Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oouh..sawa sawa.Walikuwa wanamtosa sababu nasikia jamaa ni aina ya Wale Wanaume wenye viherehere. Wanaongea sana. Na Mwanaume unapaswa kuwa na Akiba ya Maneno. Sasa unaambiwa akiwa na Demu halafu akakutana na Marafiki wa huyo Demu ni yule Mwanaume asiyekuwa na Haiba. Anaongea anapitiliza. Aliwahi kudate na Rafiki yangu Mmoja hivi siwezi kumtaja hapa. Alimwacha kwa mambo yake hayohayo. Atofautishi Mahusiano na Comedy zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha baba la babaHivi mkuu hujaona vizuri hiyo clip au unajitoa ufahamu, jamaa kapiga kwikwi kama zote, domo limejikunja uso umejikusanya unasema hajalia, yani pale angepigwa busu kabla hajavika pete angegalagala chini au angezimia kabisa we angalia vizuri usipotoshe uma, kaanza taratiibu kafinya finya macho, then domo likajikunja, then huku anasikitika haamini anachokiona mbele yake baadae fulu mafuriko we huoni au unakataa kuona makusudi, au ulilia mzee baba na ww ulivyoona hiyo video clip
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana jinsi gani hufai kuwa KIONGOZI katika jamii yoyote ile duniani maana kwa kuendekeza hisia zako kila siku utakuwa unatamani Wake za wafanyakazi wenzako, na watakutafuta kwa mapanga na marungu hadi wakutoe marinda, wakuasi na kukuua kwa kushindwa ku-control hisia zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rebeca83, hakunaga kitu kama hicho. Ni muigo wa kipuuzi kweli kweli ni udhaifu upuuzihii thread itawafanya waliotaka kupiga magoti wawavishe pete wachumba wao wasifanye hivyo kwa kuhofia kuonekana 'dhaifu'...jamani kupiga magoti na kulia ni expression how you feel...kusema kweli anayeliliwa hujisikia vizuri na yule anayelia anajiskia vizuri kumuonyesha jinsi anavyompenda na jinsi hafichi hisia zake juu yake…kwa kimombo ni 'affection'..kwa kweli ni gesture tu..UANAUME WA MC PILI PILI ANAYEJUA NI HUYO MCHUMBA WAKE..msimpake kaka wa watu matope mpaka aanze yeye na mkewe mtarajiwa kujishtukia...MC POLE POLE KAMA UNAISOMA HII TOPIC JUA ULICHOFANYA NI PERFECT NORMAL...
Rebeca83, hakunaga kitu kama hicho. Ni muigo wa kipuuzi kweli kweli ni udhaifu upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaUME walokwisha fanyaga huo ukuda hivo watuambie ninini kiliwasukuma, sikuhizi naona wana wanalia michozi na kupiga goti kama sio magoti. Utamaduni mpya huu au uzuzu?Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.
Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.
Mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.
By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumbaView attachment 987138View attachment 987135
Mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili jioni ya leo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa Wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko (Tegeta) jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
Ukiwa una maana ganiHahahaha hahaha.
Huyu mdada anasura ya kuvunja vitu...sijui nimemwona tu mimi.
Mnisamehe wanawake.
Yani halafu akishalia, uanze kumuona dhaifu na kumdharau!Tatizo tumejijengea mwanaume hatakiwi kulia wakati wanaume wako sensitive and vulnerable Kama sisi tu,mie ningependa mwanaume wangu alie tena kwa yowe,yewoooomiiii
Janja janja saana.... ana sura na mdomo ambao haushindwi kumezea viaibu.
HahahLabda ka anaigiza lakini kama ni machozi ya kweli na goti kutoka moyoni siku ikitokea akaachwa atatoa ya damu.
Yani halafu akishalia, uanze kumuona dhaifu na kumdharau!
Ngoja nailetaJanja janja saana.... ana sura na mdomo ambao haushindwi kumezea viaibu.
-Naweza kutafsiri tabia kwa sura. Rusha yako nikupe zako.
Mbona mnamlaumu bure? Mnajua kwenye ndoa yao nani MUME?
Simtaki nitamgawa buree asubuhi na mapema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa jinsia yenu sawa, ila na wewe kama akili yako timamu upate mwanaume wa hivyo analia mbele ya kadamnasi basi jihesabu umepata msagaji mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati ninakuwa na huzuni, ila ni aghalabu kuonesha hisia zangu dhahiri, nikizidiwa ntalia nikiwa alone. Males must be nurtured to be strong otherwise tutakuza vizazi vya akina MC Pilipili ambao wataingia kwenye ndoa huku wakiwa hawawezi kusimama imara. Inatokea changamoto, mke analia baba anashindwa ku take charge nae anaungana na mkewe kulia. Ulishawahi kumuona baba yako anajiliza mbele za watu!tuna mitazamo inayokinzana,siwezi kumuona mwanaume anayelia ni dhaifu,na siwezi kumdharau,sikushangai lakini kama umekuzwa ukiaminishwa mtoto wa kiume halii..utaendelea kuwa mkubwa ukiamini hivyo hivyo...