Alex Dennie
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 112
- 44
Dooo yaaani mkuu hapa nimecheka mpaka watu wananishangaa kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
Sent using Jamii Forums mobile app