Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali


Kulia kupo lkn si kwa maigizo yale, ningekuwa simfahamu mcpilipili na Kiki zake za kitoto may be ningejudge tofauti. Kwa situation kama hiyo the guy is not real at all. Huu ni mtazamo wangu..
 
Niombeeee msamaha kwa niaba ya mizimu ya babu
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona vile, Tena wewe unaonekana utagalagala chini kabisa
 
Kuna wasio piga magoti ni mazezeta in short mwanamke akiamua ku kumaliza anakumaliza tu either upige goti au lah!

Sent using Jamii Forums mobile app
BIG HAPANA AS IF SHE IS NOT DECENT WOMAN CHOSEN FROM GOD BLESSINGS TO HIS HUSBAND.

KUMBUKA KUNA TOFAUTI KUBWA MNO KATI YA MKE NA MWANAMKE KAMA:

MKE/WIFE MATERIAL:

hujua thamani ya Mumewe kwa hali na mali akimsitiri kwa namna yoyote ile kupitia UVUMILIVU maana UPENDO wa kweli;

HUWA MCHA MUNGU(HOFU YA MUNGU)

HUVUMILIA, HAUNA HUSUDA, HAUNA MAKUU(MALI NA MILKI ZA KIFAHARI KWA KUSHINDANA NA WATU KIMAONESHO).

HAUHESABU MABAYA(KUTOATOA KASORO KWA MAKOSA YALIYOPITA).

HUJENGA UAMINIFU, HUSITIRI MAPUNGUFU YOTE(HUFICHA MADHAIFU YA MUMEWE).

HUMPATIA USHAURI YAKINIFU MUMEWE KWA KUJENGA FAMILIA BORA.

MBUNIFU KWA MAARIFA MAZURI YA KUONGEZA KIPATO KATIKA NDOA(METHALI 31).

HUWAJIBIKA HASA KATIKA MATUNZO BORA YA WATOTO KWA KUWAKEMEA NA KUWAONYA KABLA YA KUWAKABIDHI KWA BABA YAO KWA STAHIKI ZA ADHABU ZA MAKOSA MBALI MBALI.

HUWA NA HESHIMA KWA MUMEWE/UTII.

MWANAMKE:

HUVUTIWA NA MUMEWE KWA TAMAA BALI SI UPENDO TOKA ROHONI KWA VITU KAMA;
MALI, UTAJIRI, FAHARI, UZURI WA UMBILE/HANDSOME BOY, ELIMU YA JUU, UMAARUFU.

HUFANYA KINYUME KABISA KWA JINSI MKE ANAVYOPASWA KUFANYA KITABIA AKIAMINI UZURI WAKE NDIYO KIGEZO HASA KUISHI NA MUMEWE WALA SIYO TABIA NJEMA.

Cariha namuonea huruma sana Mumeo kama huandiki jumbe zako hapa kuchangamsha tu jukwaa, basi Mumeo kaingia choo cha kike, Mungu amsaidie ili afanye maamuzi mengine mapema iwezekanavyo.

"Ni heri ukosee kujenga nyumba lakini siyo kukosea kuoa Mke sahihi katika maisha"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee...we jamaa huwa unaichangamsha sana akili yangu kwa kuniongezea afya kila kukicha tokana na vituko unavyolengesha ukweli ndani yake 100%[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya mwanamke na mwanaume ni papuchi na gegedo basi hayo mengine ni sawa kabisa no difference. Sote ni binadamu tulio sawa.
Hafu mie mcha Mungu mzuri tu sana pia huo mda wa nyie kudekezwa sijui mke mwema mjinyooshe ka wafalme sina ndoa hujengwa na wawili inashangaza Baba hufatilii wanao hata ku bond siku moja ukimwachia mwanamke huo uzembe.


Kwa taarifa yako mpenzi wangu ananipenda sana tu kanikubali nilivo na ananijua hulka yangu na kanikubali maana kila mtu na mapungufu yako tena na wanaume watano wameni propose engagement sema namkubali mmoja zaidi ndo anajielewa. My hubby will be like a king I am a strong woman and I will protect my territory by any means. No intruders will be allowed.

Cariha mie I'm so cool hujaka nami tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua katika maisha yake huyo ndo dem mkali sana kumpata ukiangalia na ufupi wake na urefu wa huyo dada hakika unapata jibu kwamba jamaa haamini kama yaweza tokea kilichotokea
 

Exactly...
 
duuh,ila mke ndo anapaswa kulia na kupiga goti coz kuolewa ni bahati na wala sio haki
Mshamba huyu mgogo, afu atatombewa sana inaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Inavyoelekea hadi mzigo atapewa kwa ratiba maalum. Wanawake Walivyo wengi unampigia magoti na kumlilia wa nn. Kuowa sio bahati kwa mwanaume ni lazima Kw sababu ss ndio tunao hamua austahili kulia, Bali kuolewa ni bahati mwanamke ndio anastahili kulia. Ili Jamaa kenge Sana sijui Ana umri gani. Mm niliowa na 26yrs na sikufanya uhuu ujinga. Huyu u aweza kuta yupo early 30 bado anamambo ya kijinga. Acha aingie kwenye ndoa kama ataendelea kufanya uwo ujinga. Pimbi Sana huyu mshikaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Such a cry baby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…