Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
kumbe unaliaga eeh?? kama unavyolilia papuchi huko ndani yeye analilia penzi lake kuvuka steji,nashukuru umeonyesha wanaume nao hulia..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mimi huwa siwazi ndoa kabisa zaidi ya wanaume kuanza Hilo swala pia kupiga goti huja tu automatic mzee ukiwaona wakenimetumia Mungu maana niliona ndiko uliko elekea, ili twende sambamba zaidi pia nikaelekea huko....
just be honest,! katika mahusiano ni upande gani unafikiria (sio kufikiria tu na kutamani pia) ndoa since day 1???
Yani the same person nliye mwambia "mambo" akanijibu "unampango gani na mm" nimvishe pete kwa kupiga magoti na kilio kukuu af yeye akiwa kasimama wima kama statue[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wafrica tunaiga kila ki2 paka emotions[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mc Pili Pili sie wengine tumekuelewa,tukio lilikua overwhelming kwako, na kulia ni natural,wewe pekee ndio unayejua how you felt that day,mbona wadada wengine siku ya harusi wanalia wakati ni jambo la furaha ?
Niamini mimi!! bongo hii bila kuwa na nia na kuonyesha kuwa unahitaji kuolewa, hutakuwa unaona tu wenzio TBC kipindi cha chereko-chereko saa 1900hrs jpili[emoji23] [emoji23] ...Mfano mimi huwa siwazi ndoa kabisa zaidi ya wanaume kuanza Hilo swala pia kupiga goti huja tu automatic mzee ukiwaona wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen barikiwa mpendwaAsante Mkuu.
Tuendelee kuwapa suppurt waume zetu, hao ndo viongozi wetu na watoto wetu.
We kiazi ndo umeamua kuja kunisengenya humu eee.....
Chai hii...
Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
Bestman kauzu anamaindi hata ukisweti, anakupa mda maalumu wa kucheka na mda maalumu wa kunywa kakinywaji mdogo mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣Ile ya kucheza ilibidi niwe mpole tu, maana Hawa ma mC wetu naona ndo wameleta hiyo fasheni.
We kwani ni mwanaume?Wengi sababu hatujuani kwa sura humu, lakin asilimia kubwa wanaume mnalia na magoti mmepiga,
Kulia sio jambo baya, wala sio dhambi. Kila mtu ana moyo wake wa kubeba jambo.
Wewe kama mgumu waache walio na moyo mepesi walie
Kinachopelekea wanaume kufa mapema ni kuficha hisia na kuto kuongea hii inafanya wafe mapema saana kuliko maelezo.
Kila mtu afanye kitu sahihi anacho kiona kwa wakati wake, tusipende kuwafanya watu wafanane na wewe .
Hata mapacha hawafanani
Kama ni heshima utapewa tu, shida ni usimame ktk nafasi yako kama mume,
Hata ukiwa kauzu kias gani kama mtu hana adabu hana tu. Na hata ulie vipi kama mtu hana adabu hana tu. Usilamizishe fulani awe na tabia kama zako.hili jambo halipoo
Binadamu hatufanani
Bestman kauzu anamaindi hata ukisweti, anakupa mda maalumu wa kucheka na mda maalumu wa kunywa kakinywaji mdogo mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent using Jamii Forums mobile app
And I solemnly swear you are such a cry baby na kugaragara juu.
Wewe mie sijapoyosha mtu hapa Mc pilipili kafanya jambo sahihi kuonyesha hisia zake na hajawa mnafiki real man ndo anavotakiwa usipomlilia mkeo anayekuvulia na kulala uchi utamlilia nani.
Hafu Kuwa mwanaume hakukupi class ya uelewa ka mjinga unakuwa tu mjinga kukwepa kuonyesha hisia nakuwa bandidu huo sio uanaume ni udhaifu ka udhaifu mwingine.
Society yako imeku shape kuona mwanamke sio wa kupendwa na kuheshimwa ndo mana unaona Mc kafanya kitu hovyo kumbe was right kabisa.
Mie mwanangu nitamlea kwa misingi ya utu na ubinadamu tena aheshimu mwanamke ka chombo cha thamani sio nyie mnaamini kumdharau mwanamke ndo uanaume huo.
Mie mpenzi wangu muelewa ananiheshimu na mheshimu mno na ananisikiliza licha ya kunizidi kila kitu kuanzia elimu umri had dhambi lakini husikiliza hisia zangu nami humpa ushauri mpaka ananishangaa tena ananipenda kuliko maelezo. Huyo ndo mwanaume kamili ninaye mpenda.
Sasa nyie bakini na mila potovu zenu za kutokuheshimu wanawake eti si urijali aaargh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu sana huu Kaka."Wewe ni mcha Mungu mzuri" ila kulingana na maneno yako i wonder mlifundishwa nini during ur friday/saturday/sunday schools.. Role za mwanamke na mwanaume katika dini ziko tofauti kabisa hivyo men an wemen can never be the same...
Acheni kuiga mauzungu[emoji23] [emoji23] kwanza kwa africa wanawake ndio wanatakiwa wagalegale kabisa kwa furaha wakivishwa pete.. In africa wanawake ndio hufosi marriage ila ulaya wanaume ndio hufosi marriage... (bisha nikubishie)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai umeiweka humu, picha utume kwangu..!!! WHERE AND WHERE? Tuma humu humu ulimouzia chai... AhahahahhahahaaaWeka namba nikutumie picha mkuu
Baba umetiririka aisee...hapo kwenye man enough unamaanisha nini?MC pilipili ni jamaa yangu wa karibu sana.namfahamu huyo bint na jamaa zake wawili. Pilipili ameforce sana kumuoa huyo dada. Mwanamke ana jamaa yake anayempenda sana sema jamaa hayupo tayari kumwoa.ila mpaka one week ago demu alikuwa anawasiliana na jamaa kuwa yeye anampenda.jamaa hataki kumwoa demu.
Pilipili ame force sana kwa ahadi nyingi lakini demu hana hisia naye na jamaa anapenda sana show off nadhan sababu hajiamini.mademu hawadumu naye ana udhaifu mkubwa. Wengi wanalalamika he isnt a man enough. Kwanza hawezi kutatua changamoto kama baba yaani kuwaza kiume.na hii imesabbisha mara nying awe ni mtu wa mipasho na maneno kwa wana wake.
Ni mtu ambaye usimpelekee issue ukitegemea yeye mwanaume mtashirikiana kusolve ataenda kuizungumza kwenye radio au atawaambia washkaji