la role za mahusiano nyie wanaume hukimbilia Mungu ka kichaka cha kutafta justification zenu za hovyo sijui mwanamke sijui nini kah hamna hoja nyingine ya kujitetea

Wanawake tujigalagaze chini Ili Iweje kwani tunajioa wenyewe. Nyie si huleta vimbele front vyenu

Sent using Jamii Forums mobile app
nimetumia Mungu maana niliona ndiko uliko elekea, ili twende sambamba zaidi pia nikaelekea huko....

just be honest,! katika mahusiano ni upande gani unafikiria (sio kufikiria tu na kutamani pia) ndoa since day 1???
Yani the same person nliye mwambia "mambo" akanijibu "unampango gani na mm" nimvishe pete kwa kupiga magoti na kilio kukuu af yeye akiwa kasimama wima kama statue[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wafrica tunaiga kila ki2 paka emotions[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wanaume wa kitanzania imewauma sana alichofanya huyo kaka? kamlilia mpenzi wake kulingana na waliyopitia haamini kama leo wamefikia hiyo stage sasa shida iko wapi akimwaga machozi na kupiga magoti?
Hahaha kweli mfumo dume hauwezi kuisha kwenye jamii za kiafrika,

Nawasikitikia sana dada zangu.
 
Amefanya umama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
After having no crucial ideas to argue what kind of truthful penetrated inside your head.

NB:

I will always stand for the truth even if the all people over the world separate me I don't dare hence transparency makes me feel free at any place.

Sent using Jamii Forums mobile app

And I solemnly swear you are such a cry baby na kugaragara juu.
 
Mc Pili Pili sie wengine tumekuelewa,tukio lilikua overwhelming kwako, na kulia ni natural,wewe pekee ndio unayejua how you felt that day,mbona wadada wengine siku ya harusi wanalia wakati ni jambo la furaha ?
 
Hi Five Girlie.
 
haha..sio kwamba tumejijengea, ndio hali halisi...huyo leo analia hivyo mnamsifia wakina mama, siku utampelekea tatizo akusolvie kama mwanamume au mme alafu atapiga hayo mayowe (kwasababu yupo emotional kama wewe kama ulivyodai hapo) alafu utakuja kufungua threadi humu! ohooo

watu wanalia kama wana furaha sana au wana huzuni sana,huu mfano wako wa kumpelekea kitu asolve hauingii hapo namaanisha hauna uhalisia
 
Back
Top Bottom