Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Huyo dem watu wamejilia sana pale st joseph
Anyways mapenz ni moyo
 
l
Huyu jamaa hii clip yake nimeshindwa kuirudia hadi najisikia aibu kuitazama tena,kafanya kitendo cha kilofa nahisi ana chembechembe za mwanaume wa Dar.

Eti mwanaume rijali unamvish pete mpenzi wako huku unajiliza huo ni udada,yaani ni balaa sitamani kijana mwingine aje afanye kitu kama hiki.

ILA LABDA HUENDA JAMAA KAMKUTA MWANAMKE NA BIKRA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MGOGO KADATA

Beautiful ones are not yet born
labda haamini kama kampata mrembo yule,maana siyo kawaida
 
Nmeona hii Video nkashangaa sana. Huyu kijana mvulana analia kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake? Ametokea mkoa gani fala huyu? Mwishowe sisi wanaume wa mjini tunaonekana nasi ni mauza uza kama huyu fala.

Mwanaume huwezi lia hivi... Unalia kwa kwikwi mpaka mwanamke anakubembeleza? Sisi miaka yetu huyu angetengwa na jamii.mwanaume ilikuwa ni aibu kulia hadharani.

Unaliaje mbele mtu ambaye atakuwa mkeo na watu wapo? Unalia kwa kwikwi hivi kama huamini?mi nlizoea kuona wanawake wanalia hivi si wanaume.huyu jamaa ana tabia za kishoga bila shaka.
Kuna mawili anaact mbili Madawa yanafanya kazii.
 
Sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la wavulana,kwa hiyo huyu nae ni katika kundi hilo.
 
Wacha tu alie maana alipokonywa demu wake wa mwisho kabla ya huyo na msela wangu[emoji1][emoji1][emoji1]ustaa uliwekwa pembeni, ila yule demu wa kimbulu alimtesa sana MC...

Hongera sana bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uwe mwanaume wa Dar unatakiwa kuwa na sifa zipi?
-Uwe umezaliwa dar?
-Makabila ya Dar yan uwe mzaramo? Maana hawa ndio wenye dar wenyew wengine wahamiaji.
-Au umeishi dar kwa takribani miaka 5 na kuendelea?

Hebu mtujuze hapo.
-




Sent using Jamii Forums mobile app
Yoyote ambaye shughuri zake iwe za biashara au kikazi zipo dar na ameishi dar kuanzia miaka mi2 tayari unakuwa ume-adapt tabia za dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom