Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Huyo dem watu wamejilia sana pale st joseph
Anyways mapenz ni moyo
 
Jaman ubungo inatoa magar 500-700 yanayoenda mikoan kila siku.tusimlaum sana huyo jamaa mana maboya wanaingia na kutoka kila leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
l
labda haamini kama kampata mrembo yule,maana siyo kawaida
 
Kuna mawili anaact mbili Madawa yanafanya kazii.
 
Sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la wavulana,kwa hiyo huyu nae ni katika kundi hilo.
 
Wacha tu alie maana alipokonywa demu wake wa mwisho kabla ya huyo na msela wangu[emoji1][emoji1][emoji1]ustaa uliwekwa pembeni, ila yule demu wa kimbulu alimtesa sana MC...

Hongera sana bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoyote ambaye shughuri zake iwe za biashara au kikazi zipo dar na ameishi dar kuanzia miaka mi2 tayari unakuwa ume-adapt tabia za dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…