Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Kibinadamu mtu ambae anajaribu sana kuficha kile anachohisi ndani ya moyo wake hua anaonekana jasiri sana kwa watu, lakini ukweli ni kwamba huyo ndio mtu dhaifu zaidi kulikoni yule anaekubali kunyesha wazi hisia zake bila kujali mitazamo ya wengine kwa wakati huo.....mwanaume kulia au kua wazi kihisia katika jambo analopitia huo ni ujasiri wa hali ya juu na ndio uanamme wenyewe.....kujifanya mgumu while ndani kunaghafirika ni utoto haioneshi ukomavu wako kama binadamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana jinsi gani hufai kuwa KIONGOZI katika jamii yoyote ile duniani maana kwa kuendekeza hisia zako kila siku utakuwa unatamani Wake za wafanyakazi wenzako, na watakutafuta kwa mapanga na marungu hadi wakutoe marinda, wakuasi na kukuua kwa kushindwa ku-control hisia zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitibuana hata kidogo tu mke wake,mwanamke utasikia anamwambia wewe kuna utofauti gani na wanawake? Unalia lia hata mbele za wanawake. Kama ndio ujasiri wenyewe huo basi wanajeshi wangekuwa wanaweka bunduki chini analia saaaana baada ya mwenzie aliekuwa amezoeana nae sana kupigwa risasi na kuuliwa pembeni yake hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A Man who crying i front of her Women what kind of Man is that???He is the weak like 7 day or like brick and less....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIKRA? MSITUONE TU TUMO HUMU TUSHAKULA K NYINGI SANA. HATUPENDI TU KUTANGAZA. ANGEKUWA BIKRA MI NGEHARISHA MWAKA MZIMA.ASHALIWA SANA HUYO DEMU NA ATAENDELEWA KULIA MAANA DEMU HANA HISIA KABISA KWA JAMAA...SEMA BASI TU.

 
Mwisho wa siku ndio mtaishia kufua na kuosha vyombo kisa tu urijali wako uko palepale,
Jitambue ndugu, uanaume ni zaidi ya ujuavyo wewe hata vitabu vya dini vinatabanaisha hilo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh.....wanaume wa dar nyieee....haya mambo hayaaaa
 
warembo lazima msifie hili kwakua it works for your advantage, gives you a certain type of leverage against the other part....ingawa ni against the nature!

Why would a man's tears make me feel like am in control of him?

I would let him shed his tears because he is winning over some battle in his heart I may never get to know about.

Then I would lift up my King, dust his knees and let him lead us into the journey we are just beginning.

His bitter past got buried together with the tears he shed, when they touched the ground.
 
Kabisa I see,na mwenzie idrisa sijawahi kuwaelewa wanachekesha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MC pilipili ni jamaa yangu wa karibu sana.namfahamu huyo bint na jamaa zake wawili. Pilipili ameforce sana kumuoa huyo dada. Mwanamke ana jamaa yake anayempenda sana sema jamaa hayupo tayari kumwoa.ila mpaka one week ago demu alikuwa anawasiliana na jamaa kuwa yeye anampenda.jamaa hataki kumwoa demu.

Pilipili ame force sana kwa ahadi nyingi lakini demu hana hisia naye na jamaa anapenda sana show off nadhan sababu hajiamini.mademu hawadumu naye ana udhaifu mkubwa. Wengi wanalalamika he isnt a man enough. Kwanza hawezi kutatua changamoto kama baba yaani kuwaza kiume.na hii imesabbisha mara nying awe ni mtu wa mipasho na maneno kwa wana wake.

Ni mtu ambaye usimpelekee issue ukitegemea yeye mwanaume mtashirikiana kusolve ataenda kuizungumza kwenye radio au atawaambia washkaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…