Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

nimetumia Mungu maana niliona ndiko uliko elekea, ili twende sambamba zaidi pia nikaelekea huko....

just be honest,! katika mahusiano ni upande gani unafikiria (sio kufikiria tu na kutamani pia) ndoa since day 1???
Yani the same person nliye mwambia "mambo" akanijibu "unampango gani na mm" nimvishe pete kwa kupiga magoti na kilio kukuu af yeye akiwa kasimama wima kama statue[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wafrica tunaiga kila ki2 paka emotions[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wanaume wa kitanzania imewauma sana alichofanya huyo kaka? kamlilia mpenzi wake kulingana na waliyopitia haamini kama leo wamefikia hiyo stage sasa shida iko wapi akimwaga machozi na kupiga magoti?
Hahaha kweli mfumo dume hauwezi kuisha kwenye jamii za kiafrika,

Nawasikitikia sana dada zangu.
 
Amefanya umama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

And I solemnly swear you are such a cry baby na kugaragara juu.
 
Mc Pili Pili sie wengine tumekuelewa,tukio lilikua overwhelming kwako, na kulia ni natural,wewe pekee ndio unayejua how you felt that day,mbona wadada wengine siku ya harusi wanalia wakati ni jambo la furaha ?
 
Mc Pili Pili sie wengine tumekuelewa,tukio lilikua overwhelming kwako, na kulia ni natural,wewe pekee ndio unayejua how you felt that day,mbona wadada wengine siku ya harusi wanalia wakati ni jambo la furaha ?

Hi Five Girlie.
 

watu wanalia kama wana furaha sana au wana huzuni sana,huu mfano wako wa kumpelekea kitu asolve hauingii hapo namaanisha hauna uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…